Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Ile dilomasia ya kinafiki ya Marekani kuwazuga waarabu inazidi kukwama.
Mawaziri wa nchi za nje wa jumuiya ya nchi za kiarabu wamemkatalia waziri wa masuala ya ulinzi wa Marekani kujadiliana nao juu ya namna ya kuiendesha Gaza baada ya vita kumalizika.Mazungumzo ya aina hiyo yamepata vikwazo mara kadhaa huko nyuma lakini bila haya Antony Blinken amekuwa akiyarudia kama kwamba anaozungumza nao ni misukule.
Hapo juzi mawaziri hao wakiongozwa na waziri wa mambo ya nje wa Saudia walimwambia suala la kuzungumzwa kwa sasa ni kusitishwa vita basi !
Wakaongeza kuwa na baada ya kusitishwa vita kinachotakiwa kujadiliwa ni kuundwa kwa taifa la Palestina kama ilivyo kwenye maazimio ya UN.