Waarab wa Sudan wamechinja sana weusi, tena kwa maelfu ila mweusi wa hapa JF kutwa unawaza Palestine

Waarab wa Sudan wamechinja sana weusi, tena kwa maelfu ila mweusi wa hapa JF kutwa unawaza Palestine

Nionyeshe hata hao wa drone strike wanaolipua vijiji vya maskini Waafrika.
Nyie waarabu wanachinja na kuua kuua Waafrika huku mkiwatetea kisa miungu wenu kwenye uislamu.
Mimi sijatetea waarab na wala mimi sio shabiki wa hao sijui janjaweed sijui kitu gani.
Shida yangu na wewe ni kwamba unachagua upande mmoja unausifia upande mwingine unaupa sifa za umalaika.
Hapo nchi za Afrika tu hao wazungu wanafadhili proxy wàrs wakiongozwa na ufaransa watu wanauana kila kukicha. Hawakuishia hapo wameweka hata bases zao za kijeshi. So usijifanye kwamba wazungu wanawapenda waafrika sana.
Hao sijui ni janjaweed sijui wanajiitaje, hata mimi siwakubali. Ila kwanini uwageneralize kwa matendo yao yawe ya waarab au waislam wote? Kwamba kisa wanaua huko basi hata wapalestina kwakuwa nao ni waarab hawafai kuonewa huruma?
Mbona hujawahi kugeneralize ushetani alioufanya King Leopold hapo Congo kuwa ni wa wazungu wote?
 
Ona ulivyokuwa mjinga ishu ni kuuliwa watu weusi ila mchanganya na dini ,kule palestine kuna wagalatia wenzenu ila mnatetea wanaisrael wa mchongo😅😅😅....Nyie dini imefanya kuwa wapumbavu mnajua kila muarabu ni muislamu basi wale wale watawala wa dubai na saudia sio waislamu kabisa
Sasa kinachowaliza nyie majuha wa kimbiji ni nini kuhusu Palestina?
 
Waarabu na wahindi na wabaguzi sana kwa watu weusi kuliko wazungu. Siku moja ningali kijana nilikuwa Heathrow kusubiri BA49 kuja Tanzania wakati huo. Nilikuwa na bunda kubwa la sigara za Marlboro Lights nilizokuwa nimenunua Hong Kong Duty Free. Nikakutana na binti mmoja wa kimarekani aliyekuwa anakwenda Kenya akani-approach na kuanzisha mazungumzo nami. Baadaye akaniomba sigara moja kwa vile hakuvuta safari yake yote tokea Seattle. Mwarabu mmoja akarukia kati kumpatia sigara zake bila kuombwa ingawa binti yule alizikataa akachukua zangu. Kwa mwarabu yule aliamini kuwa binti yule wa kizungu hakutakiwa kuvuta sigara kwa kupewa na mtu mweusi. Ingawa jambo hilo lilishia pale, ilitokea tu kwenye ndege nilikaa kiti kimoja na binti yule hadi Nairobi, na katika mazungumzo yetu alishangaa lkwa nini mtu yule alimpa sigara bila kuombwa.
Watu weusi mnasumbuliwa na inferiority complex .Hata marekani watu weusi wanaleta fujo sana wanapokutana na white hili ni tatizo kubwa .mnapenda kuona kila kitu mnaonewa na kubaguliwa.
 
Mimi sijatetea waarab na wala mimi sio shabiki wa hao sijui janjaweed sijui kitu gani.
Shida yangu na wewe ni kwamba unachagua upande mmoja unausifia upande mwingine unaupa sifa za umalaika.
Hapo nchi za Afrika tu hao wazungu wanafadhili proxy wàrs wakiongozwa na ufaransa watu wanauana kila kukicha. Hawakuishia hapo wameweka hata bases zao za kijeshi. So usijifanye kwamba wazungu wanawapenda waafrika sana.
Hao sijui ni janjaweed sijui wanajiitaje, hata mimi siwakubali. Ila kwanini uwageneralize kwa matendo yao yawe ya waarab au waislam wote? Kwamba kisa wanaua huko basi hata wapalestina kwakuwa nao ni waarab hawafai kuonewa huruma?
Mbona hujawahi kugeneralize ushetani alioufanya King Leopold hapo Congo kuwa ni wa wazungu wote?

