Mimi sijatetea waarab na wala mimi sio shabiki wa hao sijui janjaweed sijui kitu gani.Nionyeshe hata hao wa drone strike wanaolipua vijiji vya maskini Waafrika.
Nyie waarabu wanachinja na kuua kuua Waafrika huku mkiwatetea kisa miungu wenu kwenye uislamu.
Shida yangu na wewe ni kwamba unachagua upande mmoja unausifia upande mwingine unaupa sifa za umalaika.
Hapo nchi za Afrika tu hao wazungu wanafadhili proxy wร rs wakiongozwa na ufaransa watu wanauana kila kukicha. Hawakuishia hapo wameweka hata bases zao za kijeshi. So usijifanye kwamba wazungu wanawapenda waafrika sana.
Hao sijui ni janjaweed sijui wanajiitaje, hata mimi siwakubali. Ila kwanini uwageneralize kwa matendo yao yawe ya waarab au waislam wote? Kwamba kisa wanaua huko basi hata wapalestina kwakuwa nao ni waarab hawafai kuonewa huruma?
Mbona hujawahi kugeneralize ushetani alioufanya King Leopold hapo Congo kuwa ni wa wazungu wote?