Waandishi wengi wa habari wanatakiwa kujibiwa kama huyu alivyojibiwa na Kally Ongala.

Waandishi wengi wa habari wanatakiwa kujibiwa kama huyu alivyojibiwa na Kally Ongala.

Huyu bwana goli 6 zilimchanganya, hayo ni majibu ya mtu aliyekasirika
Kosa la mwandishi wa habari hapo;

Kwanza inaonesha wazi hafatilii mpira zaidi ya mechi za Simba na Yanga na ndio maana akaropoka kuwa kapoteza dhidi ya Singida BS wakati sio kweli.

La pili ni kwamba huwezi kumuuliza kocha swali juu ya mstakabari wake. Kiufupi mwandishi hajui kuuliza maswali ya msingi
 
Huyo mwandishi hafuatilii mpira,au hajui soka ameuliza swali la ovyo kajibiwa ovyo
 
Back
Top Bottom