Waandishi wengi wa habari wanatakiwa kujibiwa kama huyu alivyojibiwa na Kally Ongala.

Nadhani mwandishi hakujipanga kwanza. Alikurupuka kwa kuuliza swali chonganishi bahati nzuri Kally naye mjanja akamshtukia.
 
Huyu bwana goli 6 zilimchanganya, hayo ni majibu ya mtu aliyekasirika
Kosa la mwandishi wa habari hapo;

Kwanza inaonesha wazi hafatilii mpira zaidi ya mechi za Simba na Yanga na ndio maana akaropoka kuwa kapoteza dhidi ya Singida BS wakati sio kweli.

La pili ni kwamba huwezi kumuuliza kocha swali juu ya mstakabari wake. Kiufupi mwandishi hajui kuuliza maswali ya msingi
 
Huyo mwandishi hafuatilii mpira,au hajui soka ameuliza swali la ovyo kajibiwa ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…