Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sigara kali huwa haijulikani nyuma wapi mbele wapi popote mtu unawasha. Sasa ndio tabia za baadhi ya watu huku kwenye haya majukwaa mawili.
Unakuta mtu kaanzisha uzi anajisifia Ana maisha mazuri Ana kazi nzuri Mara kesho unamkuta anatafuta kazi yoyote ilimradi mkono uende kinywani sababu ndio kamaliza shule anatafuta ajira yoyote ajishikize. Unaanza kujiuliza ina maana yale maisha aliyoyasema huku alikua anayaota au kayaona kwenye movie.?
Kuna mwingine nae alishasemaga kaolewa na she's is happy kwenye ndoa yake. Haikupita week akaja na story Ana boyfriend tu ambae haoni kama wataoana. Mara ghafla tena nikamuona kwenye uzi fulani kuhusu single mom's akasema yeye hajazaa na hana mpango huo bado cha kushangaza leo kwenye pita pita naona uzi wake tena Ana mtoto.
Wallah huyu member amenihoves.
Kuna mwingine tena alikua anajionyesha Ana mahela kumbe denti anaishi kwa boom ila ukimkuta anavyojitutumua utasema manager wa kampuni gani sijui
Kwa mfano mnavyofungua nyuzi ili mtudanganye mnakua na maana gani? Au mnahisi hatusomi? Mnadanganya kwa faida gani mnayoipata? Au ndio maisha yenu tena mmeshayakatia tamaa mnaamua kuandika yale mnayoyatamani mjifariji?
Mkiwa waongo muwe na kumbukumbu jamani tunawasoma mjue.
Hizi mambo ndio zinapelekea mtu unaleta uzi wa maana watu wanaubeza sababu wanaona 'wale wale' na story zao za kutunga.
Mnatupa kazi wapenzi wasomaji kujua ipi pumba ipi mchele
Sent using Jamii Forums mobile app