Nigeria ana Record sawa na Morocco na Algeria kwanini unahisi hao waarabu hawafanyi vizuri na Nigeria anafanya?
Hii ni ramani ya Africa kwa Nchi zilizocheza world cup
View attachment 2165043
Tier 1 nchi ambazo zimefika Robo
-Ghana
-Cameroon
-Senegal
Tier 2 Nchi ambazo zimefika Mtoano (round 16)
-Nigeria
-Algeria
-Morocco
Tier 3 aka wasindikizaji
-South Africa
-Egpty
-Tunisia
-Angola
-Togo
-Congo
Hivyo mkuu nilichojifunza hapo
1. Ni Nchi 4 tu za kiarabu ambazo hufuzu world cup kuna Nchi kibao za kiarabu haziendi kama Libya, Mauritania, Sudan, western sahara etc.
2. Kati ya Nchi 4 za Kiarabu mbili zimefanya vizuri.
3. Nchi nyingi za kiafrica haziendi world cup, wanaoenda ni wale wale kila mwaka.