Waandishi wambwaga Freeman Mbowe Mahakamani. Nyumba yaachiwa

Kwenye mambo ya case hii familia haijambo kuna doctrine huko nyuma inazunguzumzia masuala ya Vicarious Lialibility ambapo baba yake Freman Mbowe alishatkiwa MACHEME KASKAZINI CORPORATION LTD. (LAMBO ESTATE) v. AIKAELI MBOWE
 
Hizo bilion 10 za lowassa na 4 za ruzuku bado tu mnadhulumu waandishi na pamoja kuandika habari za kichochezi bado tu walilala njaa sasa hapa tutaamini vipi kama ben saanane kapotea kwa mfano huu wa kuua familia za watu halafu bado wanadaiwa gharama za kesi aah mbowe kwa pesa ni kiboko join the chain zote pwani!
 
Nilishasema humu, hawawezi wakachukua nyumba kirahisi huko

Ova
 
Bora maana angekuwa ni utawala wa hayati wangeshaamsingizia kuwa ni amri kutoka juu
 
Bilioni kumi unaijua?. Au urapoka tu.
 
Anayejifanya mtetezi wa wanyonge ye mwenyewe kumbe mrushi tu.
 
Nyumbu wanamuita tajiri kumbe hana hata mil62 ya kulipa waandishi!!
Wewe ndiyo nyumbu mgumu kuelewa, kesi aliyohukumiwa mwana alipe baba kwa kumatiwa na kupiga mnada nyumba yake!! Wakati mwanawe ni mtu mzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…