Hahaha GABACHORIWapenzi wanajamii
Katika mwaka 1806 wenyeji wa Zanzibar, ambao walikuwa na asili ya Kiomani na Kishirazi walikwenda huko Sultanate ya Kiomani na kumuomba baba wa wafalme waadhimu, wakarimu, waungwana, wenye kuona mbele, Sayyid Said Al Said, (Mungu ailaze roho yake palaha pema na kumpa pepo ya firdaus na waja wengine wema na weye msomaji uitikie ameen) kuja Zanzibar kuwaondoshea watawala makatili wa Kireno waliokuwa wakifanya vitendo vya kinyama hapa visiwani kwetu.
Baada ya kuwashinda maadui wakubwa wa Zanzibar kwa wakati huo, Wareno. Wanzibari wakauona, ujasiri huruma, ukarimu na ukakamavu wa Sayyid Said na wakamuomba aendelee kukaa na kuvilinda Visiwa vya Zanzibar ili wahuni wareno wasije kurejea tena.
Mnamo mwaka 1832 akafika tena Zanzibar na nia ya kuviboresha visiwa vyetu. Hapo nyota ya jaha ya Zanzibar ikaanza kung'ara, maisha yakaanza kubalidika, mandeleo yakaanza kuingia kwa kasi kubwa sana. Mnamo mwaka 1836, Umarekani wakaamua kufungua ofosi ya kibalozi Zanzibar, balozi wa kwanza alikuwa Bw Richard Waters, kutoka Salem, Massachusetts. Balozi ya Uengerza ilifunguliwa mwaka 1841 Bw Atkins Hamerton akawa ndie balozi wa kwanza. Balozi za Ufaransa 1844, Ujerumani, Austria-Hungary 1885, Italy na Belgium 1849
Baada ya kifo cha baba etu kipenzi cha mioyo yetu Sayyid said, mtoto wake Sayyid Baraghash, mjasiria mali, aliyepevuka katika utawala, aliyeipendelea Zanzibar kuwa katika nchi bora duniani alileta maendeleo makubwa sana, mfano umeme mwaka 1883, hapo Zanzinar ikawa ni katika nchi za tatu duniani kuwezesha matumizi ya umeme. Sultan Barghash alikuwa ni mtawala wa kwanza Afrika kuweka lift katika nyumba, lilikuwa lift lilovumbuliwa na Bw Elisha Otis, hapo ilikuwa ni 1883. Akaleta kilimo cha hali ya juu, aliagizia mikarafuu, minazi, miembe, na miti mengine kutoka bara la Asia.
Baada ya kifo chake, tunamuomba Mungu aibariki roho yake na kuipa pepo ya Firdaus, watalawa walikuwa ni wa muda mfupi mfupi lakni mtoto wake akatawala na kukakataa utawala wa Kiingereza Zanzibar, kama kawaida yao wazungu, wakaamua kufanya fujo la kijeshi na vita baina ya Sultan Khalid bin Barghash na serikali ya Uingereza vilipiganwa. Vita vilodumu kwa muda wa dakika 45 tu na ni vita vinavyotambulikana katika historia ya dunia kama ndio vita vifupi vyao duniani.
Katika mwaka 1890(the Heligoland-Zanzibar Treaty of 1890) Coastal area za Tanganyika zilikodishwa kwa wajerumani kwa miaka 99. Mikataba iliwekwa saini baina ya Sultan Ali Bin said na the German East Africa Company. Siku yoyote Zanzibar ikipata uhuru wake kamili eneo hilo la Zanzibar lililopo Tanganyika litarudi kwa Zanzibar mmiliki wake asilia. Nyaraka za kodi zipo
Katika mwaka 1893 Mombasa na coastal area za Kenya zilikodisha kwa Waengerza kwa muda wa miaka 99. Siku yoyote Zanzibar ikipata uhuru wake kamili maeneo hayo yatarudi kwa mwenyewe asilia Zanzibar. Nyaraka za kodi zipo.
Ilipofika mwaka 1896 Zanzibar tayari iliweka huduma za simu. Kwa upande wa bara la Afrika ilikuwa ni Misri, Afrika Kusini na zanzibar tu ndio wenye huduma hizo. Zanzibar ilikuwa ni katika nchi 35 duniani waliokuwa wanatumia huduma za simu.
Zanzibar ilikuwa ni katika nchi tajiri zaidi katika bara la Afrika, yenye elimu ya hali ya juu na ustaarba usio kipimo. NASA waliweka Tracking Station pale Tunguu 1960. Kituo hiki kilifungwa baada ya serikali ya Zanzibar kuingia katika mikono ya Waafrika.
Kwa ufupi tu, ustaarabu, uungwana, ukweli, uzalendo na upendo wa Waarabu ulidhihirika sana hapa Zanzibar. Kuja kwao hapa za zanzibar ilikuwa ni neema kubwa sana.
