Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

We
Hebu nioneshe nimetetea wapi kwenye comment yangu, nimepoint tu makosa kwenye post yako,
unaona ubaguzi ulofanywa na warabu sawa ila alifanya mzungu ndo ungelalama
Unasema mara kafanya mmoja Sasa ndo sio ubaguzi
 
We

unaona ubaguzi ulofanywa na warabu sawa ila alifanya mzungu ndo ungelalama
Unasema mara kafanya mmoja Sasa ndo sio ubaguzi
Unaposema waarabu ni wengi, huyo kocha amebaguliwa na mtu mmoja toka bench la ufundi la timu pinzani na uwanja mzima na bench lake la ufundi Waka rally nyuma yake, je uwanja wenye watu zaidi ya 10,000 wanakusuport wewe na mtu mmoja amekubagua is that definition of Waarabu ni wabaguzi?
 
Alianzisha hiyo coach ila wote pale walimbagua sana tu, acha ubishi

Hivi wewe unaujua ushenzi wa warabu kweli
 
Alianzisha hiyo coach ila wote pale walimbagua sana tu, acha ubishi

Hivi wewe unaujua ushenzi wa warabu kweli
Bosi ushahidi upo wapi? Yani unatunga maneno yako mwenyewe, nimekuwekea hotuba nzima ya aliyebaguliwa ila bado unatoa opinion yako kama fact? Hebu tuwekee ushahidi wa Video ama maneno yake mwenyewe kocha akisema hivyo.

Na hao unaowaita wabaguzi ndio Jamii pekee ambayo haina Systematic racism kwa wa Africa.
 
Kwaiyo wewe unasemaje
Alibaguliwa au hakubaguliwa?
 
Kwa Nini watu Huwa wanawaita waarabu wa Libya,morocco,Tunisia au Algeria kuwa ni waafrika wenzetu?waafrika m apenda kujikomba Kwa waarabu.
 
Ameendaje kufanya kazi Uarabuni? Kama sio Muislam ataitwa KAFIR na waarabu siku zote za maisha yake huko

Bado wataanza kumkojolea, kumnyea na kumuita Najis, hajaona WaSaudi Arabia wanavyowafanyia Mabinti wa kazi weusi kutoka Kenya na Somalia?
Na bado wakenya wanagombea nafasi za kazi Saudia
 
Kwa Nini watu Huwa wanawaita waarabu wa Libya,morocco,Tunisia au Algeria kuwa ni waafrika wenzetu?waafrika m apenda kujikomba Kwa waarabu.
Uafrika siyo rangi nyeusi ya ngozi,mwafrika ni mtu wa bara la afrika,wewe ni mwafrika mweusi tofauti na mo Salah,aboutreka na mustapha hadji
 
Alaaniwe huyo aliyembagua au kumdhihaki kocha la boli rulani mokwena.

Sisi watu weusi tunabaguliwa sana sio waarabu wala sio wazungu wote wanatubagua sana kama inawezekana at any cost tubakie kwetu na tuendele kuthamini vya kwetu.

Mi na mwajuma wangu aku hatuna shida hapa nimeshashiba ugali wangu maharage na juisi namsubiria aje nipige mishindo hata mi3 kumi na 11 juu ya alama nikacheki mpira wa cheshi na aseno.
 
Ushungi kama wa mamake Issa. wa Kipalestina.
Wakati wa Yesu hakuna kitu kilichowahi kuitwa PALESTINE. Ila izrael imeandikwa kwenye vitabu vyote. Hicho kinachoitwa Palestine Leo ni kusanyiko la waarabu kutoka s hemu mbalimbali.
 
Yawezekana labda aliyemuita hivyo, alimuita kwa Nia ovu, Ila kimsingi ni Kaffir. Maana Kaffir ni mtu asiyekuwa Muislam, na Mokwena si Muislam. Sioni ubaguzi uko wapi hapo.
 
Back
Top Bottom