Waanzisha/Wachangiaji Thread Chit Chat na MMU Mna Tabia za Sigara Kali

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Sigara kali huwa haijulikani nyuma wapi mbele wapi popote mtu unawasha. Sasa ndio tabia za baadhi ya watu huku kwenye haya majukwaa mawili.

Unakuta mtu kaanzisha uzi anajisifia Ana maisha mazuri Ana kazi nzuri Mara kesho unamkuta anatafuta kazi yoyote ilimradi mkono uende kinywani sababu ndio kamaliza shule anatafuta ajira yoyote ajishikize. Unaanza kujiuliza ina maana yale maisha aliyoyasema huku alikua anayaota au kayaona kwenye movie.?

Kuna mwingine nae alishasemaga kaolewa na she's is happy kwenye ndoa yake. Haikupita week akaja na story Ana boyfriend tu ambae haoni kama wataoana. Mara ghafla tena nikamuona kwenye uzi fulani kuhusu single mom's akasema yeye hajazaa na hana mpango huo bado cha kushangaza leo kwenye pita pita naona uzi wake tena Ana mtoto.
Wallah huyu member amenihoves.

Kuna mwingine tena alikua anajionyesha Ana mahela kumbe denti anaishi kwa boom ila ukimkuta anavyojitutumua utasema manager wa kampuni gani sijui


Kwa mfano mnavyofungua nyuzi ili mtudanganye mnakua na maana gani? Au mnahisi hatusomi? Mnadanganya kwa faida gani mnayoipata? Au ndio maisha yenu tena mmeshayakatia tamaa mnaamua kuandika yale mnayoyatamani mjifariji?

Mkiwa waongo muwe na kumbukumbu jamani tunawasoma mjue.

Hizi mambo ndio zinapelekea mtu unaleta uzi wa maana watu wanaubeza sababu wanaona 'wale wale' na story zao za kutunga.
Mnatupa kazi wapenzi wasomaji kujua ipi pumba ipi mchele


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni mfano tu.
Kuna watu kama mimi tukisoma kitu tunaamini kiko hivyo. Mara ghafla mtu anabadilika. Sasa mtu kama huyu kesho akija na issue serious si nitamuona muongo?
Tatizo ni nini...?

Ni uyo dada au ni uyo mwanafunzi alie jifanya Big Boss....?
All in all ishi vile unapenda ili mradi inakupa furaha na hauvunji sheria za nchi......!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jf we ichukulie kama ilivyo tu mama, we soma changia then sepa au uniite tupige story[emoji6].
Wengine huwa tunaandika fantancy zetu tu humu. Sasa uhalisia utusodome na ndoto pia tusiote jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kweli utakuta mtu anafantasize yuko gari yake ac kali kweli kweli kumbe tumepanda nae daladala za gongo la mboto na joto kama loteeee ila huku analeta story za gari ya ac
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha haya jamani!!!
 
Kweli bhana wanazingua sometimes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…