Waarabu wajanja sana walishapiga hesabu kuwa mafuta yana mwisho wa kuchimba

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Then baada ya mwisho wa kuchimba deposits za mafuta, zitakuwa zimeisha sasa wanatengeneza mikataba ya kilaghai ili ku meet future economic demands maeneo mbali mbali ili kupata future ecomonic sources of income hapo baadae when oil deposits runs out aisee.

20230701_033746.jpg
 
Kwa kuzingatia fursa zilizopo maeneo mbali mbali duniani!!!! Mfano hapa kwetu , hiyo RELI YA SGR , inayotengenezwa itakuwa kichocheo kikubwa sana hapo baadae kwa nchi za ukanda wa kati , then they. Do insanity.......

Bila shaka hata hiyo RELI. NAHO NI MIONGONI MWA ILE MIKATABA ILIYO SAINIWA
 
Back
Top Bottom