Waanovujisha video za mochwari weekend wana akili sana

Waanovujisha video za mochwari weekend wana akili sana

Uzuri ni kwamba huu ni mwaka 2025 na sio 1970s kwamba unaweza kuzuia teknolojia.

Unachukua simu za watumishi ili kuzuia video za namna hii, mtumishi huyo huyo anakurikodi kwa saa au miwani yake, kesho unajikuta Instagram unanyang'anya watumishi simu 😂
Aha ha ha Kwa hiyo.tutgemeee kuona video za watumishi wakikaguliwa simu zao? Ukute TISS ndo wamevujisha
 
GT
Mpaka.sasa tumeshuhudia video 3 mwanza, dar na arusha huenda.hawa watu wapo off na watapata.nafasi nzuri.ya kuzifuta bila bugudha hata nafasi ya kubadili simu kabisa.

Kingine weekend ni tulivu sana kila mmoja ataweza kuona unyama wa maCCM. Narudia kusema huko CCM.hakuna mwenye akili wote ni wajinga wajinga na wanafiki tu dunia ipo mbele wao bado wanaishi maisha ya miaka ya 70 Technology is power itawavua nguo hadi walie.
downloadfile-3.jpg
1763306435805.jpg
1763306432155.jpg
 
Serikali ya Samia sijui inatuonaje.wao Wana sema ni AI ndio imetengeneza.cha ajabu walioziona zile video wameanza kuzitambua maiti za NDUGU zao.waliopotea.sasa najiuliza AI GANI INAYOWEZA KUTENGENEZA PICHA ZA WATU HALISI WALIOPOTEA?
 

Attachments

  • Screenshot_20251117-032903.jpg
    Screenshot_20251117-032903.jpg
    77.9 KB · Views: 16
Mwananyamala kuna msako wa simu za wahudumu
Haya siyo ya kunyamazia.
Tupe mrejesho kama kuna mTanzania kawekwa matatani kutokana na msako huo.

Huyo ni shujaa wa taifa hili na mchango wake unahitaji kutambuliwa. ndani ya taifa hili.
 
nikiona hivi nahamu hata tungenzisha mchango wa kuwapongeza polisi walifanya kazi ngumu na nzuri sana hawa vijana walitaka kuifanya Tanzania gaza ndani ya siku 3 tu
Kama hayatakufika wewe, usitie shaka Samia hawezi kuyaepuka; na hapo ndipo kitakapo kuwa kilele cha shangwe zako.
 
Back
Top Bottom