Waarabu wangepewa uwezo wa maarifa na silaha kama Mataifa ya Magharibi Dunia ingekuwaje?

Waarabu wangepewa uwezo wa maarifa na silaha kama Mataifa ya Magharibi Dunia ingekuwaje?

Ila ni ustaarabu kuua watu zaidi ya Elfu 67 ikiwemo watoto zaidi ya Elfu 20?

Trans Atlantic Slave Trade wakati inasomwa ulikuwa unalala darasani nini? Au wamarekani weusi wote na watu weusi wa Caribbean na Latin America wote ni kizazi cha waliokwenda kufanya utalii kule wakakaribishwa na kupewa makazi?

Mpaka watu weusi pia huwa baadhi yetu wanawafanyia ukatili wenzao (kwa mfano mmoja tu mauaji ya kimbari ya Rwanda ya 1994), watu weupe baadhi ya wanawafanyia ukatili wenzao na jamii zengine zote utakuta ukatili unafanyika kwa namna moja au nyengine. Ukatili sio exclusive kwa waarabu tu. Kiufupi binadamu baadhi yao huwafanyia ukatili wenzao.

Unaweza kunitajia serial killers waarabu kwa idadi yao nami nikuorodheshee ma serial killers wasio waarabu?

Mass shootings?

Homicide rates?

Narco terrorism?


Hivi ushawahi hata kuusoma tu , sio kutazama (usijaribu) ukatili wa magenge ya kuuza unga ya Latin America?

Sio waarabu walioanzisha na kuongoza mapambano ya vita zote 2 za dunia.

Hitler alipowachoma mayahudi katika chambers za gesi na kuwauwa wengine kwa namna tofauti tofauti za kikatili, mpaka akauwaua mayahudi milioni 6 unaweza kuimagine muarabu akifanya kama Hitler?

Sio waarabu walioendesha Gulag, ni akina Stalin.


Sio waarabu walioua mamilioni kwa njaa huko China miaka ya 50, ni akina Mao.

Sio waarabu waliua mamilioni Vietnam.

Sio wao walioiangushia mabomu ya atomiki Japan.

Unaweza kunitajia jamii ya binadamu ambayo haina makatili?
Kulikuwa na Arabic slave trade,the longest and oldest slave trade in the world. Masoko ya watumwa pale Saudi Arabia yamekuja kufungwa in the early 1960's.

Muslim caliphate hawakuwa wanatawala tu bali wanabadilisha mpaka dini za watu kwa lazima. Egypt, Iraq, Iran, Libya, Morocco, Uturuki zote zilikuwa nchi za wakristo.

Baada uvamizi wa falme za kiarabu/kiislamu ilikuwa lazima wanaume wabadili dini au wauawe. Wanawake walikuwa wanaolewa kwa lazima na wanaume wa kiislamu.

Indian subcontinent walikuwa ni wabudha kuanzia Afghanistan, Pakistan, Bangladesh mpaka modern India. Uvamizi wa falme za kiislamu ulifanya yake,kule India zaidi ya wahindu milioni 70 waliuawa wakipambana na tawala za kiislamu.

Historia ya muslim conquest watu wengi hawaijui,pia imepambwa lakini ilikuwa ya kikatili sana .
 
Kubali, kataa.

Pamoja na mabaya yake, ila USA ndie anayeleta usawa wa kiusalama kwenye hii dunia.

Usalama wa dunia ungekuwa unaongozwa na nchi za Uarabuni, dunia ingekuwa uwanja wa vita kuzidi sana ×100
 
Vita ya kwanza ya dunia alisababisha mwarabu
Vita ya pili ya dunia alianzisha mwarabu.
Vita ya Ukraine alisababisha mwarabu
Vita ya Kongo alianzisha Mwarabu
Vita ya Uganda vs Tanzania alianzisha mwarabu
Vita vilivyomn'goa GDafi alianzisha Mwarabu
Vita ya Italy vs Ethiopia alianzisha mwarabu
Vita ya juzi kati mataifa ya Afrika dhidi ya ukoloni alianzisha mwarabu
Nenda hapo Zanzibar ukaoneshwe soko maarufu lilikuwa la kuuza watumwa Ambayo ilikuwa ni biashara ya waarabu. Kumbuka Waarabu ndio watu wa mwanzo kutoka ngambo kuvamia Zanzibar


Nenda hapo bagamoyo utaoneshwa Hadi BANDARI waarabu waliyotumia kusafirisha watumwa weusi na utaoneshwa root Hadi kigoma Ambayo watumwa walikuwa wakisafirishwa.


Nenda Ujiji utaoneshwa Kila kitu kuhusu waarabu na masoko Yao.