Ahsanteni.
Huo ni upotoshaji.
Unawajua Wapemba/Wa-Bemba?
Unadhani kulikuwa na sababu zipi za msingi za Rais wa Msumbiji kufika Zanzibar?
=====
Muwe na shukurani kwa Baba wa Taifa la Zanzibar.
John Okello.
Okello kwa Dakika chache, kwa lugha na 'Lafudhi" yake, aliwaondoa Wanyanyasaji wa Kiarabu!
Ameen...na aendelee kupata kichapo cha kaburi, na akifufuka, achapwe tena na kurudishwa Jehanam.
SYLLOGIST
☝🏿
Ati.
Huo ni Ungwana?
Ha ha haaa...eti vita vilipiganwa! Siyo kwamba katoto katundu kalitembezewa kipigo?...kama kawaida yao wazungu, wakaamua kufanya fujo la kijeshi na vita baina ya Sultan Khalid bin Barghash na serikali ya Uingereza vilipiganwa.
Eti vita vya dakika 45? Je yupo aliyesalimu amri? Kama yupo, masharti gani alipewa?Vita vilodumu kwa muda wa dakika 45 tu na ni vita vinavyotambulikana katika historia ya dunia kama ndio vita vifupi vyao duniani.
Kwani waarabu ndio raia asilia wa zenji, hawakuwakuta watu hapo.Hadi leo hii. Mzanzibari asilia yaani Mwarabu hawezi kuachiwa kuiongoza Zanzibar. kama unavyojuwa waarabu ni makini sana katika uongozi na hilo limedhihirika Zanzibar. Hii ndio maana tuko hahe hohe.
Kwani waarabu ndio raia asilia wa zenji, hawakuwakuta watu hapo.
Mag3Ha ha haaa...eti vita vilipiganwa! Siyo kwamba katoto katundu kalitembezewa kipigo?
Eti vita vya dakika 45? Je yupo aliyesalimu amri? Kama yupo, masharti gani alipewa?
Mzanzibari Huru, naomba nikukumbushe tu kuwa hii ni JF! Pamoja na kuvamiwa na viwavi wazee wapo!
imhotepNapia walileta biashara ya utumwa na udhalilishaji mkubwa kwa mtu mweusi tukiwa tunapngelea hili tuongelee pande zote.
Mbona hujaongelea kuhusu utumwa? Halafu unaeleza kama vile waarabu walikuja zanzibar kwao na nchi haikua na mwenyewe. Waarabu walileta dhiki na utumwa tu. Kama ni maendeleo ni ya kwao wenyeji walipoteza heshima utu na uhuru wao. Ni ajabu mtu unakuja na uzi kama huu. Unajiamini kwa vile ni mbaguzi unajua binadamu ni waarabu. Ukome kutujia na propaganda za aina hii.
Mapinduzi yalikuwa ya nn kama mambo yalikuwa mazuri kiasi hicho.maana uongo hujitenga na ukweli.Wapenzi wanajamii
Katika mwaka 1806 wenyeji wa Zanzibar, ambao walikuwa na asili ya Kiomani na Kishirazi walikwenda huko Sultanate ya Kiomani na kumuomba baba wa wafalme waadhimu, wakarimu, waungwana, wenye kuona mbele, Sayyid Said Al Said, (Mungu ailaze roho yake palaha pema na kumpa pepo ya firdaus na waja wengine wema na weye msomaji uitikie ameen) kuja Zanzibar kuwaondoshea watawala makatili wa Kireno waliokuwa wakifanya vitendo vya kinyama hapa visiwani kwetu.
Baada ya kuwashinda maadui wakubwa wa Zanzibar kwa wakati huo, Wareno. Wanzibari wakauona, ujasiri huruma, ukarimu na ukakamavu wa Sayyid Said na wakamuomba aendelee kukaa na kuvilinda Visiwa vya Zanzibar ili wahuni wareno wasije kurejea tena.
Mnamo mwaka 1832 akafika tena Zanzibar na nia ya kuviboresha visiwa vyetu. Hapo nyota ya jaha ya Zanzibar ikaanza kung'ara, maisha yakaanza kubalidika, mandeleo yakaanza kuingia kwa kasi kubwa sana. Mnamo mwaka 1836, Umarekani wakaamua kufungua ofosi ya kibalozi Zanzibar, balozi wa kwanza alikuwa Bw Richard Waters, kutoka Salem, Massachusetts. Balozi ya Uengerza ilifunguliwa mwaka 1841 Bw Atkins Hamerton akawa ndie balozi wa kwanza. Balozi za Ufaransa 1844, Ujerumani, Austria-Hungary 1885, Italy na Belgium 1849
Baada ya kifo cha baba etu kipenzi cha mioyo yetu Sayyid said, mtoto wake Sayyid Baraghash, mjasiria mali, aliyepevuka katika utawala, aliyeipendelea Zanzibar kuwa katika nchi bora duniani alileta maendeleo makubwa sana, mfano umeme mwaka 1883, hapo Zanzinar ikawa ni katika nchi za tatu duniani kuwezesha matumizi ya umeme. Sultan Barghash alikuwa ni mtawala wa kwanza Afrika kuweka lift katika nyumba, lilikuwa lift lilovumbuliwa na Bw Elisha Otis, hapo ilikuwa ni 1883. Akaleta kilimo cha hali ya juu, aliagizia mikarafuu, minazi, miembe, na miti mengine kutoka bara la Asia.
