Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

ngara23 una tabia na elements za kishoga mdogo wangu. Umeandika as if ulikuwepo sijui lengo lako ni nini ku generise mambo kwa namna hiyo
wote tunajua una uchukia uislamu kwa ujumla lakin huwezi kuzima nuru yake kwa maneno ya kifedhuli namna hiyo.

Umetia sana chumvi eti ananuka mzoga.?
Kwanza unajua maana ya kafir ?

Jamaa una andika vitu vya kijinga we hujui kama humu kuna wakiristo ambao wamezoea kupokea kila kibaya kinachosemwa kuhusu uislamu yan wao hawajui kuchuja ,wao ni kuamini tu kila kitu ndio maana kiboko ya wachawi kawapiga hela za kutosha.??

Chunga kauli zako za kueneza chuki wala hazitakusaidia.

Haya source ya ulichokiandika ni wapi.?
 
Warabu wametia aibu soka la Africa kwa kumbagua Mwafrica mwenzao Kwa kumwita Kaffir, yaani mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga

Rulan Mokwena ni Coach wa Wydad Casablanca ya Morocco, zamani alikuwa coach wa Mamelod sundown ya Africa Kusini

Ubaguzi huo umefanywa na Moja ya viongozi wa benchi la ufundi la IR Tanger katika mchezo uliomalizika kwa suluhu

Siyo uungwana kumbagua mwenzako Kwa tusi la KAFFIR. Kamati kuu ya CAF itakaa kufanya maamuzi ya adhabu kwa hao waliomwita Coach Rulan Mokwena Kaffir
Acha uongo mtu mzima ni aibu kupika majungu.
Weka source ya kuaminika.
 
Ila kweli Kuna baadhi ya wa Africa tunatoa harufu Ila sisi kwa sisi atuhisi iyo harufu kwasababu tumezoeana. Na wachina nao wananuka vibaya Sana Afadhali ya wa Africa. Wazungu nao Wana harufu Ila aikeli Kama ya wachina
 
Hapana, kuna Mwarabu na kuna mstaarabu. Umeniuliza, mimi Mwarabu? Nimekujibu mimi mstaarabu, nikakuuliza vipi wewe, mstaarabu?

Watanzania tujijuavyo ni wastaarabu.
Afande Rama na bwana yake mr kirigo nao ni wastaarabu kama watanzania wengine?
 
Warabu wametia aibu soka la Africa kwa kumbagua Mwafrica mwenzao Kwa kumwita Kaffir, yaani mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga

Rulan Mokwena ni Coach wa Wydad Casablanca ya Morocco, zamani alikuwa coach wa Mamelod sundown ya Africa Kusini

Ubaguzi huo umefanywa na Moja ya viongozi wa benchi la ufundi la IR Tanger katika mchezo uliomalizika kwa suluhu

Siyo uungwana kumbagua mwenzako Kwa tusi la KAFFIR. Kamati kuu ya CAF itakaa kufanya maamuzi ya adhabu kwa hao waliomwita Coach Rulan Mokwena Kaffir
Jina hilo tumezoea kote kote mtu kama si muumini wa "cult" flani tegemea kuitwa hivyo.
 
Hilo neno "kaffir" linatumika sana Afrika kusini". Tanzania tuna neno kafiri ambalo lipo hata kwenye biblia.

Unaelewa kutofautisha kaffir ya Kiarabu ya Afrika Kusini na kafiri ya kwenye biblia na Qur'an.

Na amaan ya yote hayo siyo aliyoileta mleta mada, sijalkutana mahali na maana hiyo.

Wewe unafahamu kaitowa wapi?
Ajuza kwa watumishi waliokuwa chini yako hasa wale wasiokuwa upande wako inaonekana walipata sana tabu ya kubaguliwa kisa dini.
 
ngara23 una tabia na elements za kishoga mdogo wangu. Umeandika as if ulikuwepo sijui lengo lako ni nini ku generise mambo kwa namna hiyo
wote tunajua una uchukia uislamu kwa ujumla lakin huwezi kuzima nuru yake kwa maneno ya kifedhuli namna hiyo.

Umetia sana chumvi eti ananuka mzoga.?
Kwanza unajua maana ya kafir ?

Jamaa una andika vitu vya kijinga we hujui kama humu kuna wakiristo ambao wamezoea kupokea kila kibaya kinachosemwa kuhusu uislamu yan wao hawajui kuchuja ,wao ni kuamini tu kila kitu ndio maana kiboko ya wachawi kawapiga hela za kutosha.??

Chunga kauli zako za kueneza chuki wala hazitakusaidia.

Haya source ya ulichokiandika ni wapi.?
Mimesema warabu wa Morocco wambagua coach Rolani Mokwena
Wewe unanituhumu nauchukia uislam
Kwani kila mwarabu ni muislam?
 
Kuna movie moja niliangalia majamaa wanamtafuta Mjeshi mmoja msituni wanasema " mwenyezi Mungu atusaidie tumpate " mwingine anasema " inshaallah" Mungu atasaidia
Na wanamtafuta ili wamuue aisee nilicheka sana kuna jamaa kanikumbusha hapa 😅😅
 
Ila kweli Kuna baadhi ya wa Africa tunatoa harufu Ila sisi kwa sisi atuhisi iyo harufu kwasababu tumezoeana. Na wachina nao wananuka vibaya Sana Afadhali ya wa Africa. Wazungu nao Wana harufu Ila aikeli Kama ya wachina
Mi nilijua wachina wananuka kisa vyakula mana kiukweli wana kaharufu flani
 
Back
Top Bottom