Bandari haijauzwa, tumewapa bure milele. Bandari ingekuwa imeuzwa serikali I gepata, hela zimeingia mifukoni mwa wajanja wachacheKuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?
Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
DP WORLD wanaanza kazi rasmì bandarini tarehe 01 October 2023. Hadi kufika 01st January watakuwa wame occupy fully shughuli zote.Hao ni Watanzania walio kwenye mji mtakatifu Iraq walipokwenda kuhiji
Umeeleweka maana jamaa kaleta video kwa nia watu wamsagie kunguni Mama kwenye issue ya DP WorldHao ni Watanzania walio kwenye mji mtakatifu Iraq walipokwenda kuhiji katika miji mitakatifu ya madhehebu ya Shia ya Najaf na Karbala kulipo kaburi la Imam Husayn .
Umeeleweka maana jamaa kaleta video kwa nia watu wamsagie kunguni Mama kwenye issue ya DP World
DPW watakuwa wanaolipia bill.Na muda huu ndiyo msimu wenyewe ndugu zetu toka Tanzania wapo huko kutekeleza jambo muhimu la kiimani katika miji Najaf na Karbala iliyopo Iraq.
View attachment 2741675
Acha uoga ni ndugu zako hao waarabu wa magomeni na buguruniKuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?
Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665