CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Polisi wote ni vilaza kuanzi IGP hadi wa chini kabisa, wanahangaika na simu wakati data tayari ziko kwenye server za ICC .Uzuri ni kwamba huu ni mwaka 2025 na sio 1970s kwamba unaweza kuzuia teknolojia.
Unachukua simu za watumishi ili kuzuia video za namna hii, mtumishi huyo huyo anakurikodi kwa saa au miwani yake, kesho unajikuta Instagram unanyang'anya watumishi simu 😂
Inauma sana hii..
Hivi wanajua kuwa simu nyingi automatically zinatunza media files zote kwenye cloud? Eti polisi wanakulazimisha ufungue simu waangalie picha na video. Kumbe hata ukifuta kwenye local device bado zinabakia kwenye cloud. Ajabu sana!Technology haizuiliki kwa misako ya simu mifukoni, watawala waelezi watendaji wenu, zaidi mtazua tahatuki na mambo makubwa zaidi yataachiwa. Busara ni jibu sahihi kwa nyakati hizi!!
Acha tu mtu anapiga watu kama ng'ombe.Inauma sana hii..
Weka na yule mama wa Chuga..Acha tu mtu anapiga watu kama ng'ombe.
Dawa yao hipo njiani.
Naongelea hizo zinazovuja mkuuPlease if you can nirushie invox.
AiseeMwananyamala kuna msako wa simu za wahudumu
Ni wewe ndio hujaziona.Mboni hizo za Mwanza na Arusha hatujaona humu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uzuri ni kwamba huu ni mwaka 2025 na sio 1970s kwamba unaweza kuzuia teknolojia.
Unachukua simu za watumishi ili kuzuia video za namna hii, mtumishi huyo huyo anakurikodi kwa saa au miwani yake, kesho unajikuta Instagram unanyang'anya watumishi simu 😂
Yule aliyepigwa risasi mwanae anamwambia amka mamaa?Weka na yule mama wa Chuga..
Dadeki.Uzuri ni kwamba huu ni mwaka 2025 na sio 1970s kwamba unaweza kuzuia teknolojia.
Unachukua simu za watumishi ili kuzuia video za namna hii, mtumishi huyo huyo anakurikodi kwa saa au miwani yake, kesho unajikuta Instagram unanyang'anya watumishi simu 😂
Na bado napenda kutoa msisitizo wa kutumia VPN zilo na uhakika kabisa kwani zitakupa guarantee ya usalama wa kifaa chako simu ya mkononi au computer unotumia.Polisi wote ni vilaza kuanzi IGP hadi wa chini kabisa, wanahangaika na simu wakati data tayari ziko kwenye server za ICC .
Hakuna maridhiano na wauaji lazima tulipize kisasi kwanza nao wazike watu wao kama tulivyozika sisi, wauaji ni polisi na tunaishi nao mitaani .Kwa style hii maridhiano hapana aisee.