Waarabu ni wanafiki na waoga mno, wameshindwa kuisaidia Palestina na Iran


Hiyo taarifa sio ya kweli.

Hiyo inayoitwa website ya houseofsaud sio website rasmi ya Saudi Arabia wala Familia ya kifalme ya Saudla.

Na Saudia wamekanusha taarifa hiyo.
 
You watch too much cnn and bbc
Kwenye art of war kuna decoy strikes za kumfanya adui aconcetrate huko..
Makombora ya Iran waliyotaka yapige target yamepiga na danganya toto za kuwazuga ndo hizo unazosikia wameintercept
Kambi mvili za kijeshi za Israel zimechakazwa
Maana yake ni kwamba wameshindwa kudetect zile deadly cruise missiles.
Nchi 6 zimeshindwa kuzuia military bases za israel kudundwa.
 
kama mfalme wa Jordan no chotara wa kiingereza unategemea watoboe.
 
Wewe kichwa chako kibovu sanaa hao waIran sio waarabu kwnz hata kiimani wapo tofauti na uislam hivyo basi ataiva vipi na msaudia?..isitoshe licha ya ivo chanzo cha mgogoro uliopo Gaza muhusika mkuu ni Iran ndo master planning wa yote..lazima uelewe tofauti zao za kiitikadi na kisiasa..Muirani lazima ujue ni Wahindi wa uajemi
 
ambacho kingewaunganisha hao mataifa ni "palestina" tu. ila ukiondoa palestina, wasaudia na mataifa ya kiarabu huwa yanamuona iran ambaye ni Mshia ni kafiri na sio muislam. wasuni wanaamini washia sio waislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…