Hao makanjanja wengi sana. Mradi anatangaza hata kama hajui anachosema kina maana ganiTena alivyo pimbi anajiuliza, "sijui elfu 15 au laki na nusu, ngoja nitamuuliza vizuri". Sasa si upimbi huu?!!!! Kama hakusikia vizuri kwanini amekimbilia kurusha?!!
Yes, na maelezo yake yanaonesha malalamiko yao makubwa zaidi sio kipato bali wamekaa kwenye probation zaidi ya muda unaotakiwa. Kikubwa wanachohitaji ni kupewa ajira ya kudumu.. Kashindwa kuzing'amua na kuunganisha taarifa zake vizuri kuleta hoja iliyojitosheleza..LABDA PER DAY
Hawa ndo ilitakiwa didy kuwapitia kuliko pdiddy kuwafumua kina Ice cube, snoop, dr Dre na Jay Z.Mwandishi wa Wasafi ambae jina sijalipata, kapata tip huko mtaani vibarua wa Tanesco wanalipwa elfu 15 kwa mwezi nae kaibeba kama ilivyo kaja nayo redioni bila hata kufanya kitafiti kidogo.
Angejiuliza tu 15,000 ukiigawa kwa siku 30 unapata jero kila siku, tenahapo akadai na NSSF wanaikata. Huyu mtu alipe nauli kiasi gani, mchana ale nini nk. na aende na utaratibu huo wa maisha kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Pamoja na mtangazaji mwenzake, Zembwela kujaribu kukosoa malipo hayo hayawezekani bado akashikilia