kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Tunatia aibu kama taifa kuwa na waandishi wa aina hii. TCRA iinue kiwango cha vyuo vinavyotoa taaluma ya habari, wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya habari na watu wanaofanya kazi za habari. Products ziko chini sana mpaka wageni wanawashangaa waandishi wetu. Yaani hawa waandishi kwa namna nyingine walikuwa wanawachongea na kuwachomea nguru Mayelle na Mzize kwa benchi na wachezaji wa Marumo. Yaani wanauza ramani ya vita ya yanga kwa adui yao, wakimaanisha kuwa wachezaji wa kuangaliwa sana ni mayelle na Mzize. Huu ni upuuzi wa hali ya juu, mbinu chafu za Simba.