Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
Pole yake mwenyekiti wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole yake mwenyekiti wetu
Lakini mh mbowe amewachezea waandishi uchwara kama kaka yetu Achraf Hakimi wa morocco waandishi wamekodi daladala kama malodi lofa wamekopa mikopo umiza huko wakijua mambo yashawanyokea wanakutana na kipigo ninavyojua mikopo umiza lazima tayari huko washabebewa vitu vya ndani magodoro, masufuria wanaenda kuanza maisha upya kama watoto wa form 1, nyie dunia hii.Waandishi siyo nyumbu kama wewe
Utakuwa nimua dishi magazeti ya kichawa ambayo yanaongezeka kila uchao, sijui ni akina nani wa wanaoyanunuagaNA MWANDISHI WETU DAR
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetupilia mbali maombi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kutaka waandishi wa habari 10 wanaomdai mtoto wake, Dudley Mbowe wamlipe gharama kwa kukamata nyumba yake.
Uamuzi huo wa Mahakama umetolewa leo Machi 13,2024 mbele ya Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Mary Mrio baada ya kupitia hoja za pande zote mbili.
Akisoma uamuzi huo, Msajili Mrio amesema mahakama baada ya kupitia maombi yaliyowasilishwa na Mbowe kupitia Wakili wake John Mallya, iliona kwamba hakuna ubishi katika maombi ya kuiachia nyumba.
Amesema kinachobishaniwa mahakamani ni mwombaji Mbowe kulipwa gharama za kesi na wajibu maombi.
"Mahakama iliangalia katika kesi hii gharama zilipwe au zisilipwe, nimepitia gazeti la Serikali (GN) namba 106 la mwaka 2007 ilielekeza kwamba kesi za aina hii hakuna sehemu inayoelekeza kulipa gharama.
"Mahakama inaona hakuna haja ya kutoa gharama, kila upande ubebe gharama zake, nyumba iliyokamatwa iko huru,"amesema Msajili Urio.
Waandishi hao 10 wanamdai Mkurugenzi wa TanzaiaDaima News Paper jumla ya Sh mil 62.7 baada ya kushinda tuzo kutoka
Awali waandishi hao walishinda Tuzo iliyotolewa na CMA Ilala.
Andika jina la anayedaiwa(matatu yaliyo sahihi kama sheria/mahakama inavyohitaji)tumuone punguani.Waandishi wa habari
Ukiwakuta wanamwongelea utadhania ana maajabu sana!Nyumbu wanamuita tajiri kumbe hana hata mil62 ya kulipa waandishi!!
kwamba nyumba iliyokamatwa awali na dalali wa mahakama hiyo iko huru. Nyumba hiyo inamilikiwa na Mbowe na si mkurugenzi wa Tanzania Daima news paper, Dudley Mbowe"
Huyu ndo anataka kupewa nchi???!!! Dhuluma hii ya wazi kabisa anatesa familia za masikini yeye na mtoto wake, inamaana ameshindwa kumlipia mtoto wake madeni just 62ml kwake Ni Kubwa kiasi cha kujichafua namna hii?!..Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amebwagwa kortini na waandishi wa habari 10, wanaomdai mtoto wake katika kesi aliyofungua kutaka wamlipe gharama kwa kukamata nyumba yake.
Uamuzi huo umetolewa leo Machi 13,2024 na Mahakama Kuu ya Tanzania Division ya Kazi mbele ya Naibu Msajili Mary Mrio kufuatia maombi ya Mbowe, yaliyowasilishwa kwa hati ya dharura chini ya kiapo cha Mbowe ambapo aliwakilishwa na Wakili John Mallya.
Uamuzi huo wa Mahakama umetolewa baada ya kupitiwa hoja zote za mleta maombi.
Hoja hizo za Mbowe ziliwasilishwa na Mbowe kupitia Wakili wake John Mallya, ambapo Mrio amesema mahakama iliona hakuna ubishi katika maombi ya kuiachia nyumba na kwamba kinachobishaniwa ni mleta maombi (Mbowe), kulipwa gharama za kesi na wajibu maombi, ambao ni waandishi wa habari 10 na dalali wa mahakama.
Mrio amesema: "Mahakama iliangalia katika kesi hii kama gharama zilipwe au zisilipwe. Nimepitia Gazeti la Serikali (GN) namba 106 la mwaka 2007, lilielekeza kwamba kesi za aina hii hakuna sehemu inayoelekeza kulipa gharama."
