The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kwahiyo China akifeli ina maanisha kua na wengine lazima watafeli?Uarabuni watafeli tu na hiyo project Yao walianza China mwisho wakaona hakuna faida yyte.
Daa hapo ulipoingiza mambo ya kulalana tena ndo nimekuona kumbe huna akili sasa vina uhusiano gani na mpira? Kama ni hivyo hata kule West Africa wanajua sana mpira na waafrika wenzetu mbona sisi hatujui?Mzee asernal Wenger alipoulizwa na watu wa China ,Mzee Sisi tufanyeje tuwe kama nyinyi huko ulaya?Mzee asernal Wenger alijibu kama hivi;Uingereza iliwachukua miaka 150 kufika pale walipo!
Sasa mtoa mada huko uarabuni unakosema bado sana ,kuna sababu zinazofika 30 kuweza kufika Ile Hali unayoona pale England.
Nikuulize swali mwarabu yupi anakubali kulala na ngozi nyeusi ili tupate watoto?Jibu angalia England ilivyo wao wataweza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sio kirahisi hivyo
Nenda Kigoma ,Tabora Shinyanga Pembe Unguja kote kuna damu za WaarabuMzee asernal Wenger alipoulizwa na watu wa China ,Mzee Sisi tufanyeje tuwe kama nyinyi huko ulaya?Mzee asernal Wenger alijibu kama hivi;Uingereza iliwachukua miaka 150 kufika pale walipo!
Sasa mtoa mada huko uarabuni unakosema bado sana ,kuna sababu zinazofika 30 kuweza kufika Ile Hali unayoona pale England.
Nikuulize swali mwarabu yupi anakubali kulala na ngozi nyeusi ili tupate watoto?Jibu angalia England ilivyo wao wataweza?🤣🤣🤣🤣sio kirahisi hivyo
Jamaa ameiweka sana kitaalamu. Baada ya football kuna muingiliano wa kimaisha lazima uwepo.Daa hapo ulipoingiza mambo ya kulalana tena ndo nimekuona kumbe huna akili sasa vina uhusiano gani na mpira? Kama ni hivyo hata kule West Africa wanajua sana mpira na waafrika wenzetu mbona sisi hatujui?
Aliempa alikuwa MBS jamaa alinmkera sana MBS jamaa akamuonesha jeuri ya pesaIli uitwe uarabuni inabidi ukakipige kwanza ulaya ili uonekane !! Kwa hiyo ulaya ni stage ya kuoneshea umahiri !! Baadae mabosi wanakuchukua
Ila waarabu wana mawe aseee mtu hizo figure analipwa budget ya baadhi ya nchi [emoji23][emoji23][emoji23] niliwahi kuona interview moja ya LIL WAYNE anasimuliwa alivyozawadiwa Lamborghin na mshikaji mmoja !! Yaan ni kama ile tunavyomwambia mtu huku kibongo bongo "Chukua Pepsi kwa mangi nitalipia "
[emoji1][emoji1]umenikumbusha wizkid nae aliendaga kufanya private party ilikua birthday ya mtoto wa don, dogo anamkubali sana wizkid akamwambie babaake nataka wizkid aje kuperform kwenye birthday yangu , wizkid mwenyew anasema ni kati ya show ambazo amelilipwa pesa nyingi tangu aanze mzikiIli uitwe uarabuni inabidi ukakipige kwanza ulaya ili uonekane !! Kwa hiyo ulaya ni stage ya kuoneshea umahiri !! Baadae mabosi wanakuchukua
Ila waarabu wana mawe aseee mtu hizo figure analipwa budget ya baadhi ya nchi [emoji23][emoji23][emoji23] niliwahi kuona interview moja ya LIL WAYNE anasimuliwa alivyozawadiwa Lamborghin na mshikaji mmoja !! Yaan ni kama ile tunavyomwambia mtu huku kibongo bongo "Chukua Pepsi kwa mangi nitalipia "
Kwamba wakiondoka inakuwa sio fursa kwa vipaji vipya kuchomoza na kustawi? Au wanaojua mpira siku zote ni hao akina Ngolo?Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake Uarabuni.
Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea Uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa Koulibaly na golikipa Mendy muda wowote wataelekea Uarabuni.
Waarabu wamedhamiria kweli nina mashaka baada ya misimu michache wachezaji wengi wa daraja la juu watakuwa wanacheza huko uarabuni
Unwaza ngono tuMzee asernal Wenger alipoulizwa na watu wa China ,Mzee Sisi tufanyeje tuwe kama nyinyi huko ulaya?Mzee asernal Wenger alijibu kama hivi;Uingereza iliwachukua miaka 150 kufika pale walipo!
Sasa mtoa mada huko uarabuni unakosema bado sana ,kuna sababu zinazofika 30 kuweza kufika Ile Hali unayoona pale England.
Nikuulize swali mwarabu yupi anakubali kulala na ngozi nyeusi ili tupate watoto?Jibu angalia England ilivyo wao wataweza?🤣🤣🤣🤣sio kirahisi hivyo
Kufika kimpira au kijamii?Mzee asernal Wenger alipoulizwa na watu wa China ,Mzee Sisi tufanyeje tuwe kama nyinyi huko ulaya?Mzee asernal Wenger alijibu kama hivi;Uingereza iliwachukua miaka 150 kufika pale walipo!
Sasa mtoa mada huko uarabuni unakosema bado sana ,kuna sababu zinazofika 30 kuweza kufika Ile Hali unayoona pale England.
Nikuulize swali mwarabu yupi anakubali kulala na ngozi nyeusi ili tupate watoto?Jibu angalia England ilivyo wao wataweza?🤣🤣🤣🤣sio kirahisi hivyo
Kuna watu pesa kwao sio tatizo , ana shida tu nyingine za kuwaonea huruma watu ![emoji1][emoji1]umenikumbusha wizkid nae aliendaga kufanya private party ilikua birthday ya mtoto wa don, dogo anamkubali sana wizkid akamwambie babaake nataka wizkid aje kuperform kwenye birthday yangu , wizkid mwenyew anasema ni kati ya show ambazo amelilipwa pesa nyingi tangu aanze mziki
Hivi hapa kwa Nyerere hawa wadosi wa hivi wapo ?Aliempa alikuwa MBS jamaa alinmkera sana MBS jamaa akamuonesha jeuri ya pesa
Akamuulizs chagua kati Lamborghini au Ferrari Wayne akachagua Lambo.
Akamesmbia ya rangi Gani Wayne akasema nyeusi.
Jamaa akamwambia wiki 3 toka Sasa itakuwa mlangoni kwako.
Lamborghini zinatengezwa kwa order kumbuka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]utawaona wapi.Hivi hapa kwa Nyerere hawa wadosi wa hivi wapo ?
Wanajimwambafy kwenye kununua vinywaji na ticket za soka mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]utawaona wapi.
Hapa raia Wana ROHO MBAYA kupitiliza.
Akupe Lamborghini kizembe labda ukubali utolewe kafara.
Huku watu wanawaza magendo na kuuza nyara na rasimali za Taifa ndio akili zao zimegomea hapo
Mbona ligi na timu ya taifa ya Saudi imejaa watu weusi acha kukalili.Jamaa ameiweka sana kitaalamu. Baada ya football kuna muingiliano wa kimaisha lazima uwepo.
Haohao Saudi ilibidi wapindishe sheria ili Ronaldo aweze kuishi na mwanamke ambaye hawana ndoa.
Nchi kama England wamewapa nafasi watu weusi kuingia kwenye jamii yao ndiyo maana ni nchi iliyopiga hatua kisoka. Wanachukua talents zote kwenye timu ya taifa bila ubaguzi wa rangi.
Soka ni maisha, kukiwa na dosari yoyote kwenye ligi: uvunjifu wa haki za binadamu, ubaguzi wa rangi n.k. inapunguza nafasi ya wachezaji wengi kwenda huko.
Mfano kama Italy ingekuwa siyo ligi bora Europe wachezaji wengi weusi wasingeenda.
Ili Saudi wafike levels za ligi kama England kuna vitu watapaswa kufanya na hawataweza.