Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Vijana wajinga Sana [emoji38][emoji38][emoji38]Kuna Dogo mmoja anaitwa elikanafx ni mtu wa forex alisema hayo mabasi anashare zake [emoji23][emoji23][emoji23]na yey ni mmiliki huyu kijana na mwanafunzi wa Ontario .
Daaaah Aiseeeh Ni Kweli Mkuu na Dogo Mabus Yote yakitoka mwanza kwenda mikoani lazima yapite Shinyanga Hedi Kota ayaangalieWao biashara zipo kwenye damu.
Wengine kuajiriwa ndio fresh
Wa hindi na waharabu ni waminifu wenyewe kwa wenyewe wana pendana sanaa jambo ambalo sio kwa wa bongoWakuu Wenzetu Waarabu na Wahindi Wanawaandaa Watoto Wao kuwa na uwezo wa ku manage Biashara kubwa kama hii ya mabus wakiwa vijana wadogo.
Huyu Anaitwa Amran Ally Mohamed Said au Amran Kifaru ndio mmiliki na msimamizi Mkuu wa Mabus ya Ally's Star.
Ally Star ni Mabus yanayofanya Root za Dar To Mwanza, Kuna Mwanza to Tabora, Kuna Mwanza Kahama, Kuna Mwanza To Dom nk.
Mzee Wake Amran Kifaru ameamua kumwachia umiliki na usimamizi Wa Hii Biashara Kubwa huyu Kijana Mdogo Kabisa.
Je, Sisi Tunakosea wapi Kwenye kuwaandaa Watoto wetu kufanya Na Kusimamia miradi mikubwa Kama Hii?
View attachment 2405585
Sisi kwetu unasubiri uwaminie Ili umlize aliyekuaminiWa hindi na waharabu ni waminifu wenyewe kwa wenyewe wana pendana sanaa jambo ambalo sio kwa wa bongo
Mbona kijeba tu.Wakuu Wenzetu Waarabu na Wahindi Wanawaandaa Watoto Wao kuwa na uwezo wa ku manage Biashara kubwa kama hii ya mabus wakiwa vijana wadogo...
Hakuna kitu kama ichoMbona kuna watoto wakichaga wanawakimbiza hawa wahindi na waarabu
Usifananishe waarabu na wahindi na mambo ya kijinga.Mbona kuna watoto wakichaga wanawakimbiza hawa wahindi na waarabu
Ni Miungu yakoUsifananishe waarabu na wahindi na mambo ya kijinga.
Ni Miungu yako