Waandishi wambwaga Freeman Mbowe Mahakamani. Nyumba yaachiwa

Waandishi wambwaga Freeman Mbowe Mahakamani. Nyumba yaachiwa

Kwa mara ya kwanza nimekubali JPM was right kumshughulikia huyu Makengeza. Huwezi kuwadhulumu waandishi wenye kipato cha chini halafu unataka chama cha familia yako wapewe nchi. Huyu kengeza akipewa nchi atadhulumu sana wanyonge wa nchi hii
 
Hapa ndo ninapowaamini wale jamaa wanaosema watanzania wanaoishi Marekani wana hali mbaya sana kiuchumi. Dudley hana hela ya kuwalipa waandishi.
 
Kwanini waandishi hawapewi haki yao
Haki iliyo cheleweshwa ni haki ilimwinywa

Hii familia ya Mbowe mtu anayependa kuimba haki haki haki.
 
Hapa ndo ninapowaamini wale jamaa wanaosema watanzania wanaoishi Marekani wana hali mbaya sana kiuchumi. Dudley hana hela ya kuwalipa waandishi.
Sio hana. Kwanza 62 ml si mchezo chap chap. Almost 6m kwa kila muandishi. Bora angewalipa tulaki nne twao kuliko kulimbikiza. Kutoa 62m si mchezo na unakuta wakati anawasimamisha walikua wanadai laki mbili mbili tu. Ila wakapiga hesabu ya siku za mbele tena. Kabla ya kurevoke kabisa contract.
Bro hata wewe usingelpa hela kirahisi hivo. It takes a big heart kutoa hela hiyo. Ndio maana hata ngurudoto zinateketea tu kule.
 
Back
Top Bottom