Algeria alitolewa na Germany extratime 2014 16 boraRekodi za Nigeria, Ghana, Cameroon na Senegal zinaeleweka Kombe la Dunia huwa wanatufutia aibu.
Je, hawa Waarabu wanarekodi yoyote nzuri? Wakienda World Cup? Wameshawahi kuvuka hata makundi?
Kwa nini wamefanikiwa soka la Africa lakini wakivuka mpaka wa Bara wanakuwa kama timu za ndondo?
Wewe punguani unajua maana ya Nilo?Hii sio kweli, wajaluo hawana ukaribu wowote na waarabu wa Misri. Wakati waarabu wa Misri ni Semitic, wajaluo wao ni Nilotic asili yao ikiwa ni jimbo la Bahar El Ghazal ambayo leo iko kaskazini magharibi mwa South Sudan.
Unajua ukishazeeka unakuwa "Dotard" chance kubwa ni hiyo.Wewe punguani unajua maana ya Nilo?
Exactly, sasa Wamisri are they pertaining to Nile or not? Wajaluo are they pertaining to Nile or not?Unajua ukishazeeka unakuwa "Dotard" chance kubwa ni hiyo.
NILE:
"River in Africa, one of the world's oldest surviving place names, from a Semitic root nahal "river." Unnamed in Old Testament, it is always merely "the river" (Hebrew yeor)."
Hence: Prefix Nilo means pertaining to nile.
Hamna cha bahato kwenye rekodi za soka. Kuna matokeo tu2014 magiants wa afrika, Algeria alifanya vizuri
Algeria na Germany, sema bahati haikua yao
Attention: Fanya masahihisho hapo kwa Cameroon, walishiriki kombe la dunia mara ya kwanza mwaka 1982 na hawakuvuka hatua ya makundi lakini waliposhiriki kwa mara ya pili mwaka 1990 ndio wakafika robo fainali na kutolewa na England.
In my context, I meant Nilotic as refers the classification of mankind, pigmentation and language rather than for the people whose origin is the geographical location of the river Nile.Exactly, sasa Wamisri are they pertaining to Nile or not? Wajaluo are they pertaining to Nile or not?
Ukijibu maswali hayo utakuwa ushaelewa nilichomaanisha. Labda uwe poyoyo wa makusudi tu.
Kwahiyo ile timu iliyocheza Afcon 2019 kule misri ni nchi ganiWatanzania katika ubora wetu, tunajadili in details ya wenzetu, je sisi tutafika huko lini?,Africon ya mwisho 1980 loooooo, Peter Tino,Juma Pondamali, T.Ally, M.Salim, etc etc no Jella Mtagwa (legend)hawa wa sasa chips na mayai, hii team ya 1980 walikua wanakula shima ya Unga wa ngano!
Asamoah Gyan lile tuta lakuipeleka Ghana na Africa Nusu fainali World Cup likagonga mwamba wa juu na refarii akapuliza kipyenga kuashiria mechi imefika tamati, niliumia sana.Nigeria ana Record sawa na Morocco na Algeria kwanini unahisi hao waarabu hawafanyi vizuri na Nigeria anafanya?
Hii ni ramani ya Africa kwa Nchi zilizocheza world cup
View attachment 2165043
Tier 1 nchi ambazo zimefika Robo
-Ghana
-Cameroon
-Senegal
Tier 2 Nchi ambazo zimefika Mtoano (round 16)
-Nigeria
-Algeria
-Morocco
Tier 3 aka wasindikizaji
-South Africa
-Egpty
-Tunisia
-Angola
-Togo
-Congo
Hivyo mkuu nilichojifunza hapo
1. Ni Nchi 4 tu za kiarabu ambazo hufuzu world cup kuna Nchi kibao za kiarabu haziendi kama Libya, Mauritania, Sudan, western sahara etc.
2. Kati ya Nchi 4 za Kiarabu mbili zimefanya vizuri.
3. Nchi nyingi za kiafrica haziendi world cup, wanaoenda ni wale wale kila mwaka.
Wote hata Cameroon na Senegal walitoka Kizembe, Cameroon nasikia tu, ila senegal walitolewa na Uturuki kizembe nao Goli la Extra time. Ilhan mansiz anafunga.Asamoah Gyan lile tuta lakuipeleka Ghana na Africa Nusu fainali World Cup likagonga mwamba wa juu na refarii akapuliza kipyenga kuashiria mechi imefika tamati, niliumia sana.
Asamoah Gyan lile tuta lakuipeleka Ghana na Africa Nusu fainali World Cup likagonga mwamba wa juu na refarii akapuliza kipyenga kuashiria mechi imefika tamati, niliumia sana.
SawaMimi nilifurahi sana ghana wametolewa.
Pigmentation doesn't matter where you are geographically, pigmentation is simply melanin (biologically). Look at Egyptian Pharaohs. For your information, even Jesus was Black.In my context, I meant Nilotic as refers the classification of mankind, pigmentation and language rather than for the people whose origin is the geographical location of the river Nile.
Aisee ile mechi ilikuwa kali.. Wazungu wana pumzi sio mchezo, sijui kwa nini wana endurance kubwa vile wakati wao wanaishi kimayai kuliko weusi2014 magiants wa afrika, Algeria alifanya vizuri
Algeria na Germany, sema bahati haikua yao
Alifika hatua ya 16 bora akakutana na Ujerumani, walipelekeshana sana wakatoka sare 0-0 dk 90Hakufanya vizuri alishinda mechi moja pekee dhidi ya wabovu korea kusini