Waanovujisha video za mochwari weekend wana akili sana

Waanovujisha video za mochwari weekend wana akili sana

Uzuri ni kwamba huu ni mwaka 2025 na sio 1970s kwamba unaweza kuzuia teknolojia.

Unachukua simu za watumishi ili kuzuia video za namna hii, mtumishi huyo huyo anakurikodi kwa saa au miwani yake, kesho unajikuta Instagram unanyang'anya watumishi simu 😂
Polisi wote ni vilaza kuanzi IGP hadi wa chini kabisa, wanahangaika na simu wakati data tayari ziko kwenye server za ICC .
 
Technology haizuiliki kwa misako ya simu mifukoni, watawala waelezi watendaji wenu, zaidi mtazua tahatuki na mambo makubwa zaidi yataachiwa. Busara ni jibu sahihi kwa nyakati hizi!!
Hivi wanajua kuwa simu nyingi automatically zinatunza media files zote kwenye cloud? Eti polisi wanakulazimisha ufungue simu waangalie picha na video. Kumbe hata ukifuta kwenye local device bado zinabakia kwenye cloud. Ajabu sana!
 
Uzuri ni kwamba huu ni mwaka 2025 na sio 1970s kwamba unaweza kuzuia teknolojia.

Unachukua simu za watumishi ili kuzuia video za namna hii, mtumishi huyo huyo anakurikodi kwa saa au miwani yake, kesho unajikuta Instagram unanyang'anya watumishi simu 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dadeki.

Asante teknolojia.
 
Tunasubiria za Temeke na Amana hospital.
Hawa mbwa tusiruhusu watutawale. Maana walishashindwa kuongoza.
 
Polisi wote ni vilaza kuanzi IGP hadi wa chini kabisa, wanahangaika na simu wakati data tayari ziko kwenye server za ICC .
Na bado napenda kutoa msisitizo wa kutumia VPN zilo na uhakika kabisa kwani zitakupa guarantee ya usalama wa kifaa chako simu ya mkononi au computer unotumia.

VPN zilizo best so far ni Nord VPN, Express VPN, Surf Shark na Cyber Ghost na hizi ni chache zilo sokoni na "hotcake" kwa sasa

Pia ni muhimu sana kutumia Cloud Storage kwa aina yoyote ile ya utunzaji na uhifadhi wa Data na information.

Na la mwisho, ukiishatuma kunakohusika hakikisha waondoa META DATA kutoka kwenye simu yako katika kabati la picha (picture folder).

Zipo APPS za bure zitokusaidia kuondoa META DATA (ukiwa ONLINE) kama hii moja iitwayo adarsus ambayo waweza kutumia kwa Outlook (Meta Clean) au Gmail, Mozilla Firefox, MS Edge (Meta Clean for Gmail). Nenda hapa

Kwa kuondoa META DATA kutoka kwenye simu yako yoyote ile ya mkononi, nenda kwenye Website hii

Metadata Remover - Enhance Your Privacy | Metadata2Go.com na fuata maelekezo.

Stay Safe.
 
Back
Top Bottom