Kuhusu shauri hilo, Mrio amesema: "Mahakama inaona hakuna haja ya kutoa gharama, kila upande ubebe gharama zake na inatamka kwamba nyumba iliyokamatwa awali na dalali wa mahakama hiyo iko huru. Nyumba hiyo inamilikiwa na Mbowe na si mkurugenzi wa Tanzania Daima news paper, Dudley Mbowe"
Jama waandishi wa habari 10 wanaomdai Dudley ambaye ni Mkurugenzi wa Tanzania Daima, Sh milioni 62.7, waliachia nyumba ya Freeman Mbowe waliyoikamata ili kuipiga mnada kufidia deni lao.
Hata hivyo walitoa hoja mahakamani kugomea kulipa gharama za kesi zilizoombwa na Mbowe wakieleza sababu kuwa hata wao wameingia gharama katika kudai haki yao.
Mbowe kupitia Wakili wake John Mallya aliwasilisha maombi chini ya kiapo kilichoapwa na Freeman Mbowe Februari 26 mwaka huu, akitaka wajibu maombi kuondoa nyumba hiyo kwa sababu si mali ya Dudley na Mahakama iwaamuru wajibu maombi hao kumlipa gharama za kesi mteja wake.
Akizungumza kwa niaba ya wajibu maombi wenzake, Kulwa Mzee aliiambia mahakama kwamba walipitia nyaraka zote na viambatanisho husika, wamejiridhisha na kukubaliana kwa pamoja kwamba nyumba waliyoikamata ni ya familia, lakini inamilikiwa na Freeman Mbowe.
"...Tumepitia nyaraka pamoja na viambatanisho ikiwemo hati ya nyumba. Tumejiridhisha kwamba mkurugenzi tunayemdai, Dudley Mbowe si mmiliki. Hivyo, tunaiomba Mahakama tuiondoe nyumba hiyo kwenye maombi yetu," alisema Kulwa na kuongeza:
"Mheshimiwa, kuhusu gharama, kwa uelewa wetu, katika mashauri ya migogoro ya kikazi, hakuna gharama. Hiyo inatokana na uwezo na kipato kidogo cha wafanyakazi;
"Wakati sisi tunafanya jambo hili, tulikuwa tukiamini kabisa kuwa ni nyumba ya mkurugenzi wetu kwa sababu katika hatua ya makubaliano, alikuwa anatuambia kuwa tutafanya vikao nyumbani kwake na tumefanya hapo vikao kwenye hiyo nyumba," amesema Kulwa.
Ameongeza: "Mheshimiwa katika hatua za mwisho, baba yake ambaye ndiye mwombaji katika shauri hili alitualika tukutane hapo hapo tulipokuwa tukikutana. Tulikutana hapo, akakubali kubeba dhamana ya mtoto wake akakubali kutulipa mwezi Desemba."
Kulwa alidai kutokana na mazingira hayo waliamini kuwa hapo ndipo nyumbani kwake mkurugenzi na baada ya kushindwa kuwalipa katika kutekeleza namna ya kupata haki yao ndio maana waliamua kukamata hiyo nyumba.
"...Mheshimiwa tunaomba tusilipe gharama, kwanza huyu mwombaji hakuingia gharama kwani katika hatua zote za majadiliano tulikuwa tunakwenda kwake kwa gharama zetu wenyewe na ahadi zake za kutulipa Desemba 2023 ambazo alishindwa kutekeleza hilo lilituathiri, maana tulikuwa katika maandalizi ya siku kuu na ada za watoto shuleni,"amedai Kulwa.
Aliomba Mahakama katika uamuzi kuhusu gharama ikiwezekana kila upande ubebe gharama zake.
Kwa upande wake, dalali wa Mahakama Jesca Massawe ambaye ni mjibu maombi wa 11, alidai alipokea amri ya Mahakama kwa ajili ya kukamata hiyo nyumba.
"Sisi madalali wa Mahakama katika kutekeleza majukumu yetu, tulikaa na Mahakama hii chini ya Jaji Mfawidhi akatuelekeza kuwa katika mashauri haya ya kukamata mali tusijihusishe na utambuzi wa mali bali tukamate na kama kuna changamoto basi italetwa mahakamani, " amesema.
Ameongeza kwamba alitekeleza amri ya Mahakama kama ilivyoelekezwa.
