The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Hawatafanikiwa meseji.sent watu wema bado wapo. Tutegemee kuona.nyingi zaidiMwananyamala kuna msako wa simu za wahudumu
Hizi video bila shaka zitasaidia sana kushinikiza na kuishawishi ICC kuchukua hatua.Hawatafanikiwa meseji.sent watu wema bado wapo. Tutegeitemee kuona.nyingi zaidi
Mboni hizo za Mwanza na Arusha hatujaona humu?video 3 mwanza, dar na arusha
Wataziokotea kwenye shimo la choo au makaro ya kuhifadhia nnya...Mwananyamala kuna msako wa simu za wahudumu
Wameshacheelewa, kusaka manualy wakati evidence zimeshaenda mbali. Probably zimeshasambaaMwananyamala kuna msako wa simu za wahudumu
Subiri ya Tunduma inatishaHawatafanikiwa meseji.sent watu wema bado wapo. Tutegemee kuona.nyingi zaidi
Please if you can nirushie invox.Hizi video bila shaka zitasaidia sana kushinikiza na kuishawishi ICC kuchukua hatua.
TISS gani unaongelea..?Hivi Samia amekosa mtu wa kupiga Shaba moja
TISS Nipeni hii kazi
Technology haizuiliki kwa misako ya simu mifukoni, watawala waelezi watendaji wenu, zaidi mtazua tahatuki na mambo makubwa zaidi yataachiwa. Busara ni jibu sahihi kwa nyakati hizi!!Mwananyamala kuna msako wa simu za wahudumu
Ya mwanza sijaiona ni vizuri kwenye kila uzi wa hivi mpost video zote ...tuzidi kuwasha moto kwa huyu kahaba wa kikweteGT
Mpaka.sasa tumeshuhudia video 3 mwanza, dar na arusha huenda.hawa watu wapo off na watapata.nafasi nzuri.ya kuzifuta bila bugudha hata nafasi ya kubadili simu kabisa.
Kingine weekend ni tulivu sana kila mmoja ataweza kuona unyama wa maCCM. Narudia kusema huko CCM.hakuna mwenye akili wote ni wajinga wajinga na wanafiki tu dunia ipo mbele wao bado wanaishi maisha ya miaka ya 70 Technology is power itawavua nguo hadi walie.
Ya Arusha IPO tafuta tafuta mkuu imo humu saiv TU nmeichekMboni hizo za Mwanza na Arusha hatujaona humu?
Weka hapa tuoneSubiri ya Tunduma inatisha
Mboni hizo za Mwanza na Arusha hatujaona humu?