Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Tatizo wajinga wenye access na internet wamekuwa wengi sana siku hizi, hivyo unakuta wanaandika maujinga yao tu online.Nimeshamwambia kwenye comment yangu hizi mada anazojaribu kuzileta sio size yake na hajui kama hajui akishakunywa sungur A anaandika vitu asivyovijua alafu humu kuna wAtu wapo kama vichwA vyao ni madumu,weka gongo dumu sawa,weka oil dumu sawa,weka maji dumu hewala,yaani yamekubali kufikiriwA na kusemewa kwa niaba yaO,Jf siku hizi Ovyo kabisa.
Vipi Mohammed Ali wa Ottoman? Au vipi 1st and 2nd crusades? Uko empty kwenye historyTangu Ibrahim akanyage Hapo Kanaani Muarabu na jamii za Mashariki ya Kati hazijawahi kuwashinda Mayahudi.
Muarabu ni nani? Nachojua Abraham alitokea Iraq na pia Yakobo alioa uarabuni huko mesopotamia so watoto wa Yakobo wana vinasaba vya uarabu!! Cha ajabu unasema Waarabu vs Wayahudi?Kama Kuna mtu ambaye anafikiri kuwa Muarabu atamshinda Myahudi basi atakuwa anamatarajio yasiyowezekana
Tatizo la huyu jamaa ni kujifanya ana jua kila kitu hali ya kuwa ni mtupu kwenye mambo mengi.Vipi Mohammed Ali wa Ottoman? Au vipi 1st and 2nd crusades? Uko empty kwenye history
Huna ulijualo..
Soma historia ili UJUE na uache kujidanganya na kudanganya mambulula wenzako..
Kwa kukusaidia tu, nenda ugoogle kitu kinaitwa RASHIDUN CALIPHATE, Hapa soma kwa nini wayahudi mpaka leo wanamchukia sana Mtume Muhammad (SAW).
Kwenye hii Rashidun Caliphate, pia msome sahaba/khalifa anaitwa Omar Al Khattab jinsi alivyoukamata mji wa Jerusalem kutoka kwa makafiri, pia tafuta ujue kwa nini Wayahudi mpaka leo hii wanamkumbuka na wanamuheshimu sana huyu mtu..
Halafu ukitoka hapo msome mtu anayeitwa Salahuddin Al Ayyubi, soma jinsi alivyoutwaa mji wa Jerusalem na jinsi alivyoulinda dhidi ya maadui wa kikafiri. Soma na jinsi alivyoteketeza kwa moto jeshi zima la makafiri walipotaka kuuchukua mji wa Jerusalem.
Soma uelimike uache kudanganya Mambulula wenzako..
Ila huwa kuna mambo yana mchanganyo.Kwema Wakuu!
Kwa wasioelewa haya mambo wanaweza Kuona ni mapya lakini hakuna jipya hata Moja. Mengi ni marudio.
Tangu Ibrahim akanyage Hapo Kanaani Muarabu na jamii za Mashariki ya Kati hazijawahi kuwashinda Mayahudi.
Ikumbukwe Kuwa Mayahudi ndio yalikabidhiwa Mkoba na Ibrahim ambao Mkoba huo Ibrahim aliutoa kwa Babu yake aitwaye Nuhu, kisha Nuhu aliutoa kwa Babu yake Aitwaye Henoko, kisha Henoko aliutoa Mkoba huo kwa Babu yake aitwaye ADAMU, Kisha Adamu alipewa na aliyemuumba.
Mayahudi yana Siri nyingi sana za huu ulimwengu mbali na Mikoba yaliyopewa.
Kuyashinda ni kazi ngumu Sana.
Hapo waarabu watapiga Mark time sana na watachapika vilivyo.
Kuna watu wanawataja Wachina kama suluhu ya huu ulimwengu lakini China kinasaba ametoka kwa HAMU, Yaani China na Waafrika wanaundugu hivyo haitarajiwi hivi mapema kama china atashika Utawala wa huu ulimwengu
Kama Kuna mtu ambaye anafikiri kuwa Muarabu atamshinda Myahudi basi atakuwa anamatarajio yasiyowezekana.
Muarabu amezidiwa kwenye Maeneo nyeti na Myahudi hata kile wanachojivunia ambao ni huo uislam umeathiriwa vilivyo na uyahudi kuliko jambo lolote lile.