Wakili Mallya alijibu hoja hiyo akieleza kwamba anakubaliana na mjibu maombi Kulwa kwa aliyoyasema ya kuachia nyumba hiyo.
Hata hivyo akasema: "Kuhusu suala la gharama, mteja mwombaji anastahili kulipwa gharama na mambo mengine aliyoyasema mjibu maombi alipaswa kuyaleta kwa njia ya kiapo."
Amedai kuhusu hoja za mjibu maombi wa 11 ambaye ni dalali, kweli ni afisa wa Mahakama, lakini maelezo yake hayakuja kwenye kiapo.
"Kwa kuwa anamtaja na Jaji Mfawidhi, haya yalipaswa kuja kwa njia ya kiapo na si maneno matupu mahakamani. Kwa hiyo naiomba Mahakama yako isiyazingatie na tunaomba mahakama izingatie suala la gharama,"alidai Mallya.
Baada ya kusikiliza hoja za pande zote, Naibu Msajili Mrio aliahirisha shauri hadi leo saa nane mchana kwa ajili ya uamuzi.
Katika shauri la msingi, mjibu maombi mwingine Maregesi Paul, aliomba kuyaondoa maombi ya kukamata nyumba hiyo na kuieleza Mahakama kwamba wanatarajia kuwasilisha maombi mengine upya ya kumkamata Dudley.
"Maombi haya yameondolewa kwa kibali cha kuyaleta tena, "alisema Msajili.
Mbowe alifungua shauri dhidi ya Maregesi Paul, Fidelis Felix, Christina Mwakangale, Janeth Josiah, Exuperius Kachenje, Hellen Sisya, Kulwa Mzee, Nora Damian, Makuburi Ally, Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania na Kampuni ya Udalali ya JJ Auctioneers& Debt Collectors.
Februari 13 mwaka huu, Mahakama ilikubali maombi ya wadai na kumteua dalali wa Mahakama kukamata nyumba kwa ajili ya kuipiga mnada.
Februari 28 mwaka huu, dalali wa Mahakama, Jesca Massawe alifanikiwa kubandika matangazo ya kukamata nyumba ya Mkurugenzi tayari kupigwa mnada kufidia deni la malimbikizo ya mishahara wafanyakazi.
Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Mary Mrio alitoa amri hiyo baada ya kupitia hoja za washinda tuzo katika Tume ya Usuluhishi na Uamuzi(CMA) Julai 2023.
Shauri hilo namba 28461 la mwaka 2023, wadai Maregesi Paul na wenzake tisa dhidi ya Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe.
Baada ya mdaiwa kukaidi kulipa, wadai walikubaliana njia sahihi kukamata nyumba yake namba 9 iliyopo Mtaa wa Feza , Mikocheni B barabara ya Chipaka na Mahakama ilikubali.
Walalamikaji hao walipata tuzo Julai 17 mwaka 2023 mbele ya Msuluhidhi wa CMA Ilala, Bonasia Mollel.
Madai ya awali yalikuwa jumla ya Sh milioni 114 baada ya kukaa mezani kwenye majadiliano kwa pamoja kiwango hicho cha fedha kilishuka na kufikia Sh milioni 62.7.
Dudley alikubali kulipa fedha hizo kwa awamu tatu, Oktoba 30, Desemba 30 mwaka 2023 na awamu ya mwisho ilikuwa mwishoni Februari mwaka huu, lakini hakulipa.
Pia Soma:
Punguza uongo, Mbowe anaingiaje hapo?Mbowe ni dhulumati... watanzania tuwe makini na viongozi wapenda dhuluma kama Mbowe.
Economist niaje man? Unafunga kwaresma au Ramadhan?Punguza uongo, Mbowe anaingiaje hapo?
Mbona hao waandishi ndio wamebwgwa? Umeandika kichwa Cha habari Kama unakimbizwa bila kuangalia yaliyomo kwenye taarifa.Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amebwagwa kortini na waandishi wa habari 10, wanaomdai mtoto wake katika kesi aliyofungua kutaka wamlipe gharama kwa kukamata nyumba yake.

Waandishi wa kisasa. Waandishi ndio wameshindwa.Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amebwagwa kortini na waandishi wa habari 10, wanaomdai mtoto wake katika kesi aliyofungua kutaka wamlipe gharama kwa kukamata nyumba yake.