Baada ya kifo chake, tunamuomba Mungu aibariki roho yake na kuipa pepo ya Firdaus, watalawa walikuwa ni wa muda mfupi mfupi lakni mtoto wake akatawala na kukakataa utawala wa Kiingereza Zanzibar, kama kawaida yao wazungu, wakaamua kufanya fujo la kijeshi na vita baina ya Sultan Khalid bin Barghash na serikali ya Uingereza vilipiganwa. Vita vilodumu kwa muda wa dakika 45 tu na ni vita vinavyotambulikana katika historia ya dunia kama ndio vita vifupi vyao duniani.
Katika mwaka 1890(the Heligoland-Zanzibar Treaty of 1890) Coastal area za Tanganyika zilikodishwa kwa wajerumani kwa miaka 99. Mikataba iliwekwa saini baina ya Sultan Ali Bin said na the German East Africa Company. Siku yoyote Zanzibar ikipata uhuru wake kamili eneo hilo la Zanzibar lililopo Tanganyika litarudi kwa Zanzibar mmiliki wake asilia. Nyaraka za kodi zipo
Katika mwaka 1893 Mombasa na coastal area za Kenya zilikodisha kwa Waengerza kwa muda wa miaka 99. Siku yoyote Zanzibar ikipata uhuru wake kamili maeneo hayo yatarudi kwa mwenyewe asilia Zanzibar. Nyaraka za kodi zipo.
Ilipofika mwaka 1896 Zanzibar tayari iliweka huduma za simu. Kwa upande wa bara la Afrika ilikuwa ni Misri, Afrika Kusini na zanzibar tu ndio wenye huduma hizo. Zanzibar ilikuwa ni katika nchi 35 duniani waliokuwa wanatumia huduma za simu.
Zanzibar ilikuwa ni katika nchi tajiri zaidi katika bara la Afrika, yenye elimu ya hali ya juu na ustaarba usio kipimo. NASA waliweka Tracking Station pale Tunguu 1960. Kituo hiki kilifungwa baada ya serikali ya Zanzibar kuingia katika mikono ya Waafrika.
Kwa ufupi tu, ustaarabu, uungwana, ukweli, uzalendo na upendo wa Waarabu ulidhihirika sana hapa Zanzibar. Kuja kwao hapa za zanzibar ilikuwa ni neema kubwa sana.
Ahsanteni.
Unaleta thread ukiwa umejivua AKILI au vpWapenzi wanajamii

Unaleta thread ukiwa umejivua AKILI au vp
Mapinduzi yalikuwa ya nn kama mambo yalikuwa mazuri kiasi hicho.maana uongo hujitenga na ukweli.
Hv wakazi asili wa Zanzibar ni wazungu au waafrika au waarabu tusaidiane hapo.JET SALLI
Naona unapenda kujionesha kana kwamba ni mtu usiyejua historia ya wakoloni barani Afrika. wakoloni yaani wazungu.
Mapinduzi ya Zanzibar hayakufanywa na Mzanzibari, sisi tunawathaimni ni kuwaenzi na kuwashukru Waarabu kwa kuja kuijenga Zanzibar.
Kukujibu suala lako, mapinduzi yalikuwa na kusudio la kuifanya Zanzibar isiwe ni nchi yenye utulivu na amani ya moyo milele. Zanzibar kama nchi nyengine za Kiafrika baada ya uhuru hakukuwa na utulivu na amani ya moyo kwa sababu wazungu walihakikisha hilo.
Watu wa Zanzibar wametolewa kwenye raha za maisha na kutiwa umasikini usio na sababu, wamefanywa wawe na elimu finyu ili waweze kutawaliwa kiurahisi, leo hii tumefika hata watanganyika watu walio onekana duni sana wanatucheka, ujue haya mapinduzi yametufikisha chini sana.
Hv wakazi asili wa Zanzibar ni wazungu au waafrika au waarabu tusaidiane hapo.
Ikiwa unasema ukweli, lete ushahidi kamili.Kuzuia na kupangia watu kula wakati fulani au kutokula vyakula fulani sio uungawana wala ustaarabu.
Mzanzibari yupi? Au sisi Wazanzibari wa sasa?Sasa mbona mzanzibari huyu hana kabisa hivyo vitu,Au wewe unamuonaje