Waarabu wameleta maendeleo, uungwana na ustaarabu Zanzibar

Wapenzi wanajamii

Katika mwaka 1806 wenyeji wa Zanzibar, ambao walikuwa na asili ya Kiomani na Kishirazi walikwenda huko Sultanate ya Kiomani na kumuomba baba wa wafalme waadhimu, wakarimu, waungwana, wenye kuona mbele, Sayyid Said Al Said, (Mungu ailaze roho yake palaha pema na kumpa pepo ya firdaus na waja wengine wema na weye msomaji uitikie ameen) kuja Zanzibar kuwaondoshea watawala makatili wa Kireno waliokuwa wakifanya vitendo vya kinyama hapa visiwani kwetu.

Baada ya kuwashinda maadui wakubwa wa Zanzibar kwa wakati huo, Wareno. Wanzibari wakauona, ujasiri huruma, ukarimu na ukakamavu wa Sayyid Said na wakamuomba aendelee kukaa na kuvilinda Visiwa vya Zanzibar ili wahuni wareno wasije kurejea tena.

Mnamo mwaka 1832 akafika tena Zanzibar na nia ya kuviboresha visiwa vyetu. Hapo nyota ya jaha ya Zanzibar ikaanza kung'ara, maisha yakaanza kubalidika, mandeleo yakaanza kuingia kwa kasi kubwa sana. Mnamo mwaka 1836, Umarekani wakaamua kufungua ofosi ya kibalozi Zanzibar, balozi wa kwanza alikuwa Bw Richard Waters, kutoka Salem, Massachusetts. Balozi ya Uengerza ilifunguliwa mwaka 1841 Bw Atkins Hamerton akawa ndie balozi wa kwanza. Balozi za Ufaransa 1844, Ujerumani, Austria-Hungary 1885, Italy na Belgium 1849

Baada ya kifo cha baba etu kipenzi cha mioyo yetu Sayyid said, mtoto wake Sayyid Baraghash, mjasiria mali, aliyepevuka katika utawala, aliyeipendelea Zanzibar kuwa katika nchi bora duniani alileta maendeleo makubwa sana, mfano umeme mwaka 1883, hapo Zanzinar ikawa ni katika nchi za tatu duniani kuwezesha matumizi ya umeme. Sultan Barghash alikuwa ni mtawala wa kwanza Afrika kuweka lift katika nyumba, lilikuwa lift lilovumbuliwa na Bw Elisha Otis, hapo ilikuwa ni 1883. Akaleta kilimo cha hali ya juu, aliagizia mikarafuu, minazi, miembe, na miti mengine kutoka bara la Asia.

Baada ya kifo chake, tunamuomba Mungu aibariki roho yake na kuipa pepo ya Firdaus, watalawa walikuwa ni wa muda mfupi mfupi lakni mtoto wake akatawala na kukakataa utawala wa Kiingereza Zanzibar, kama kawaida yao wazungu, wakaamua kufanya fujo la kijeshi na vita baina ya Sultan Khalid bin Barghash na serikali ya Uingereza vilipiganwa. Vita vilodumu kwa muda wa dakika 45 tu na ni vita vinavyotambulikana katika historia ya dunia kama ndio vita vifupi vyao duniani.

Katika mwaka 1890(the Heligoland-Zanzibar Treaty of 1890) Coastal area za Tanganyika zilikodishwa kwa wajerumani kwa miaka 99. Mikataba iliwekwa saini baina ya Sultan Ali Bin said na the German East Africa Company. Siku yoyote Zanzibar ikipata uhuru wake kamili eneo hilo la Zanzibar lililopo Tanganyika litarudi kwa Zanzibar mmiliki wake asilia. Nyaraka za kodi zipo

Katika mwaka 1893 Mombasa na coastal area za Kenya zilikodisha kwa Waengerza kwa muda wa miaka 99. Siku yoyote Zanzibar ikipata uhuru wake kamili maeneo hayo yatarudi kwa mwenyewe asilia Zanzibar. Nyaraka za kodi zipo.

Ilipofika mwaka 1896 Zanzibar tayari iliweka huduma za simu. Kwa upande wa bara la Afrika ilikuwa ni Misri, Afrika Kusini na zanzibar tu ndio wenye huduma hizo. Zanzibar ilikuwa ni katika nchi 35 duniani waliokuwa wanatumia huduma za simu.

Zanzibar ilikuwa ni katika nchi tajiri zaidi katika bara la Afrika, yenye elimu ya hali ya juu na ustaarba usio kipimo. NASA waliweka Tracking Station pale Tunguu 1960. Kituo hiki kilifungwa baada ya serikali ya Zanzibar kuingia katika mikono ya Waafrika.

Kwa ufupi tu, ustaarabu, uungwana, ukweli, uzalendo na upendo wa Waarabu ulidhihirika sana hapa Zanzibar. Kuja kwao hapa za zanzibar ilikuwa ni neema kubwa sana.

Ahsanteni.
Hahaha GABACHORI
 
Huo ni upotoshaji.

Unawajua Wapemba/Wa-Bemba?

Unadhani kulikuwa na sababu zipi za msingi za Rais wa Msumbiji kufika Zanzibar?

=====

Muwe na shukurani kwa Baba wa Taifa la Zanzibar.

John Okello.

Okello kwa Dakika chache, kwa lugha na 'Lafudhi" yake, aliwaondoa Wanyanyasaji wa Kiarabu!

Ameen...na aendelee kupata kichapo cha kaburi, na akifufuka, achapwe tena na kurudishwa Jehanam.

Waarabu ndio watawala wetu badala yao Zanzibar imetawilwa na watanganyika, kwahivyo sisi huku, baba wa taifa na Sayyid Said Al said, Muadham, rehma za Allah ziwe juu yake. Na wewe sema Ninawapenda waarabu sababu Dar es salaam Imeanziswa na Sayyid Barghrash, aliyekufundisheni matumizi ya pesa ni Waarabu, Aliefunguwa maskuli, hospitali hadi University ni Waarabu. Muwe na shukurani kidogo.
 
20141018_MAP004_0.jpg

☝🏿
Ati.

Huo ni Ungwana?
SYLLOGIST

Waliokuwa wakiwakamata vijana wa Kiafrika na kuwauza walikuwa waafrika wenyewe. 100% true. Hilo si Tanganyika tu, bali Afrika nzima.

Wakuu wa Vijiji ndio walikuwa wahenga na wao ndio waliowavisha watoto wao minyororo na kuwatafuta Waarabu na wazungu kuwauza ndugu zao. Leo bado ndugu zenu wanawauza vijana kama wafanyakazi wa majumbani kwa Waarabu. Si lazima Uarabuni tu lakini hata hapo Dar na zanzibar.
 
...kama kawaida yao wazungu, wakaamua kufanya fujo la kijeshi na vita baina ya Sultan Khalid bin Barghash na serikali ya Uingereza vilipiganwa.
Ha ha haaa...eti vita vilipiganwa! Siyo kwamba katoto katundu kalitembezewa kipigo?
Vita vilodumu kwa muda wa dakika 45 tu na ni vita vinavyotambulikana katika historia ya dunia kama ndio vita vifupi vyao duniani.
Eti vita vya dakika 45? Je yupo aliyesalimu amri? Kama yupo, masharti gani alipewa?

Mzanzibari Huru, naomba nikukumbushe tu kuwa hii ni JF! Pamoja na kuvamiwa na viwavi wazee wapo!
 
Hadi leo hii. Mzanzibari asilia yaani Mwarabu hawezi kuachiwa kuiongoza Zanzibar. kama unavyojuwa waarabu ni makini sana katika uongozi na hilo limedhihirika Zanzibar. Hii ndio maana tuko hahe hohe.
Kwani waarabu ndio raia asilia wa zenji, hawakuwakuta watu hapo.
 
Lamborgini

Ahsante sana kwa suala lako lenye busara.

Waarabu ni binadamu wa pili kuweka mguu katika visiwa vya Zanzibar, wa kwanza walikuwa Washirazi kutoka Persia, sasa Iran.
 
Ha ha haaa...eti vita vilipiganwa! Siyo kwamba katoto katundu kalitembezewa kipigo?

Eti vita vya dakika 45? Je yupo aliyesalimu amri? Kama yupo, masharti gani alipewa?

Mzanzibari Huru, naomba nikukumbushe tu kuwa hii ni JF! Pamoja na kuvamiwa na viwavi wazee wapo!
Mag3

Ninakushangaa sana kuona labda uko mbali na maendeleo ya teknolojia ya leo. Hata kama unaishi vijijini na hukuwahi kufika katika miji wowote ule, ni aibu sana kwa leo kuwa hujui kama zipo njia za kuweza kupambanua ukweli na uwongo wa habari yoyote ya kihistoria unayoisikia au kuisoma. Lakini kwa vile umeweza kufika hadi kwenye Jamii Forum, na bado unashangazwa na taarifa fulani ya kihistoria, sina la kukwambia ila, unatutia aibu sana. Si ajabu umehitimu kutoka University fulani, lakini umesoimeshwa na wale maprofesa tai.

Nakuomba ujuwe katika zama hizi mtu akiosoma kitu mfano cha kihistoria akaona ana wasiwasi nacho kwanza huingia online akahakikisha, hata hilo umeshindwa kufanya? Halafu nyie ndio munaogombania madaraka kuzidi kuyapomosha maisha ya watu.

Au hujawahi kusikia katika zama hizi kuna ChatGPT, Gemini, Deepseek, Qwen, zote hizo ni AI, (Artificial Intelligence).

Sasa nakuomba uitizame sehemu hiyo ya historia ukimaliza uje hapa kuniomba radhi.
 
Napia walileta biashara ya utumwa na udhalilishaji mkubwa kwa mtu mweusi tukiwa tunapngelea hili tuongelee pande zote.
imhotep

Labda niseme kitu ambacho hukielewi au unajifanya hukielewi ni ukweli kwamba, utumwa ulikuwepo Afrika masharaki kabla kufika kwa Waarabu na Wazungu.

Labda hujui, lakini uliza tu wazee huko vijijini au maprofesa wa historia vyuoni, kulikuwa na vita vya makabila, na wapiganaji wa kabila moja wanaokamatwa na kabila nyengine walitumiliwa kama watumwa.

Waarabu walifika maeneo ya ndani ya Afrika mashariki hadi msumbiji, na kama hawakuona Waafrika wanafanyana watumwa wenyewe, wasingethubutu kuchukuwa mtumwa huko.

Jambo lingine ambalo ningekuomba ulifikirie ni kwamba Waarbu walikuja mtu mmoja tu, mfano ni huyu Mwarabu maarfu Hamad bin Muhammad bin Juma bin Rajab Al Murjebi, anajulikana zaidi kama Tipu Tip. Vipi mwarabu mmoja aliweza kuwakamata Waafrika 100 na kuwasafirisha kwenda sokoni Zanzibar? Wakuu wa makabila ndio waliokuwa wakiwauza watumwa wao kwa Tipu Tip, sio kuwauza tu, lakini kuwatia minyororo na kupokea malipo ya biashara yao. Tuwalaumu wakuu wa makabila sio Mwarabu.
 
Mbona hujaongelea kuhusu utumwa? Halafu unaeleza kama vile waarabu walikuja zanzibar kwao na nchi haikua na mwenyewe. Waarabu walileta dhiki na utumwa tu. Kama ni maendeleo ni ya kwao wenyeji walipoteza heshima utu na uhuru wao. Ni ajabu mtu unakuja na uzi kama huu. Unajiamini kwa vile ni mbaguzi unajua binadamu ni waarabu. Ukome kutujia na propaganda za aina hii.

wenyewe ni akina nani?
 
Wapenzi wanajamii

Katika mwaka 1806 wenyeji wa Zanzibar, ambao walikuwa na asili ya Kiomani na Kishirazi walikwenda huko Sultanate ya Kiomani na kumuomba baba wa wafalme waadhimu, wakarimu, waungwana, wenye kuona mbele, Sayyid Said Al Said, (Mungu ailaze roho yake palaha pema na kumpa pepo ya firdaus na waja wengine wema na weye msomaji uitikie ameen) kuja Zanzibar kuwaondoshea watawala makatili wa Kireno waliokuwa wakifanya vitendo vya kinyama hapa visiwani kwetu.

Baada ya kuwashinda maadui wakubwa wa Zanzibar kwa wakati huo, Wareno. Wanzibari wakauona, ujasiri huruma, ukarimu na ukakamavu wa Sayyid Said na wakamuomba aendelee kukaa na kuvilinda Visiwa vya Zanzibar ili wahuni wareno wasije kurejea tena.

Mnamo mwaka 1832 akafika tena Zanzibar na nia ya kuviboresha visiwa vyetu. Hapo nyota ya jaha ya Zanzibar ikaanza kung'ara, maisha yakaanza kubalidika, mandeleo yakaanza kuingia kwa kasi kubwa sana. Mnamo mwaka 1836, Umarekani wakaamua kufungua ofosi ya kibalozi Zanzibar, balozi wa kwanza alikuwa Bw Richard Waters, kutoka Salem, Massachusetts. Balozi ya Uengerza ilifunguliwa mwaka 1841 Bw Atkins Hamerton akawa ndie balozi wa kwanza. Balozi za Ufaransa 1844, Ujerumani, Austria-Hungary 1885, Italy na Belgium 1849

Baada ya kifo cha baba etu kipenzi cha mioyo yetu Sayyid said, mtoto wake Sayyid Baraghash, mjasiria mali, aliyepevuka katika utawala, aliyeipendelea Zanzibar kuwa katika nchi bora duniani alileta maendeleo makubwa sana, mfano umeme mwaka 1883, hapo Zanzinar ikawa ni katika nchi za tatu duniani kuwezesha matumizi ya umeme. Sultan Barghash alikuwa ni mtawala wa kwanza Afrika kuweka lift katika nyumba, lilikuwa lift lilovumbuliwa na Bw Elisha Otis, hapo ilikuwa ni 1883. Akaleta kilimo cha hali ya juu, aliagizia mikarafuu, minazi, miembe, na miti mengine kutoka bara la Asia.

Baada ya kifo chake, tunamuomba Mungu aibariki roho yake na kuipa pepo ya Firdaus, watalawa walikuwa ni wa muda mfupi mfupi lakni mtoto wake akatawala na kukakataa utawala wa Kiingereza Zanzibar, kama kawaida yao wazungu, wakaamua kufanya fujo la kijeshi na vita baina ya Sultan Khalid bin Barghash na serikali ya Uingereza vilipiganwa. Vita vilodumu kwa muda wa dakika 45 tu na ni vita vinavyotambulikana katika historia ya dunia kama ndio vita vifupi vyao duniani.

Katika mwaka 1890(the Heligoland-Zanzibar Treaty of 1890) Coastal area za Tanganyika zilikodishwa kwa wajerumani kwa miaka 99. Mikataba iliwekwa saini baina ya Sultan Ali Bin said na the German East Africa Company. Siku yoyote Zanzibar ikipata uhuru wake kamili eneo hilo la Zanzibar lililopo Tanganyika litarudi kwa Zanzibar mmiliki wake asilia. Nyaraka za kodi zipo

Katika mwaka 1893 Mombasa na coastal area za Kenya zilikodisha kwa Waengerza kwa muda wa miaka 99. Siku yoyote Zanzibar ikipata uhuru wake kamili maeneo hayo yatarudi kwa mwenyewe asilia Zanzibar. Nyaraka za kodi zipo.

Ilipofika mwaka 1896 Zanzibar tayari iliweka huduma za simu. Kwa upande wa bara la Afrika ilikuwa ni Misri, Afrika Kusini na zanzibar tu ndio wenye huduma hizo. Zanzibar ilikuwa ni katika nchi 35 duniani waliokuwa wanatumia huduma za simu.

