Fountain of Youth
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,026
- 2,299
Iran siyo waarabu hujui unaongelea nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia ya kifalme ya Saudi Arabia ilichapisha kwenye tovuti yake kuhusu jukumu la nchi hiyo katika kuilinda Israel dhidi ya mashambulizi ya Iran.
Saudi Arabia ilikiri kwamba imesaidia muungano mpya wa kijeshi wa kikanda - Israel, Marekani, Jordan, Uingereza na Ufaransa - kuzima shambulio la Iran dhidi ya taifa la Kiyahudi mapema Jumapili asubuhi
Hadithi hiyo ilizungumzia ushiriki wa Saudia katika operesheni ya kujihami ya kijeshi ambapo 99% ya ndege zisizo na rubani na makombora ya Iran yaliharibiwa kabla ya kulenga shabaha zao.
Jordan na saudia zilikuwa haraka kusema kwamba katika kuisaidia Israeli, zilikuwa zinajilinda zenyewe.kutokana na zile drones na missles zilikuwa zinakatisha katika anga yao.
Na wakaenda mbali zaidi wakasema iran hakuwahi kuwa rafiki yao kisiasa kiuchumi na kidiplomasia ukilinganisha na urafiki wao na isratoo na nchi za magharibi.
Waharabu wao kwa wao huwa wanachuki binafsi na jeuri zilizokubuuu
Quran haisemi Israeli inasema wana wa Israel ndio inawatambuaIsrael ni taifa teule hata Quran inasema hivyo
You watch too much cnn and bbcKila mara na kila wakati tumekuwa tukisema hapa JF, uislamu hauwezi kuwaunganisha waarabu na haujawahi kuwaunganisha waarabu (kwa sababu waarabu sio waumini wazuri wa kiislamu japokuwa hutumia uislamu kama utamaduni wao wa kujitambulisha, kujisambaza duniani na kufunikia mambo yao).
Ni rahisi sana kwa siasa na maslahi ya kiuchumi kuwaunganisha waarabu kuliko dini.
Kwa mfano tangu vita vya mashariki ya kati vilipuke 7 Oktoba, mpaka leo hii hakuna taifa lolote la kiarabu lililojitoa kimasomaso kuwaunga mkono kivita HAMAS. Jamaa wameendelea kutembezewa kichapo kutoka kwa Israel mpaka kupelekea karibu ukanda wote wa Gaza kufutika.
Sasa kimbembe kimemkuta Iran, kachokozwa na Israel kwa maafisa na makamanda wake kuuwawa kwa mabomu yaliyosambaratisha ubalozi wake kule Syria. Iran akachimba mkwara mzito, akajiandaa fresh kwa wiki mbili akaanza kufyatua makombora ya masafa ya mbali (Drones, cruise, missiles) zaidi ya 300 kuelekea maeneo mahususi ndani ya Israel lakini karibu yote yakizuiwa kirahisi kabisa huku nchi za kiarabu zenye misingi ya kiislamu kama Jordan na Saudi Arabia zikihusika kuisaidia Israel isiguswe na kombora lolote la Iran.
Kama vita hii itaendelea, huenda Israel ikatumia anga na ardhi ya nchi za kiarabu kuitandika Iran.
Zile fikra za watu weusi kuukumbatia uarabu kwa kigezo cha kudumisha umoja wa kiimani baina ya waumini wa kiislamu taratibu zinaanza kupungua na huko baadaye huenda zikafutika.
Wewe kichwa chako kibovu sanaa hao waIran sio waarabu kwnz hata kiimani wapo tofauti na uislam hivyo basi ataiva vipi na msaudia?..isitoshe licha ya ivo chanzo cha mgogoro uliopo Gaza muhusika mkuu ni Iran ndo master planning wa yote..lazima uelewe tofauti zao za kiitikadi na kisiasa..Muirani lazima ujue ni Wahindi wa uajemiKila mara na kila wakati tumekuwa tukisema hapa JF, uislamu hauwezi kuwaunganisha waarabu na haujawahi kuwaunganisha waarabu (kwa sababu waarabu sio waumini wazuri wa kiislamu japokuwa hutumia uislamu kama utamaduni wao wa kujitambulisha, kujisambaza duniani na kufunikia mambo yao).