Waarabu wa Morocco Wawashangaza Waafrika

Kwenye mashindano ya kombe la dunia lililopita walidai mafanikio yao sio kwa africa bali ni kwa waarabu na waislamu
Hivi huelewi kuwa Waarabu wengi wapo Afrika?

Afrika ni ni bara "kontinenti" siyo kabila, siyo rangi, siyo dini.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Vipi wakati dikteta Idi Amin alipokuwa akiwachinja waganda na Morocco hiyo ilikuwepo chini ya mfalme Hassan II
Huo ni uongo mtupu kama uongo mwengine. Idi Amin alishambuliwa kwa kubadilisha kanisa kuwa msikiti, na alikuwa na sababu nzuri sana. Kulikuwa na kesi za watoto kulawitiwa kanisani.

Si unafahamu mambo kibarikiwa hayaanza leo wala jana?

Naona hizi habari za Mfalme Mohamed wa Morocco hazijakufurahisha kabisa?
 
Africa shall rise again
 
Huwezi ukanidanganya kitu, Uganda nimeenda sana na wananchi wa huko wanathibitisha mauaji ya kimbali yaliyofanyika chini ya utawala wa dikteta Idi Amin hadi Askofu Janun Luwum aliyekuwa akimkosoa kwa hayo mauaji aliuwawa kinyama.

Ila kwenu mwenye imani sawa na nyie hata achinje watu dunia nzima bado mtasema ni martyr.
 
Wangekua wanashikana hivi na kuteteana hata huko mashariki ya kati wangekua wa maana,,,,, 6 day war waarabu walishindwa kwa kusnitchiana,,,, hata Palestina leo anapata shida sababu ya waarabu ndumi la kuwili
 
Wangekua wanashikana hivi na kuteteana hata huko mashariki ya kati wangekua wa maana,,,,, 6 day war waarabu walishindwa kwa kusnitchiana,,,, hata Palestina leo anapata shida sababu ya waarabu ndumi la kuwili
Waarabu ni binadam kama wewe, wapo wa kila aina.
 
Ni jamii moja ya watu wa hovyo sana.
Ni kama jamii yoyote tu, wapo wema na wapo wasio wema.

uzuri wao, hata wale wabaya wao hawauwi kibaka wa simu au mwizi wa chupi kama Watanzania.
 
hakuna mfalme mwongo kama huyo, alisema atajenga uwanja Dodoma, ameshajenga. liongo sana hilo bwege.
 
Usidanganye umma. Uarabuni ni rangi,
Mzungu ni rangi na kadhalika
 
Sasa kwanini wanapindua viongozi wa kiraia! Hivi ndio ingekuwa Mama Samia amepinduliwa ingekuwa sawa!!!!!
 
Yaani unawa acha ndugu zako wa damu moja wafe nanjaa,kiu,baridi,nk Kisha chakula unawapelekea majirani wa ng'ambo
Cha ajabu jirani yako wa nyumba ya kushoto anaamua kuchukua blankets,maji,na chakula chake na kuwapa ndugu zako wa damu ambao wewe uliwanyima

Kwakifupi baada ya kupata habari hizo lazma utajiona wewe nikiumbe uliye kosa utu,hakili,ubinadamu,aibu,nahustahili,kuwa mmoja wa familia hiyo

Kwakifupi Samia ruto,akainde,mseveni, na viongozi woote wa Africa pamoja na AU yao wanajihisi hatia,usariti,na aibu,mioyoni mwao

Mungu ibariki Morocco mungu walaani washirika woote wa AU
 
= usaliti

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…