Mu7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,624
- 1,934
Huna jipya. Historia yako tunaifahamu wazi!CHADEMA wameanza ugaidi Tena IGP chukua hatua kulinda wanahabari
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna jipya. Historia yako tunaifahamu wazi!CHADEMA wameanza ugaidi Tena IGP chukua hatua kulinda wanahabari
USSR
Jina lako linasadifu akili yako. Tangu lini mdudu chawa akawa na akili!!!Hahahaha hicho ni kikundi cha magaidi wa akina mbowe wameandaliwa ili kuongeza misaada toka kwa mabwana zao ulaya.
Hao waliofanya uhalifu ni vibaka tuu.Ila pia walienda site na gari la saccos?aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.
Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.
Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.
Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Labda Mwendazake amefufukaaandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.
Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.
Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.
Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Mnatengeneza Matukio ili kuhalalisha uchafu wenu , hamtafanikiwaaandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.
Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.
Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.
Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Wapumbavu sana!!! Waandishi wanakwenda uwanjani kama waandaji au kama nani?aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.
Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.
Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.
Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Halafu mahakama za Ccm imemwachia awe huru.Ni kama tu mbowr alivyopanga mauaji ya Lisu na Dkt Slaa au chacha wangwe
Wanatafuta kiki kwa udi na uvumba🤣🤣CHADEMA wameanza ugaidi Tena IGP chukua hatua kulinda wanahabari
USSR
Hawajapiga risasi??aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.
Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.
Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.
Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Si uliona hilo gaidi mbowe lilivyo onewa huruma na mwenyekiti wetu wa CCM, sasa hivi lingekuea limehukumiwa kunyongwa shenzi zake.Halafu mahakama za Ccm imemwachia awe huru.
Ndio madhara ya serikali kuendelea kuchekea Hawa wapuuzi na Wahuni.aandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetoekea leo Jumamosi, Julai 22, 2023 wakati walipokwenda kuangalia maandalizi ya mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema unaotarajia kufanyika kesho Jumapili.
Mbali na kujeruhiwa kwa waandishi hao na dereva, pia wameibiwa simu za mkononi pamoja na gari kuharibiwa kwa kuvunjwa vioo.
Tayari uongozi umeripoti tukio hilo Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kama hatua ya awali wakati taratibu zingine za kiofisi zikiendelea.
Wameripoti MwananchiView attachment 2696294
Mu7 acha wivu. Sisi ni chawa wa faida. Tunajibu hoja kwa hoja pointi kwa pointi.Jina lako linasadifu akili yako. Tangu lini mdudu chawa akawa na akili!!!
PoliccmUtasikia intelligesia imenasa kuwa kunaweza kutokea machafuko hivyo mkutano usifanyike 😁😁
Pesa za Mwarabu Mtazitapika mwaka huuNdio madhara ya serikali kuendelea kuchekea Hawa wapuuzi na Wahuni.
Ruto anawalima shaba tuu huko.
SawaPesa za Mwarabu Mtazitapika mwaka huu