Kwa mara ya kwanza nimekubali JPM was right kumshughulikia huyu Makengeza. Huwezi kuwadhulumu waandishi wenye kipato cha chini halafu unataka chama cha familia yako wapewe nchi. Huyu kengeza akipewa nchi atadhulumu sana wanyonge wa nchi hii
Sio hana. Kwanza 62 ml si mchezo chap chap. Almost 6m kwa kila muandishi. Bora angewalipa tulaki nne twao kuliko kulimbikiza. Kutoa 62m si mchezo na unakuta wakati anawasimamisha walikua wanadai laki mbili mbili tu. Ila wakapiga hesabu ya siku za mbele tena. Kabla ya kurevoke kabisa contract.
Bro hata wewe usingelpa hela kirahisi hivo. It takes a big heart kutoa hela hiyo. Ndio maana hata ngurudoto zinateketea tu kule.