Waarabu na Wahindi wanawezaje ku-manage biashara kubwa wakiwa na umri mdogo?

Waarabu na Wahindi wanawezaje ku-manage biashara kubwa wakiwa na umri mdogo?

Ukinunua gari ya mkononi au ukiagiza nje na ikachakalia kwako na wewe si mtunzaji wa magari+ kubadili madereva kila siku, basi hio biashara wewe hauna ujuzi nayo na hautaweza kuwa kwenye hiyo biashara kwa muda mrefu na presha na sukari utaipata tuu.

Biashara ya gari inataka ulijue gari sawa na unaona huyo kijana hapo naye anaendesha lengo ni kuijua gari kiundani zaidi na zaidi.

Mimi naikubali sana hii biashara inalipa saana saaana lakini ndio hapo juu uwe umekamilika kuyajua magari na madereva tabia zao pia.

Kama haujawahi kufanya biashara hii utakuwa unaongea tu utopolo
 
Kama haujawahi kufanya biashara hii utakuwa unaongea tu utopolo
Sasa wewe mayu na magari wapi na wapi ndugu, wewe lima alizeti tuu ndio kitu unakiweza.

Wengine hizi ni vitu tumezaliwa ndio biashara zetu, muulize huyo Nchemba kama anawajua kina Al watan atakwambia.
 
Sasa wewe mayu na magari wapi na wapi ndugu, wewe lima alizeti tuu ndio kitu unakiweza.

Wengine hizi ni vitu tumezaliwa ndio biashara zetu, muulize huyo Nchemba kama anawajua kina Al watan atakwambia.
Kwahiyo hii Id ni ya Mayu ?
 
Kwahiyo hii Id ni ya Mayu ?
Mayu ni mjomba kwa kinyiramba huyo jamaa ndio namwabia kaa hana asili ni magari aendelee kulima alizeti na vitunguu, biashara ya nagari inataka uwe na uelewa kuaniza ndani ya familia sio unakurupuka tuu utapata hizo shida za presha.
 
Kuna Dogo mmoja anaitwa elikanafx ni mtu wa forex alisema hayo mabasi anashare zake [emoji23][emoji23][emoji23]na yey ni mmiliki huyu kijana na mwanafunzi wa Ontario .

Achana na story za vijana wapuuzi wa forex ni wehu, pesa haijawahi kutafutwa kwa forex ushawahi kuona list ya matajiri duniani forex inatajwa kama chanzo cha utajiri?
 
Mbona kuna watoto wakichaga wanawakimbiza hawa wahindi na waarabu

Wachaga biashara hukaa kwa vizazi vichache sana kinachobaki kinawaokoa ni investment za majengo ya wazazi wao lakini hao waarabu na wahindi biashara inashamiri kama hakuna lililotokea na huwezi kusikia wako mahakamani wanagombea mali hapana angalia mzee ASAS kishafariki lakini kama vile hakikutokea kitu
 
Kama nikiwa na miradi mingi, mwanangu atasoma kuja kuiendeleza .

Sasa mkuu kibongo bongo wengi wetu ni waajiriwa sasa atamrithisha nini mwanae zaidi ya kumwambia asome kwa bidii aje kuajiriwa kama wazazi wake.

Wafanyabiashara nao hawawashirikishi watoto wao kwenye biashara zao, dogo anakua anajua tu mzee ana mawe lakini jinsi biashara inavoenda wala hajui.

Mzee akikata moto na biashara moja baada ya nyingine zinaanza kukata moto
 
Mayu ni mjomba kwa kinyiramba huyo jamaa ndio namwabia kaa hana asili ni magari aendelee kulima alizeti na vitunguu, biashara ya nagari inataka uwe na uelewa kuaniza ndani ya familia sio unakurupuka tuu utapata hizo shida za presha.
Aaah nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom