Huko kote ni kutafuta kivuli na kujifariji tu baada ya kuambiwa ukweli waarabu si watu kabisa ni Mazimwi angalia walivyowafanyia Babu zetu angalia walivyofanya Oct 07,203 huko Israel, walivyoteka watu na walivyowafanyia kisha kuwafanyia biashara. Na angalia wanavyofanyiana wao wa wao binadamu wa kawaida hawawezi kufanya unyama wanaofanya waarabu hoo
Ila ni ustaarabu kuua watu zaidi ya Elfu 67 ikiwemo watoto zaidi ya Elfu 20?
Trans Atlantic Slave Trade wakati inasomwa ulikuwa unalala darasani nini? Au wamarekani weusi wote na watu weusi wa Caribbean na Latin America wote ni kizazi cha waliokwenda kufanya utalii kule wakakaribishwa na kupewa makazi?
Mpaka watu weusi pia huwa baadhi yetu wanawafanyia ukatili wenzao (kwa mfano mmoja tu mauaji ya kimbari ya Rwanda ya 1994), watu weupe baadhi ya wanawafanyia ukatili wenzao na jamii zengine zote utakuta ukatili unafanyika kwa namna moja au nyengine. Ukatili sio exclusive kwa waarabu tu. Kiufupi binadamu baadhi yao huwafanyia ukatili wenzao.
Unaweza kunitajia serial killers waarabu kwa idadi yao nami nikuorodheshee ma serial killers wasio waarabu?
Mass shootings?
Homicide rates?
Narco terrorism?
Na angalia wanavyofanyiana wao wa wao binadamu wa kawaida hawawezi kufanya unyama wanaofanya waarabu hoo
Hivi ushawahi hata kuusoma tu , sio kutazama (usijaribu) ukatili wa magenge ya kuuza unga ya Latin America?
Sio waarabu walioanzisha na kuongoza mapambano ya vita zote 2 za dunia.
Hitler alipowachoma mayahudi katika chambers za gesi na kuwauwa wengine kwa namna tofauti tofauti za kikatili, mpaka akauwaua mayahudi milioni 6 unaweza kuimagine muarabu akifanya kama Hitler?
Sio waarabu walioendesha Gulag, ni akina Stalin.
Sio waarabu walioua mamilioni kwa njaa huko China miaka ya 50, ni akina Mao.
Sio waarabu waliua mamilioni Vietnam.
Sio wao walioiangushia mabomu ya atomiki Japan.
Unaweza kunitajia jamii ya binadamu ambayo haina makatili?