Waarabu huwa wanaandamana watu nchi nyingine wakionewa?

Waarabu huwa wanaandamana watu nchi nyingine wakionewa?

Wakati gani waarabu walishawahi kuandamana kupinga wananchi wa nchi nyingine wasionewe?

Wenye kujua nijuzeni.
Uarabuni Hakuna demokrasia kabisa, kitendo cha kuandamana hadharani Watawala wa huko wanakihesabia kama ni Uasi dhidi ya Serikali, hivyo Waandamanaji hukabiliwa na kitisho kikubwa cha moja kwa moja cha kuweza kuuawa na Askari Polisi wa huko tena ni kuuawa bila onyo lolote like. Hali ilivyo katika nchi nyingi za ki-Arab ni sawa sawa na hali jinsi ilivyo hapa Tanzania, hakuna tofauti.

Aidha, Kwenye baadhi ya nchi chache Sana zenye tawala zinazofuata itikadi za ki-Arab ingawaje nchi husika siyo za Waarabu kama vile Iran, baadhi ya Wananchi (wenye akili timamu sawa sawa) wamebuni mbinu mbadala ya kufanya maandamano ili kuupinga Utawala dhalimu wa huko, nayo ni kufanya 'Maandamano ya Rohoni,' kwa njia ya kuendesha 'Secret Underground Resistance Movements against the Repressive Regime.'
 
Back
Top Bottom