Hamna sehemu nimesema wazungu wanawapenda Waafrika, japo tukifuatilia kwa hatua kubwa Afrika imefaidi pakubwa kutoka kwa wazungu mara mia zaidi wa hao miungu yenu ya kiarabu, kwanza hata hao waarabu hufaidi kwa wazungu.
Huu uzi unahusu waarabu kuchinja waafrika weusi tena mlango kwa mlango halafu bila aibu wavaa makobaz wa Bongo mnatetea, ila mnajifanya kuwa na uchungu sana na waarabu wa Palestina.
 
😂😂😂😂 Wakristo wale orthodox wanaua wenzao ili wachukue utawala washambaze dini yao

Urusi na Ukraine wanapigana nchi baina ya nchi, sio dini, na nimekua mstari wa mbele kuilaani Urusi kuvamia Ukraine.
Lakini wewe na wavaa makobaz wenzio humu mnatetea waarabu kuchinja waafrika weusi, eti kwa sababu ni miungu wenu wa waislamu.
Hebu ona aina ya nyuzi zenu kwenye kila ugomvi wa mataifa yenu lazima mtazame kidini Iran anachokifanya kwa nchi za Iraq na Pakistan, ni unafiki kusema kuna umoja wa nchi za Kiislamu
 
😂😂😂 Wanapigana baina ya nchi pia sio dini
..Hao marekani na Urusi hawapatani.
 
😂😂😂 Wanapigana baina ya nchi pia sio dini
..Hao marekani na Urusi hawapatani.

Yes hayo ni mataifa...
Lakini nyie mwarabu hata achinje ndugu yako unaendelea kumuabudu, kwanza huyo muhammad alichukia sana weusi, sijui kwanini unamuabudu.
 
Okay, tukuamini wewe sio??
Hakuna suala la imani kwenye kujua habari zilizopo duniani .
Unatakiwa uwe na uhakika.
Na siku hizi lzm ufanye kazi ya ziada kupata uhakika wa kinachoendelea na sio kubeba tu sababu kasema Mmmarekani.

Wazungu UKRAINE wanachinjwa km kuku lkn CNN BBC CBS FOX Na paka wengine wanadai ati Wanakaribia Kushinda vita.

Tazama Palestine wayahudi mpk sasa kwa mujibu wa Jewish ngos wamekufa takriban 10000 Israelis wewe unaambiwa 1300 toka mwanzo wa vita mpk leo namba iko pale pale.
Maiti zimejaa. Raia wa kuzayuni wanaandama kutaka vita iishe .
Zaidi ya wazayuni milion 5 Wamekimbia nchi.
We unayaona hayo BBC CNN ABC CBS AU SKY NEWS?
 
Yes hayo ni mataifa...
Lakini nyie mwarabu hata achinje ndugu yako unaendelea kumuabudu, kwanza huyo muhammad alichukia sana weusi, sijui kwanini unamuabudu.
Huwaga hatufuatilii nyie ,wew unaumia mda huo Marekani dini inasambaa kwa kasi 😂😂watu wanajua ukweli..

Hata vita ya dunia kama pangekuwa na taifa la kiislamu ungesema ila waliopigana wote wanajulikana ,hakuna muislamu anaweza kuzungumzia wakristo ndio wamepigana kwa vile hatuna time ni nyie na chuki zenu...Kutwa mpo Dubai !
 
Hakuna suala la imani kwenye kujua habari zilizopo duniani .
Unatakiwa uwe na uhakika.
Na siku hizi lzm ufanye kazi ya ziada kupata uhakika wa kinachoendelea na sio kubeba tu sababu kasema Mmmarekani.

Wazungu UKRAINE wanachinjwa km kuku lkn CNN BBC CBS FOX Na paka wengine wanadai ati Wanakaribia Kushinda vita.

