The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
- Thread starter
-
- #41
Aha ha ha Kwa hiyo.tutgemeee kuona video za watumishi wakikaguliwa simu zao? Ukute TISS ndo wamevujishaUzuri ni kwamba huu ni mwaka 2025 na sio 1970s kwamba unaweza kuzuia teknolojia.
Unachukua simu za watumishi ili kuzuia video za namna hii, mtumishi huyo huyo anakurikodi kwa saa au miwani yake, kesho unajikuta Instagram unanyang'anya watumishi simu 😂
GT
Mpaka.sasa tumeshuhudia video 3 mwanza, dar na arusha huenda.hawa watu wapo off na watapata.nafasi nzuri.ya kuzifuta bila bugudha hata nafasi ya kubadili simu kabisa.
Kingine weekend ni tulivu sana kila mmoja ataweza kuona unyama wa maCCM. Narudia kusema huko CCM.hakuna mwenye akili wote ni wajinga wajinga na wanafiki tu dunia ipo mbele wao bado wanaishi maisha ya miaka ya 70 Technology is power itawavua nguo hadi walie.
Yn Kwa vyovyote vile lazima tutapata video au picha, h n lazima.Aha ha ha Kwa hiyo.tutgemeee kuona video za watumishi wakikaguliwa simu zao? Ukute TISS ndo wamevujisha
Huyo mdada mwenye dera la kijani ndugu zake watamjua fasta
Mbona video wana kata ? Hizi video azitakiwi kukatwa ni kosa lingine la kimkakati
nikiona hivi nahamu hata tungenzisha mchango wa kuwapongeza polisi walifanya kazi ngumu na nzuri sana hawa vijana walitaka kuifanya Tanzania gaza ndani ya siku 3 tu
Haya siyo ya kunyamazia.Mwananyamala kuna msako wa simu za wahudumu
Huyu hataishi maisha ya raha tena. Ni kama uhai wake umefika kikomo kwa kushiriki uovu huu.Hivi Samia amekosa mtu wa kupiga Shaba moja
TISS Nipeni hii kazi
Kama hayatakufika wewe, usitie shaka Samia hawezi kuyaepuka; na hapo ndipo kitakapo kuwa kilele cha shangwe zako.nikiona hivi nahamu hata tungenzisha mchango wa kuwapongeza polisi walifanya kazi ngumu na nzuri sana hawa vijana walitaka kuifanya Tanzania gaza ndani ya siku 3 tu