Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

Hahahaha hicho ni kikundi cha magaidi wa akina mbowe wameandaliwa ili kuongeza misaada toka kwa mabwana zao ulaya.
Jina lako linasadifu akili yako. Tangu lini mdudu chawa akawa na akili!!!
 
Hao waliofanya uhalifu ni vibaka tuu.Ila pia walienda site na gari la saccos?
 
Tunategemea viongozi wa chadema watoe tamko Na kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama ili wakamatwe wahusika
 
Labda Mwendazake amefufuka
 
Mnatengeneza Matukio ili kuhalalisha uchafu wenu , hamtafanikiwa
 
Wapumbavu sana!!! Waandishi wanakwenda uwanjani kama waandaji au kama nani?
 
Hawajapiga risasi??

Hizi hela za mwarabu watazitapika.
 
Halafu mahakama za Ccm imemwachia awe huru.
Si uliona hilo gaidi mbowe lilivyo onewa huruma na mwenyekiti wetu wa CCM, sasa hivi lingekuea limehukumiwa kunyongwa shenzi zake.
 
Ndio madhara ya serikali kuendelea kuchekea Hawa wapuuzi na Wahuni.

Ruto anawalima shaba tuu huko.
 
Huo sasa ushamba kwanini upige watu wakati wewe mwenyewe umeruhusu mikutano ya hadhara.

Hivi walitegemea CDM itakuwa inafanya mikutano ya kusifia mama anaupiga mwingi sijui kuleta maridhiano na kumtukana Magufuli muda wote.

Mikutano ya hadhara ilizuiwa kwa sababu maalum watu wafanye kazi badala ya kupoteza muda kujibu hoja za kutunga wao wakaleta ujuaji.

Sasa vipi tena CCM inaanza ugaidi, asubuhi inasemekana waliwavamia vijana wa CDM na kuwajurehi baadhi; kwa vyovyote mtu aliejeruhiwa sehemu ya mkutano wao yeye ndio victim ajabu kijana wa CDM alieumizwa kafwata hospitali alipokuwa anapewa matibabu na kupelekwa polisi.

Unapoamua kuruhusu mikutano ya hadhara kuwa tayari na kupokea mashambulizi ya hoja sio kuanza fujo tena.

Magufuli hakuwa mjinga kila hatua zake zilikuwa na sababu za msingi; wapuuzi nyie huko CCM.
 
Muda unaodhani uko salama ndiyo huwa wa hatari zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…