Waarabu wameleta maendeleo, uungwana na ustaarabu Zanzibar

Nimekuelewa kiongozi kumbe Zanzibar haina mwenyewe wote wahamiaji.
 
Mzanzibari yupi? Au sisi Wazanzibari wa sasa?

Ikiwa sisi sababu ya kupiga hatuwa nyuma sana ziko wazi tu mbona, kutawaliwa na Watanganyika. Ndio sababu kubwa ya kufifia na kufa maendeleo ya Zanzibar.
Kama akili zenyewe ni kama za huyu wa Gwajimaze,Mtasubiri sana
 
Mleta uzi hujui historia hebu kasome vizuri au utakua ni muislam na mwarabu koko.
Zanzibar haina mwenyewe wote hapo ni walowezi, wakuja na watumwa wasiojua asili yao.
Basi tutajie walau kabila moja na lugha ya kabila hilo inayopatika hapo visiwani.
 
Nimekuelewa kiongozi kumbe Zanzibar haina mwenyewe wote wahamiaji.

Ukitaka kutumia kauli hiyo hakuna shida yoyote.

Kikawaida ukitaka kuchunguza visiwa vyovyote duniani wakaazi wa mwanzao ni wahamiaji tu. Aghalabu kunakuwa na sababu za kiuchumi ndio watu wakaanza kuhamia humo, kwa Zanzibar Washirazi walikuwa wakichukuwa maji ya matumizi katika majahazi yao.

Lakini ikwa sababu Washirazi ndio watu wa mwanzo kuviona visiwa vya Zanzibar, na ndio walioanza kuvitumilia kwa njia moja au nyengine, na ndio walionza kufanya sehemu ya kupumzikia wakati wakichukuwa maji, wao ndio wanaopaswa kuitwa wenyeji wa Zanzibar. hiyo si kauli yangu, muulize Mzanzibari yoyote ninani mwenyeji asili wa zanzibar, jawabu itakuwa Washirazi. Unaikumbuka Shirazi Association iliyoungana na Afro Association wakafanya Afroshirazi Party.

Mwarabu ni mtu wa pili kuhamia Zanzibar na wao pia walikuwa wasifiri baharini kama vile washirazi.
 
Kama akili zenyewe ni kama za huyu wa Gwajimaze,Mtasubiri sana

The Legacy

Kusubiri sio tatizo kubwa sana, ilimradiunajuwa unachokisubiri.

Sisi tuna hakika Afrika itatawaliwa tena, Zanzibar inayo chance ya kuitawala Tanganyika kwa mara pili. Hatujali kusubiri kwa sababu tunajuwa siku inakuja. Safari hii hatutofany amakosa kama safari iliyopita.
 
Atakufa yule nakuambia
 
Wakaazi wa mwanzo wa Zanzibar ni Washirazi kutoka Persia sasa panaitwa Iran.
Kwamba Visiwa vya Zanzibar vilikuwa havina wenyeji.

Ndio yale ya kusema, Mzungu ndie aliyegundua mlima kilimanjaro, kana kwamba hapakuwepo na wenyeji waliokuwa wanajua mlima upo.
Wakifuatliwa na Waarabu. baadae Wahadimu wakaletwa Zanzibar kutoka sehemu mabali za Afrika mashariki ya leo. Wazungu walikuja mwisho.
Lete hiko kisa hapa. Lete ushahidi au hayo yabakie kuwa ni maneno matupu. Manake unayoyadai yameandikwa pahali.

Wapi?
Watu wa mwanzo kuweka mguu wao ndani ya Visiwa vya Zanzibar si Waafrika.
Hakika☝🏿 sio ya kweli hata kiduchu.

Tukizingatia eneo moja la uumbwaji wa binadamu, kisayansi(evolution) Tanzania ambayo ipo Afrika na sio eneo lingine, ambapo pia kuna Watu wake(Waafrika) ndipo alipokutwa binadamu aliyetembea kwa miguu.

Zanzibar, ambayo pia ipo Afrika, tena eneo ambalo linasadikika kuwa ndio "cradle of humankind" unawezaje kusema mguu wa kwanza kufika huku alikuwa Mshirazi au Mwarabu au Mzungu?

Una account vipi Wanadamu waliokuwa wakiishi huku?

Unalazimisha sana mambo.
 
Pambafu. Peleka uongo na ujinga wako huko.
 
Mapinduzi yalikuwa ya nn kama mambo yalikuwa mazuri kiasi hicho.maana uongo hujitenga na ukweli.

Mapinduzi yalifanywa na watanganyika ndugu, na ndio mana visiwa wanacitawala mpaka leo
 

mkuu wewe umepita patupu
 
Mleta uzi hujui historia hebu kasome vizuri au utakua ni muislam na mwarabu koko.
Zanzibar haina mwenyewe wote hapo ni walowezi, wakuja na watumwa wasiojua asili yao.
Basi tutajie walau kabila moja na lugha ya kabila hilo inayopatika hapo visiwani.

Tanganyika in mwenyewe?
 
Ustaarabu wa kitoruhusu imani zingine isipokuwa allah peke yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…