Mleta mada una akili za kijinga sana,ni umasikini wa akili yako ndio umekufanya kupost hii thd ambayo wala huwajui hao wanaoimba kwenye hiyo clip,
Hiyo ni ibada ya washia wakiwa kwenye mji wao mtakatibu wa Karbala Iraq,na hua wanaenda kwenye mji wao mtakatifu wa Najaf kila mwaka ambako ndio lipo kaburi la Iman Husayn,hii ibada hufanyika kila mwaka ambayo kwao ni Hija hiyo,
Hiyo ibada hua wanaimba kwa lugha ya kishia huku wakijipiga vifua,hiyo lugha sio kiarabu wala hao watu sio waarabu,
Hao waumini ni wabongo,wameamua tu kubeba bendera ya nchi yao,ni kama wewe uende kuangalia mechi ya kombe la Dunia kisha upeperushe bendera ya nchi yako,
Wewe Mama unaishi maisha ya mateso sana kwa chuki zako za kijinga na ukosefu wa elimu pia huna uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo kabla ya kukurupuka na kuja kutupia hapa uchafu wako.