Tazama Palestine wayahudi mpk sasa kwa mujibu wa Jewish ngos wamekufa takriban 10000 Israelis wewe unaambiwa 1300 toka mwanzo wa vita mpk leo namba iko pale pale.
Maiti zimejaa. Raia wa kuzayuni wanaandama kutaka vita iishe .
Zaidi ya wazayuni milion 5 Wamekimbia nchi.
We unayaona hayo BBC CNN ABC CBS AU SKY NEWS?
Hapo ndo mnaponiacha hoi, mtu mwingine akisema ya kwake hamuamini mnataka watu waamini ya kwenu, alaf nyie wenyew mfano kama wewe umeongea tuu bila ushahidi wowote alaf unataka nikuamini.

Alaf nikikumbuka maneno ya muhammad "War is a deceit" nawaza maana yake nini, "vita ni udanganyifu", bac nawasilikiza kisha napita hivi
 
Yes hayo ni mataifa...
Lakini nyie mwarabu hata achinje ndugu yako unaendelea kumuabudu, kwanza huyo muhammad alichukia sana weusi, sijui kwanini unamuabudu.
We mzungu akikwambia inama unalala kabisa manake hujithamini .
Na mwarabu kafiri km wewe akikupa msaada utadhani kakutupia used condom .

Hapo kwenu Rwanda mlipo chinjana kulikuwa na mwarabu?
Sudan wote Waafrika weusi lkn bado unalilia mwarabu.
Hujui hata hio imani yako ya kikafiri imetokea huko huko kwa waarabu wa Palestina na mpk leo kanisa la yule waliomsulubu limepigwa Bomb na mabwana zako wa kizayuni .

Nyie makafiri mzungu ni zaidi ya bwana zenu. Akitaka kukupigeni mitaimboo mnashangilia.

Palestina kuna makanisa ya miaka 800 yamepigwa mabomu lkn bado unabana pua kuwashangilia wazayuni.
Mashoga mna laana.
 
Hapo ndo mnaponiacha hoi, mtu mwingine akisema ya kwake hamuamini mnataka watu waamini ya kwenu, alaf nyie wenyew mfano kama wewe umeongea tuu bila ushahidi wowote alaf unataka nikuamini.

Alaf nikikumbuka maneno ya muhammad "War is a deceit" nawaza maana yake nini, "vita ni udanganyifu", bac nawasilikiza kisha napita hivi
Hakuna sehemu nimedai nikisemacho lzm uniamini.
Fanya homework. Sikiliza habari kutoka kwa Warusi, wachina , wakorea na mataifa mengine mbali na hayo mataifa yalioleta sanamu ya mzungu hapa afrika ambalo mpk leo baadhi yetu tunaliabudu na kuliomba msaada.

War is deception for real.
We huoni wayahudi wanavyodanganya.?
Wamekufa elf 10 kwenda mbele wanadai waliokufa 1300.

Wanakimbia nchi lkn BBC NA CNN na Skynews inasema wanaongezeka kuja kusaidia .
 
Ustadhi, weusi wenzako wanauawa mauaji ya kimbari na miungu yenu ya waarabu, mnapenda kuyaabudu ila yenyewe yanawachukia sana....kwanza huwaona kama mbwa..hivyo leo ukivaa likanzu na kuongea ongea kiarabu huko ulijue hilo...
Kwanza nilisoma sehemu namna yule 'mungu' wako muddy alichukia weusi.

screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761
cc faiza-fox
 
Kwanza unapajua huko Sudan???
Ulishawah kukaa huko aau japo kupita tu???
Sudan waarabu ni kama bongo tu, hawa ni waafrika kama mimi na wewe bro....
Hizo nyingine ni story za makafiri na ukafiri wenu!!!
Muislam haui muislam kamwe
 
Police akiua black america kule Marekani hakuna mzozo wa dini ,tunaandamana kama ubaguzi bila ya kutaja dini ya police.

Akiua muislamu kama muarabu inahusishwa na dini moja kwa moja😅😅😅...Hii ndio dunia umechagua content ya kudili na waislamu ,kifua kimejaa chuki unaishije hapo mtaani kwako?😅
Utakuta anaomba msaada kwa muislam na anadaiwa na muislam na hata Dada yake labda anatembea na rafiki yake muislam

Humu Kuna wanafiki wa hali ya juu
Huyu jamaa anawaota waislam kila kukicha ila in reality utakuta limepanga kwa muislam
 
Back
Top Bottom