Hapo hujaenda Tabora , Tanga , Mtwara nk


Nenda
 
Nilivyoelewa mimi kuwa alichokiandika yeye na ulichoandika wewe ndicho alichokimaanisha.
ni watu wa Magharibi kama Sio Mfaransa basi ni Mmarekani ambaye ndio anajiita Giant wa dunia.
Ila yeye kaandika kwa kejeri/kinyume, hivyo wewe na yeye ni kitu kimoja kimtizamo.
 
Ni swali TU najiuliza

Tuongee TU kiuhalisia bila ushabiki wa upande wowote waarabu wangepewa uwezo wa maarfa na silaha kama mataifa ya magharibi Dunia ingekuwaje ?
Sio waarabu ila Mbona Pakistan wana nuclear? Umeona wamemzingua nani?
 
Huko kote ni kutafuta kivuli na kujifariji tu baada ya kuambiwa ukweli waarabu si watu kabisa ni Mazimwi angalia walivyowafanyia Babu zetu angalia walivyofanya Oct 07,203 huko Israel, walivyoteka watu na walivyowafanyia kisha kuwafanyia biashara. Na angalia wanavyofanyiana wao wa wao binadamu wa kawaida hawawezi kufanya unyama wanaofanya waarabu hoo
Putin ni mwarabu?
 
Waarabu na Waafrika wangekuwa na nguvu za wazungu dunia ingekuwa mbaya


Mfano CCM na Chawa wake wanapotishiaga watu na Majeshi na Polisi, huwa nawashangaa sana jinsi wanavolingia wanamgambo ambao Israel inaweza kupiga kambi zote, ofisi za Serikali na kumuua Samia ndani ya masaa 2 na nchi ikasalimu Amri.

Elimu ni muhimu sana, ambayo Waafrika na Waarabu wanakosa, for the reference Vifaa vya kijeshi na Askari waliokufa kwenye Vita ya Ukraine ni vingi kuliko karibu nchi zote za Afrika zikiungana bado hizo nchi haziwatesi Raia wake kama CCM inavofanya, bado viongozi wanajiwajibisha
 
Muyemen ana kila kitu kinachoweza kuleta mashaka makubwa lakini hana shida na mtu mpaka ujichanganye mwenyewe. Saudia ana kila aina mpakistan na mu Egypt kila ukisikia vita ya kitaifa uarabuni lazima Mmarekani na muyahudi kahusika
 
Ila ni ustaarabu kuua watu zaidi ya Elfu 67 ikiwemo watoto zaidi ya Elfu 20?

Trans Atlantic Slave Trade wakati inasomwa ulikuwa unalala darasani nini? Au wamarekani weusi wote na watu weusi wa Caribbean na Latin America wote ni kizazi cha waliokwenda kufanya utalii kule wakakaribishwa na kupewa makazi?

Mpaka watu weusi pia huwa baadhi yetu wanawafanyia ukatili wenzao (kwa mfano mmoja tu mauaji ya kimbari ya Rwanda ya 1994), watu weupe baadhi ya wanawafanyia ukatili wenzao na jamii zengine zote utakuta ukatili unafanyika kwa namna moja au nyengine. Ukatili sio exclusive kwa waarabu tu. Kiufupi binadamu baadhi yao huwafanyia ukatili wenzao.

Unaweza kunitajia serial killers waarabu kwa idadi yao nami nikuorodheshee ma serial killers wasio waarabu?

Mass shootings?

Homicide rates?
Yote haya umebwabwaja kutafuta faraja kuficha maovu ya viumbe hawa!!! Unatafuta tu kichaka ili uweze kuficha uovu wao wanaoufanya kwa binadamu wenzao.
Hivi ushawahi hata kuusoma tu , sio kutazama (usijaribu) ukatili wa magenge ya kuuza unga ya Latin America?

Sio waarabu walioanzisha na kuongoza mapambano ya vita zote 2 za dunia.

Hitler alipowachoma mayahudi katika chambers za gesi na kuwauwa wengine kwa namna tofauti tofauti za kikatili, mpaka akauwaua mayahudi milioni 6 unaweza kuimagine muarabu akifanya kama Hitler?

Sio waarabu walioendesha Gulag, ni akina Stalin.


Sio waarabu walioua mamilioni kwa njaa huko China miaka ya 50, ni akina Mao.

Sio waarabu waliua mamilioni Vietnam.

Sio wao walioiangushia mabomu ya atomiki Japan.

Unaweza kunitajia jamii ya binadamu ambayo haina makatili?
Kusema kweli wewe unajitoa ufahamu ili tu kuwafichia maovu wapenzi wako nakuhakikishia hata wewe mwenyewe unayejiona ni Mwarabu-koko ukiingia kwenye 18 zao wanaweza kukufanya mtumwa na iliwezekana wanakuua maana wao siyo watu hayo ni Mazimwi wewe waonage hivyohivyo tu wao hata kula nao kwa sahani moja usahau!!