Waajemi yaani Iran walishawahi kuwachukua baadhi ya mayahudi utumwani, ngoja tuone
Ngoja tuone huko Lebanon nini huko Mashariki ya Kati.
Mlale unono
Muarabu ni mtu yeyote ambaye amezaliwa na anaasili ya Maeneo ya Yemen, Saudia Arabia, Qatar, Oman hao ndio Waarabu OG ingawaje walitawanyika wengine kwenda Maeneo ya karibu.Muarabu ni nani? Nachojua Abraham alitokea Iraq na pia Yakobo alioa uarabuni huko mesopotamia so watoto wa Yakobo wana vinasaba vya uarabu!! Cha ajabu unasema Waarabu vs Wayahudi?
Embu kajifunze upya history ya middle east. Waarabu na wayahudi wote ni Semites tu!! Maana hata Abraham alikua na watoto wengine baada ya isaka je nao ni wayahudi? Na kama sio wayahudi je hawana haki ya urithi wa Abraham?
Ila huwa kuna mambo yana mchanganyo.
Ila Jews na Muslims ni kithibitisho cha ugomvi wa kudumu wa wanandugu in reference to Bible.
So najiulizaga Mungu kwanini karuhusu mapigano ya wanandugu? Au ndo hayo mambo yanaingia mpaka kwa vizazi vyetu sasa🙆
Huyo atakua yuleee Ishmael mtoto wa beki tatu kizazi cha Muddy maana waarabu hawaeleweki tu mambo yao😂Ukiona hivyo Kuna mmoja kamtapeli mwenzake.
Vipi Mohammed Ali wa Ottoman? Au vipi 1st and 2nd crusades? Uko empty kwenye history
Ibrahim ni mkurudi kutoka Iraq
Nimeshamwambia kwenye comment yangu hizi mada anazojaribu kuzileta sio size yake na hajui kama hajui akishakunywa sungur A anaandika vitu asivyovijua alafu humu kuna wAtu wapo kama vichwA vyao ni madumu,weka gongo dumu sawa,weka oil dumu sawa,weka maji dumu hewala,yaani yamekubali kufikiriwA na kusemewa kwa niaba yaO,Jf siku hizi Ovyo kabisa.
Kwahiyo Biblia inaposema wayahudi walitandikwa hadi wakatekwa kupelekwa Babylon ya kale na Assyria walikua wanadanganya?Wewe ndio unatakiwa usome uelimike hiyo miaka ya kuanzia 300AD Mpaka 1000AD Nchi ya Israel na viunga vyake ikiwemo Jerusalem haikuwa chini ya Utawala wa Mayahudi ilikuwa chini ya Dola la Rumi, chini ya Catholic church
Sasa hao Sahaba wa Mtume hawakuwahi kukuta Utawala wa Mayahudi katika Eneo hilo.
Wewe ndio unatakiwa kusoma vizuri hiyo hadithi yako.
Muarabu hajawahi kuwa tishio kwa Myahudi na hatakuja kuwahi kuwa tishio kwa Myahudi
Ni sawa na useme, kipindi Wayahudi wapo uhamishoni huku na huko duniani ikiwemo nchi za Ulaya, Afrika ya kaskazini na baadhi ya Maeneo ya Asia huku wachache wakiwa hapo Kanaani(ambapo wanepaita Palestine) useme Waarabu ni nchi yao na waliwahi kuwashinda wayahudi jambo ambalo sio sahihi.
Usikimbie kwani kwenye biblia dola ya wayahudi ilimalizwa na nani hadi wakaenda utumwani miaka maelfu? Hao Babylonia walivamia Jerusalem mwaka 587 kabla ya kristo na wakauteketeza mji wakaondoka na wayahudi. Sasa sijui kwa definition yako watu wakutoka Iraq/Syria ya miaka hiyo ni waarabu au sio waarabu?Mkuu hao unaowataja ni mwaka gani na walikuta Utawala gani hapo Israel?
Utawala wa Ottoman Empire hao Waturuki haukukuta Dola la wayahudi hapo Kanaani, walikuta tayari hilo eneo limekaliwa na tawala mbalimbali ikiwemo Tawala la Roma, tawala za maswahaba wa Muhammad, , hao ottoman walikuta eneo zima la Israel Wayahudi hawazidi Asilimia 10. Wengi walikuwa uhamishoni
Hamna anachojua atakuchanganya kwa sababu majina ya sasa hapo zamani hayakuwepo kabisa .Usikimbie kwani kwenye biblia dola ya wayahudi ilimalizwa na nani hadi wakaenda utumwani miaka maelfu? Hao Babylonia walivamia Jerusalem mwaka 587 kabla ya kristo na wakauteketeza mji wakaondoka na wayahudi. Sasa sijui kwa definition yako watu wakutoka Iraq/Syria ya miaka hiyo ni waarabu au sio waarabu?
