Waarabu wa Morocco Wawashangaza Waafrika

Algeria mbona walisapoti nchi hizo hasa Niger na kuahidi kuisaidia endapo itashambuliwa na ecowas pia ulikataa anga la nchi take kutumiwa na wavamizi.
 
Naam, kweli kabisa lakini wako wapi ndugu zao weusi? Mbona wamewatenga wasiitumie firsa hiyo ya "hakuna cha bure"?
Nadhani bibi utakuwa na tatizo la kutokuelewa Nini amesema huyo uliyemnukuu . Ni hivi katika Dunia ya Leo ya kibepari hakuna nchi inafanya mambo Kwa kukurupuka bila kuzingatia mambo hayo yana maslahi gani. Hapo Morocco ameamua hizo nchi zitumie bandari yake unafikiri kafanya hivyo Kwa ajiri ya kuonekana mwema au Kwa maslahi kiuchumi?

Nafahamu, wengi mtaumizwa kwa hili na sababu nnazijuwa. Lakini ndiyo ukweli huo.
 

= ajili.

Umesema kweli kabisa nna tatizo la "kutokuelewa" hujakosea. Sina tatizo la kuelewa.
 
Ecowas imewatenga lini hao wenzao?
 
kwan wamoroko wapo ndan ya AU sembuse ECOWAS ? hawafungaman na mtu hao , lkn waafrika tuwe makin tunaingizwa mkenge kwa kuwafurahia wanaotuletea ushetan wa mapinduz na kung'ang'ania madaraka ? kwann baada ya mapinduz wangesuka katiba na jeshi thabiti lisilo la kisiasa na kuandaa uchaguz wa kumpata kiongoz mpya
 
Kwani hujui kuwa waafrika hawapendani wao kwa wao Hata waarabu vilevile hawapendani wao kwa wao
 
Uarabu ni lugha na tamaduni

Unamaanisha ukijua Kiarabu tu na ukaziishi tamadun8 zao wewe si Mwafrika tena🤣🤣
Aloo kumbe ndo maana unajikubali sana.

Nimependezwa na Hurka ya Mfalme wa Morocco ameugusa moyo wangu yuko positive sanaaaa.
 
Iran nao wafanye hivyo kwa wapalestina wachukue wakimbizi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…