Waarabu wa Sudan waapa hakuna kusitisha mapigano kwenye ramadhani, ni mdundano na kuuana na mpaka kieleweke


Si liende kanisa lako kusuluhisha ?? Au Sudani hakuna wakristo ??
 
Afu ndo wanataka israel asitishe vita kisa mwezi mtukufu
Wacha israel aendelee kuwauwa sabu ndo kitu wamezoea
Na next month waisrael wanafanya kafala ya kuchinja ng’ombe wekundu 3 af sasa vita ianze rasmi
 
Waislam kupigana Ramadhan hakuna shida yoyote. Wakati wa Mtume mwenyewe alipigana na kuongoza vita kipindi cha Ramadan. Vita ilivyoongozwa na Mtume enzi zake wakati wa Ramadan ni vita ya Badr na vita dhidi ya Quaresh ambapo Makkah ilitekwa toka mikononi mwa wenyewe wapagani
 
Mungu fundi aligundua Hawa mabwana wakiongezeka sana Dunia itateseka Kwa hiyo wanabamizana wenyewe Ili ku maintain kutokuongezeka na vile hawana maarifa na elimu ukiwatifua kidogo tayari wanaanza kutoana roho
 
Naona roho mtakatifu wako kavaa kofia hapo
Mathayo (Mat) 12:32
Naye mtu ye yote atakayenena neno juu ya Mwana wa Adamu atasamehewa, bali yeye atakayenena neno juu ya Roho Mtakatifu hatasamehewa katika ulimwengu wa sasa, wala katika ule ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…