baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kwenye Soka ni waarabu tu ndio wanaoajiri prospect za watu weusi, mosimane alikua ni prospect kubwa tu na kila siku analalamika makocha wa KI Africa wanabaguliwa kutopewa nafasi Ulaya, ila kapewa Nafasi Saudia,Ameendaje kufanya kazi Uarabuni? Kama sio Muislam ataitwa KAFIR na waarabu siku zote za maisha yake huko
Bado wataanza kumkojolea, kumnyea na kumuita Najis, hajaona WaSaudi Arabia wanavyowafanyia Mabinti wa kazi weusi kutoka Kenya na Somalia?
Na hii mada imeletwa tu kibaguzi baguzi yes mtu mmoja amembagua ila uwanja mzima ulikua upande wake na yeye mwenyewe ametoa statement kuwa yupo proud na staff wake na mashabiki wake kwa kumuonesha support hio.
Wachezaji na makocha wote wa KI Africa wanaobaguliwa Ulaya wengi wanakwenda Arabuni ambapo wanapewa support kubwa kushinda hio ya Ulaya, mfano Mzuri tu Asamoah Gyan ambaye kosa lake ni kuifunga tu Uingereza akiwa na Ghana na kushangilia.