permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Ubaguzi umetoka wapi, ni kama mtu kauliza swali genuine.Racism inakusumbua.
Discrimination inakutesa,sisi ni wepesi sana kuonyesha ubaguzi ila ngoja sisi tubaguliwe ndio utaona povu kama lote.
Cheki hizo takwimu nilizokuwekea hapo juu utaona kila kitu.
Wamefanikiwa kucheza round ya 16 mfano mzuri aligeria alicheza round ya 16 na Germany mwaka 2014 kwenye finali zilizofanyika Brazil mechi ikatamatika Kwa Germany kupata ushindi wa mbili moja kweny muda wa ziada afu acha maswali ya kibaguzi unavouliza warabu taja taifa huska Iran,Saudi Arabia, Oman ,wote ni warabu
Cameroon aliyefika robo fainaliUmebadilisha hoja baada ya wadau kujibu hoja yako ya mwanzo juu ya "ubovu" wa waarabu.
Baada ya wadau kukujibu kwa data naona umebadili hoja..
Mfano
Cameroon kashiriki mara 7 kavuka mara moja tu makundi.
Algeria na Morocco wamevuka makundi mara mbili japo wameshiriki mara chache zaidi.
Wewe kwa upeo wako nani kati ya hao kafanya vizuri?
Waarabu wanamafanikio kuliko wa africa weusi kwenye mashindano ya kombe la dunia?
Ndio mfano mzuri huyo aligeria au wew Kwa akili Yako kucheza round of 16 kweny kombe la Dunia unazan ni kitu kidogo ngoja nikupe mfano mdogo Italy mwaka 2006 alikua bingwa wa Dunia ila kweny word cup ya 2010 akatokea hatua ya makundi ,Ghana mwaka 2010 alicheza hatua ya robo fainali mwaka 2014 akatokea hatua ya makundi, Germany mwaka 2014 alikua bingwa wa kombe la Dunia ila mwaka 2018 akatolewa hatua ya makundi
In general yes..!
Sababu 50% ya waarabu walioshiriki (Algeria na Morocco ) wamevuka makundi.
Wakati 44.4% ya wabantu walioshiriki ( Cameroon, Nigeria, Senegal na Ghana) wamevuka makundi.
Kama walivyo Senegal mizigo 2002 kafika robo ila 2006, 2010,2014.kote huko hakushiriki na 2022 kashanyewa jana Gori mojaTukubali kuwa waarabu ni mizigo wanaaibisha africa
Timu gani ya kiarabu imewahi kufika robo fainali?
Mafanikio hayapimwi kwa kigezo kimoja..
Pia tofautisha mafanikio na bahati.. Kama unashiriki mara 7 then unavuka makundi mara moja pekee hiyo obviously ni BAHATI hata kama utafika fainali.
Kama walivyo Senegal mizigo 2002 kafika robo ila 2006, 2010,2014.kote huko hakushiriki na 2022 kashanyewa jana Gori moja
Timu gani ya kiarabu imewahi kucheza robo fainali world cup
Hoja yako uliyoanzishia mada ilishapingwa kwa data.. Hapa naona unapuyanga tu..
Co wew kitendo Cha warabu kutofika robo fainali ndio unaona hawana mafanikio ao warabu unaona hawana mafanikio ndio watakua wakishirikishi wako 2022 aligeria,egypty ,Tunisia,morroco jiande kuwatazamaWaarabu wamehawi kupata mafanikio kama senegal mashindano ya kombe la dunia?
Nimeikumbuka Ghana ya kina Asamoah Gyan, Apiah, Agogo(RIP) ilituwakilisha hadi robo fainali kule bondeni kwa Madimba(2010)Rekodi za Nigeria, Ghana,Cameroon na senegal zinaeleweka kombe la dunia huwa wanatufutia aibu
Je, hawa waarabu wanarekod yeyote nzuri? Wakienda kombe la dunia? Wameshawahi kuvuka hata makundi?
Kwanini wamefanikiwa soka la africa lkn wakivuka mpaka wa bara wanakuwa kama timu za ndondo?
Swali linasema mwarabu alishawahi kufanikiwa kama senegal kwenye mashindano ya world cup?
We fala taifa stars mwisho ni misriWatanzania katika ubora wetu, tunajadili in details ya wenzetu, je sisi tutafika huko lini?,Africon ya mwisho 1980 loooooo, Peter Tino,Juma Pondamali, T.Ally, M.Salim, etc etc no Jella Mtagwa (legend)hawa wa sasa chips na mayai, hii team ya 1980 walikua wanakula shima ya Unga wa ngano!
Hizi bange ndo mana zilipigwa marufukuMakao makuu ya cuf yapo misri? Umedanganya mkuu yapo buguruni