Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

Nimejikuta najishangaa kama Fala, ila sijajua wimbo wamanisha nini
 

Uzi ufungwe tu...

Hakuna sababu ya kuendelea kuwepo mada inayoeneza uongo juu ya watu wenye kufanya ibada, pengine hata wakiliombea Taifa kuepushwa na wenye husda, nia mbaya n.k...
 
Hao ni Watanzania walio kwenye mji mtakatifu Iraq walipokwenda kuhiji katika miji mitakatifu ya madhehebu ya Shia ya Najaf kulipo msikiti maarufu mtakatifu na Karbala kulipo kaburi la Imam Husayn .
Lakini hao ni maarufu saana Kwa kuondosha dollars bongo kumpeleka Dubai , halafu wanazileta tena bongo kama wanepata mkopo wenye riba nafuu
 
Msamehe anatakathread yake ifike 1k comment hajawai fikisha
 
Mikataba inayofuata yote itakuwa siri, hiyo transparency unayoiomba ni ipi?
Yes kikawaida HGA ni confidential ila kufuatia mauzauza ya IGA ya DPW na Bandari, kumetengeneza public interest itakayo ilazimu HGA zake ziwe transparent ili tuone na kujiridhisha zile kasoro za kisheria za IGA ya DPW haziko reflected kwenye HGA.
Public interest surpluses everything!.
P
 
Acha wasiwasi unaombewa duwa nchi yako namali zako zikunufaishe sio viongozi wadini wanachota na kupeleka nje kazi yako wewe itikia aamina
 
Kwaiyo viongozi wawazuie watu kushangilia?
 
Ona haka nako,kakiona tu thd inahusu waarabu au DP World lazima kajipitishe huku kanatingisha kalio,wewe hujawahi kua na akili zaidi ya kuandika upuuzi wako tu humu.
Sasa kwanini unahangaishwa na anayeandika upuuzi, hizi sindano nakwambia sitaziacha, nitakuchoma mpaka na minyoo ndani ya tumbo lako nayo isikie maumivu.
 
Sasa kwanini unahangaishwa na anayeandika upuuzi, hizi sindano nakwambia sitaziacha, nitakuchoma mpaka na minyoo ndani ya tumbo lako nayo isikie maumivu.
Lazima tuwe karibu na vichaa kama wewe ili msije mkaleta madhara kwa jamii,
Huna sindano yeyote zaidi ya kujionyesha ni jinsi gani huna kitu upstairs.
 
Nchi imeenda hiyo. T
Tumeshakuwa ni Koloni la Waarabu
 
Lazima tuwe karibu na vichaa kama wewe ili msije mkaleta madhara kwa jamii,
Huna sindano yeyote zaidi ya kujionyesha ni jinsi gani huna kitu upstairs.
Mtoto una sauti nzuri sana ukilalamika ndio maana huwa sichoki kukuchoma sindano zangu ili niwe naiskia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…