Ukitafakari na kuelewa kinachoendelea Mashariki ya Kati ukilinganisha na Tanzania, unahuzunika hata kuugua. Wenzetu wanapigania utaifa. Sie twauana kwa kupigania udini.
Halafu tunashangaa kwanini hatuendelei huku Wenzetu wakitutumia na kutucheka mbali na kutubagua na kutudharau. Utaifa kwanza na udini mwisho tena ziii.
Ukitafakari na kuelewa kinachoendelea Mashariki ya Kati ukilinganisha na Tanzania, unahuzunika hata kuugua. Wenzetu wanapigania utaifa. Sie twauana kwa kupigania udini. Halafu tunashangaa kwanini hatuendelei huku Wenzetu wakitutumia na kutucheka mbali na kutubagua na kutudharau. Utaifa kwanza na udini mwisho tena ziii.
Si kweli. Soma historia uzuri ujue na siyo kuhoji na kutoa madai ya ajabu. Eti ardhi ya Palestina ni ya waislamu wote. Fyuuu. Hata hiyo ya Saudia siyo ya hao waislaamu wako bali wasaudia.
Si kweli. Soma historia uzuri ujue na siyo kuhoji na kutoa madai ya ajabu. Eti ardhi ya Palestina ni ya waislamu wote. Fyuuu. Hata hiyo ya Saudia siyo ya hao waislaamu wako bali wasaudia.