Unawezaje kuihusisha timu kubwa na bora Afrika SIMBA SC katika hizi takataka!!!!!timu kubwa unaihuaishaje na kombe la LOSER?????Tunatia aibu kama taifa kuwa na waandishi wa aina hii. TCRA iinue kiwango cha vyuo vinavyotoa taaluma ya habari, wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya habari na watu wanaofanya kazi za habari. Products ziko chini sana mpaka wageni wanawashangaa waandishi wetu. Yaani hawa waandishi kwa namna nyingine walikuwa wanawachongea na kuwachomea nguru Mayelle na Mzize kwa benchi na wachezaji wa Marumo. Yaani wanauza ramani ya vita ya yanga kwa adui yao, wakimaanisha kuwa wachezaji wa kuangaliwa sana ni mayelle na Mzize. Huu ni upuuzi wa hali ya juu, mbinu chafu za Simba.
Naomba mtusamehe bure tuu!, hawa ndio waandishi wetu wa sports na huu ndio uwezo wetu!.Pascal Mayalla una maoni gani kuhusu jambo hili?
Je, waandishi wetu wana uwezo mdogo wa kuuliza maswali ya msingi, pale wanapofanya mahojiano?
Kwenye maswali mazito huwa sina shaka nawe..Naomba mtusamehe bure tuu!, hawa ndio waandishi wetu wa sports na huu ndio uwezo wetu!.
P
Kwa hata ramani yenyewe.mnayo 🤣🤣🤣🤣Tunatia aibu kama taifa kuwa na waandishi wa aina hii. TCRA iinue kiwango cha vyuo vinavyotoa taaluma ya habari, wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya habari na watu wanaofanya kazi za habari. Products ziko chini sana mpaka wageni wanawashangaa waandishi wetu. Yaani hawa waandishi kwa namna nyingine walikuwa wanawachongea na kuwachomea nguru Mayelle na Mzize kwa benchi na wachezaji wa Marumo. Yaani wanauza ramani ya vita ya yanga kwa adui yao, wakimaanisha kuwa wachezaji wa kuangaliwa sana ni mayelle na Mzize. Huu ni upuuzi wa hali ya juu, mbinu chafu za Simba.
Mjitahidi kujiendeleza kielimu ili taaluma yenu iheshimiwe.Naomba mtusamehe bure tuu!, hawa ndio waandishi wetu wa sports na huu ndio uwezo wetu!.
P
Kula chuma hichoUnawezaje kuihusisha timu kubwa na bora Afrika SIMBA SC katika hizi takataka!!!!!timu kubwa unaihuaishaje na kombe la LOSER?????
HUNA AKILI.
Kwa maelezo yako unakiri kuna changamoto kama sio tatizoNaomba mtusamehe bure tuu!, hawa ndio waandishi wetu wa sports na huu ndio uwezo wetu!.
P
Nakazia...Unawezaje kuihusisha timu kubwa na bora Afrika SIMBA SC katika hizi takataka!!!!!timu kubwa unaihuaishaje na kombe la LOSER?????
HUNA AKILI.
Ni mtu mwenye akili kubwa TU (critical thinker) ndie anaweza kuona Nia ovu ya muuliza swali, mwandishi anauliza swali lilelile la mayelle na Mzize ambalo limeshaulizwa na mwanamke mwenzake na kujibiwa kikamilifu. Hii inaonyesha kuwa Kuna mtu aliwaambia nendeni kaulizeni hili swali kwa lengo la kuwapa habari marumo kuwa wasimsahau Mzize kwenye mipango yao anaweza kuingizwa kucheza. Hebu jiulizwe swali la mayelle na Mzize lilikuwa na maana gani kwa wasikilizaji au kwa marumo.Unashambulia elimu ya waandishi unaacha ya kwako. Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuwahusisha vipi simba kama sio akili uchwara?
Ndio maana nimesema akili yako ina walakini. Umehoji elimu ya waandishi halafu hapo hapo unasema itakuwa wametumwa na simba. Sasa hapo unatofauti gani na waandishi?Ni mtu mwenye akili kubwa TU (critical thinker) ndie anaweza kuona Nia ovu ya muuliza swali, mwandishi anauliza swali lilelile la mayelle na Mzize ambalo limeshaulizwa na mwanamke mwenzake na kujibiwa kikamilifu. Hii inaonyesha kuwa Kuna mtu aliwaambia nendeni kaulizeni hili swali kwa lengo la kuwapa habari marumo kuwa wasimsahau Mzize kwenye mipango yao anaweza kuingizwa kucheza. Hebu jiulizwe swali la mayelle na Mzize lilikuwa na maana gani kwa wasikilizaji au kwa marumo.
Ndio maana namimi nasema akili yako ni nyembamba sana, Yanga Haina adui hapa nchini kuwazidi madundukaa. Hebu ona Yale maswali ya Mzize na mayelle, hebu ona "caf" na "TFF" walivyoisambaza mitandaoni haraka taarifa kuwa Yanga kupigwa faini ya 82m siku moja kabla ya mechi dhidi ya marumo. Hii haitofautiani na Ile ya Faisal kutoroshwa Yanga siku moja kabla ya mechi Yao na Azam. Huu ni mfululizo wa hujuma za nje ya uwanja na ndani ya uwanja,Ndio maana nimesema akili yako ina walakini. Umehoji elimu ya waandishi halafu hapo hapo unasema itakuwa wametumwa na simba. Sasa hapo unatofauti gani na waandishi?
Nimekwambia mimi naongea lugha ya kimpira sio ushabiki wa kijingajinga tu, hata kama timu yangu inabananga ninaichana live ili ijirekebishe maana mpira una njia zake.Wewe mwenyewe mleta habari una uwezo mdogo ndo maana umeihusisha simba kwenye jambo ambalo haliwahusu.ikua na hoja nzuri lakini ulipoingiza ushabiki mandazi hoja yako imekosa mashiko.