Zanzibar ilikuwa ni katika nchi tajiri zaidi katika bara la Afrika, yenye elimu ya hali ya juu na ustaarba usio kipimo. NASA waliweka Tracking Station pale Tunguu 1960. Kituo hiki kilifungwa baada ya serikali ya Zanzibar kuingia katika mikono ya Waafrika.

Kwa ufupi tu, ustaarabu, uungwana, ukweli, uzalendo na upendo wa Waarabu ulidhihirika sana hapa Zanzibar. Kuja kwao hapa za zanzibar ilikuwa ni neema kubwa sana.

Ahsanteni.
Mapinduzi yalikuwa ya nn kama mambo yalikuwa mazuri kiasi hicho.maana uongo hujitenga na ukweli.
 
Unaleta thread ukiwa umejivua AKILI au vp
 
Kuzuia na kupangia watu kula wakati fulani au kutokula vyakula fulani sio uungawana wala ustaarabu.
 
Unaleta thread ukiwa umejivua AKILI au vp

JET SALLI

Kwa mtu yoyete anayetumia akili za kuazima anaweza kudhani kwamba mie sina uwezo wa kufikiri.

Sikulaumu kwa kuniona nimevua akili kichwani kwangu, iko siku na wewe unatweza kutumia akili zako mwenyewe alizokutunikia Mola Muumba. Itikia Ameeen.
 
Mapinduzi yalikuwa ya nn kama mambo yalikuwa mazuri kiasi hicho.maana uongo hujitenga na ukweli.

JET SALLI

Naona unapenda kujionesha kana kwamba ni mtu usiyejua historia ya wakoloni barani Afrika. wakoloni yaani wazungu.

Mapinduzi ya Zanzibar hayakufanywa na Mzanzibari, sisi tunawathaimni ni kuwaenzi na kuwashukru Waarabu kwa kuja kuijenga Zanzibar.

Kukujibu suala lako, mapinduzi yalikuwa na kusudio la kuifanya Zanzibar isiwe ni nchi yenye utulivu na amani ya moyo milele. Zanzibar kama nchi nyengine za Kiafrika baada ya uhuru hakukuwa na utulivu na amani ya moyo kwa sababu wazungu walihakikisha hilo.

Watu wa Zanzibar wametolewa kwenye raha za maisha na kutiwa umasikini usio na sababu, wamefanywa wawe na elimu finyu ili waweze kutawaliwa kiurahisi, leo hii tumefika hata watanganyika watu walio onekana duni sana wanatucheka, ujue haya mapinduzi yametufikisha chini sana.
 
Sasa mbona mzanzibari huyu hana kabisa hivyo vitu,Au wewe unamuonaje
 
Hv wakazi asili wa Zanzibar ni wazungu au waafrika au waarabu tusaidiane hapo.
 
Wakaazi wa mwanzo wa Zanzibar ni Washirazi kutoka Persia sasa panaitwa Iran. Wakifuatliwa na Waarabu. baadae Wahadimu wakaletwa Zanzibar kutoka sehemu mabali za Afrika mashariki ya leo. Wazungu walikuja mwisho.

Watu wa mwanzo kuweka mguu wao ndani ya Visiwa vya Zanzibar si Waafrika.
 
Sasa mbona mzanzibari huyu hana kabisa hivyo vitu,Au wewe unamuonaje
Mzanzibari yupi? Au sisi Wazanzibari wa sasa?

Ikiwa sisi sababu ya kupiga hatuwa nyuma sana ziko wazi tu mbona, kutawaliwa na Watanganyika. Ndio sababu kubwa ya kufifia na kufa maendeleo ya Zanzibar.
 
Kama namuelewa vizuri mleta uzi, ni kwamba visiwa Zanzibar (yaani Unguja na Pemba ) havikiwahi kukaliwa na watu hadi mwaka 1806 ambapo wageni kutoka Oman walikuja kukaa hapo na baadae ndio wakaenda kumwomba sultan wa kule kuja kumwondoa Mreno.
Kama ndio nilivo elewa ndio hasa anacho maananisha mleta uzi, then swali langu ni hili, "Mreno alikua akimtawala nani"? I mean, aliwakuta watu gani pale?
 
Back
Top Bottom