Waarabu wa Gaza walalamika kulishwa ugali, wasema ni chakula cha Ndege

Kusoma kwangu kote Biblia kwa ujanja ujanja sijawahi kuona sehemu yoyote ,nabiii alisonga ugali au alilima mahindi.Ila mkate ,ngano upo.Imagine mtu anakupikia liugali na manywele (Mansansa).
Embu tuache kutaja Biblia kuwa kama referencea kwa mambo yasiyo na maana, sasa kama Biblia haijataja mtu yeyote kula ugali au kulima mahindi, ina maana kula mchicha, pilau, biryan ni kosa?

Mungu alimwambia adamu, chakula chake kitatoka ktk ardhi, kwahiyo chochote kinacholimwa kikamfaa mwanadamu kwa akili ya kula basi anaweza akala.
 
Kwa hiyo mm kuwa muislam kuna mahusiano gani na ww kufurahia mateso dhidi ya binadamu wenzao?
Kwahiyo Bible yako unayo isoma imekufundisha kuwa unatakiwa kufurahia mateso ya binadamu wenzio kisa sio wa dini yako?

Kitendo cha kuita binadamu wenzio majitu unaonesha jinsi gani ulivyo jaa chuki za kipumbavu, na bahati nzuri mungu wako yesu alisha sema chuki hukaa kifuani mwa mpumbavu hivyo ww ni mpumbavu.
 
Ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kufurahia mateso ya binadamu mwenzie hali yakuwa yeye mwenyewe ajui ni kipi kitamtokea kesho.
Ww unawacheka hao kula ugali ila ww unaweza jikuta siku moja unakula mavi kabisa.

Magaidi ya Hamas sio ya kuonea huruma.
 
Kacheka wapi?
Hiyo ni vita ulitaka wale nini na wao ndo walianzisha vita?
Au hujaona dharau zao eti chakula cha ndege?
Kama huna namna tusipangiane!
Kwa hiyo hujaona alivyo leta mada kwa mtindo wa dhihaka ?
Kwani mahindi,mchele,shahiri,vyote si ndege wanakula , sasa ni kipi kibaya walicho kiongea,? alafu kingine hiyo habari aliyo iweka ameipotosha labda hajui kiingereza zivuri.

Kwa hiyo serikali ya CCM ikianzisha Vita dhidi ya Kenya basi hata ww na familia yako mnatakiwa kuuawa au kunyimwa chakula kisa serikali yenu ndo iliyo anzisha vita?

Hii tabia yenu ya kufurahia mateso ya binadamu wenzenu kisa nyinyi mpo kwenye nchi yenye amani ni tabia ya kipumbavu.
 
allah atawafanyia wepesi awapelekee vyakula wavipendavyo wasijali ila kwa sasa waendelee tu kula vyakula vya ndege maana wameyataka wenyewe.
 
Grow Up.
Nazungumzia nilichokisoma mimi
wewe soma kama umekuta mabiringanya ,karanga ni wewe good for you.Tusipangiane.
 
Muwe mnaelewa kinachoandikwa .Acha kukurupuka.Aliyeandika kula vyakula vingine ni kosa nani? Au umelewa?
 
Ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kufurahia mateso ya binadamu mwenzie hali yakuwa yeye mwenyewe ajui ni kipi kitamtokea kesho.
Ww unawacheka hao kula ugali ila ww unaweza jikuta siku moja unakula mavi kabisa.

Pole sana gaidi mwandamizi,upo zako umatumbini unakula mihogo na mbilimbili,nenda kawape sapoti magaidi wenzako hamas wamesusa ugali
 
Ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kufurahia mateso ya binadamu mwenzie hali yakuwa yeye mwenyewe ajui ni kipi kitamtokea kesho.
Ww unawacheka hao kula ugali ila ww unaweza jikuta siku moja unakula mavi kabisa.

Temaneni kuwaua Wayahudi wala hamna atakayewatesa, mjifunze kuishi kwa amani na watu wa dini zingine, la sivyo mtaendelea kupigwa tu.
 
Ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kufurahia mateso ya binadamu mwenzie hali yakuwa yeye mwenyewe ajui ni kipi kitamtokea kesho.
Ww unawacheka hao kula ugali ila ww unaweza jikuta siku moja unakula mavi kabisa.
Mollel hakuwa mwanadamu?
 
walichagua vita dhidi ya njia za amani kupata haki zao
 
We Mbona unafurahia Waisraeli wakiteswa?
 
Ni mtu mpumbavu pekee anaye weza kufurahia mateso ya binadamu mwenzie hali yakuwa yeye mwenyewe ajui ni kipi kitamtokea kesho.
Ww unawacheka hao kula ugali ila ww unaweza jikuta siku moja unakula mavi kabisa.
Wakae kwa kutulia kabsa wasichague chakula,wakiona inafaa wawale hao mateka
 
Kusoma kwangu kote Biblia kwa ujanja ujanja sijawahi kuona sehemu yoyote ,nabiii alisonga ugali au alilima mahindi.Ila mkate ,ngano upo.Imagine mtu anakupikia liugali na manywele (Mansansa).
Issue ni kua wanalishwa chakula ambacho sio cha utamaduni wao, sehemu kubwa ya Asia wana tupia product ya mchele na ngano.
Mitume wangezaliwa africa hasa wangeweza kutumia product za mazao ya Africa.
Lkn wapalestina wako sahihi kwasababu itahitaji mda kuweza kuzoea aina ya chakula wanayolishwa ambacho si utamaduni wao.
 
Reactions: EEX
Uchambuzi murua .Mi nilikuwa nafanya dhihaka tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…