Yakobo alizaa na wanawake wanne sasa hao vijakazi aliozaa nao walikua waebrania? hao watoto aliozaa kupitia vijakazi ni vinasaba gani?Yakobo alioa Waebrania wenzao. Ndugu za Mama yake aitwaye Rebecca. Waebrania sio Waarabu. Wapo mpaka leo na kiebrania kipo mpaka leo na kinazungumzwa na Waisrael(Wayahudi) ingawaje kiebrania na kiaramu vinaendana
Hii sio sawa maana jamii zimehama sana, mfano Abraham alitokea Iraq huko ila unasema sio muarabu sasa hapo Oman sijui saudia ndio walitokea kina Ayoub na Nabii Obadiah je nao walikua waarabu?amezaliwa na anaasili ya Maeneo ya Yemen, Saudia Arabia, Qatar, Oman hao ndio Waarabu OG ingawaje walitawanyika wengine kwenda Maeneo ya karibu.
Well and good, Sasa basi Abraham alikua na watoto wengine nje ya isaka je sio waebrania au wayahudi? Na kizazi chao kinatambulikaje? Hawa watoto alizaa na mshangazi anaitwa Keturah wapo watatu!! Au unataka kusema uebrania ulibakia kwa Isaka tu na sio watoto wengine wa Abraham?Waarabu na Wayahudi wote DNA ni Kutoka kwa Shemu (Semites) lakini Kila mmoja Babu yake, Wayahudi Babu yao ni Ibrahim ambaye ni muebrania,
Hapana, huwa mnasema wenye ardhi ya Israel ni wayahudi na mnarejea vitabu vya dini kuwa wayahudi ndio wana haki. Sasa nchi ya ahadi alipewa Abraham na yeye ana watoto watano how comes mtu mmoja tu ndio aonekane ni muebrania halisi na wengine wote 4 wanaitwa wavamizi ilihali ni watoto halali wa Abraham? Mungu alitoa ahadi kwa Abraham kwanini wajimilikishe watoto wa mjukuu mmoja tu?Kuhusu suala la urithi, Kila mtoto alipewa Maeneo ya kurithi
Ahadi alipewa Ibrahim ila Yakobo ndiye alikuwa mrithi.wayahudi ndio wana haki. Sasa nchi ya ahadi alipewa Abraham na yeye ana watoto watano how comes mtu mmoja tu ndio aonekane ni muebrania halisi na wengine wote 4 wanaitwa wavamizi ilihali ni watoto halali wa Abraham? Mungu alitoa ahadi kwa Abraham kwanini wajimilikishe watoto wa mjukuu mmoja
Wake za Yakobo wote walikuwa watoto wa baba Mmoja Laban.Yakobo alizaa na wanawake wanne sasa hao vijakazi aliozaa nao walikua waebrania? hao watoto aliozaa kupitia vijakazi ni vinasaba gani?
Hii sio sawa maana jamii zimehama sana, mfano Abraham alitokea Iraq huko ila unasema sio muarabu sasa hapo Oman sijui saudia ndio walitokea kina Ayoub na Nabii Obadiah je nao walikua waarabu?
Watoto wengine wa Ibrahim walitoa mataifa mengine kama Wamidiani, waishmael, waedomu, n.kWell and good, Sasa basi Abraham alikua na watoto wengine nje ya isaka je sio waebrania au wayahudi? Na kizazi chao kinatambulikaje? Hawa watoto alizaa na mshangazi anaitwa Keturah wapo watatu!! Au unataka kusema uebrania ulibakia kwa Isaka tu na sio watoto wengine wa Abraham?
Hapana, huwa mnasema wenye ardhi ya Israel ni wayahudi na mnarejea vitabu vya dini kuwa wayahudi ndio wana haki. Sasa nchi ya ahadi alipewa Abraham na yeye ana watoto watano how comes mtu mmoja tu ndio aonekane ni muebrania halisi na wengine wote 4 wanaitwa wavamizi ilihali ni watoto halali wa Abraham? Mungu alitoa ahadi kwa Abraham kwanini wajimilikishe watoto wa mjukuu mmoja tu?