Ngoja nikuwekee hapa video zinazoonyesha unyama wao wanavyofanyiana wao kwa wao na Ole wako wewe Mmatumbi uangukie mikononi mwao kwanza la kwanza kukufira ni la kufikia utake usitake kwa maswali zaidi waulize dada zetu wanaoenda/Walioenda Uarabuni kufanya kazi watakuambia lakini kwa kuwa akili zako ni za Madrasa hutaelewa!! Mwarabu si mtu ni zimwi,!!!
 

Attachments

  • video_2025-10-13_19-13-23.mp4
    945 KB
  • BREAKING_In_Gaza,_a_Palestinian_boy_with_special_needs_was_tied.mp4
    6.8 MB
  • IMG_9445.mp4
    15.3 MB
  • video_2025-07-25_18-01-55.mp4
    6.3 MB
  • video_2025-07-25_18-00-00.mp4
    6.9 MB
  • video_2025-07-25_18-01-12.mp4
    4.3 MB
Muyemen ana kila kitu kinachoweza kuleta mashaka makubwa lakini hana shida na mtu mpaka ujichanganye mwenyewe. Saudia ana kila aina mpakistan na mu Egypt kila ukisikia vita ya kitaifa uarabuni lazima Mmarekani na muyahudi kahusika
Mlishajenga Mentality hivyo hata Oct 07,2023 mnasema Chanzo Israel na Marekani na huko Yemen vivyo hivyo lakini mmesahau kuwa Houth kuingilia vita isiyomhusu kumesababisha kupigwa kwake!! Lebanon vilevile tatizo lenu mmekuwa Brainwashed na mna allergies na Israel na Marekani kwa waarabu hilo ndilo jalala lenu la kurushia lawama zenu!!!
 
Muslim caliphate hawakuwa wanatawala tu bali wanabadilisha mpaka dini za watu kwa lazima. Egypt, Iraq, Iran, Libya, Morocco, Uturuki zote zilikuwa nchi za wakristo.

"Kubadilisha Dini za watu kwa lazima" ni kauli ya kipropaganda. Uislam ulienea kwa Amani katika hizo Nchi baada ya Majeshi ya Kiislam kuwashinda katika vita dola zilizokuwa zikitawala hapo. Watu wenyewe walikuwa wakisilimu kwa wingi bila kulazimishwa. Na ndio maana katika madhehebu nyingi za kale zaidi za kikristo utazikuta sana nchi hizo zilizotawaliwa na Makhalifa wa Kiislam. Zile jamii za kale zaidi za kikristo zilizobaki utazikuta pale. Na ajabu ukisoma Historia utaona wakristo wa hizo Nchi walikuwa wakiwapokea Waislam na kushirikiana nao dhidi ya "ndugu" zao wa Byzantine. Mfano wa Koptiki wa Misr waliwapokea Waislam dhidi ya Byzantines na wakawaunga mkono kwa sababu walichoshwa na dhulma za ndugu zao.

Cha kushangaza pia Jews waliishi kwa amani zaidi chini ya zile Dola za Kiislam kitu kilichokuwa kigumu mno walipokuwa chini ya wakristo. Actually kuna wasomi wa kiyahudi wanasema ni Uislam ndio uliokoa mayahudi.

Baadae Wakati wa Crusades wakristo wa Ulaya walikuwa wakiua Waislam, Jews na ndugu zao Wakristo wa Mashariki ya kati na wakitaka kuimpose Ukristo wao wa kiulaya. Ironically Crusaders walichangia kuanguka zaidi kwa Ukristo wa mashariki ya kati uliovumiliwa na Waislam hapo kabla.

Waislam walipowashinda Crusaders, Wakristo wa asili wa Middle East na Jews waliishi tena kwa Amani zaidi.

Wakristo na mayahudi katika nchi za mashariki ya kati japo walishakuwa minority (sio kwa sababu ya upanga wa Waislam) ila walikuja tena kupungua kwa kasi zaidi hivi karibuni tu hapo kwa sababu za kisiasa wakati ambapo Dola za kiislam zilikuwa zishaanza kuanguka na nguvu za Waislam zimeondoka na wakoloni wa Ulaya wanazitawala nchi nyingi za mashariki ya kati tayari, na wakati masekula na nationalists walipoanza kuibuka na zionists walipoingia mashariki ya kati (Palestine kuna wakristo wengi wamekimbia baada ya Nakba) na ukanda kuanza kutawaliwa na machafuko.


Najua unajua ni idadi kubwa sana ya wakristo wa kale kabisa wameikimbia Iraq baada ya nchi kuwaka moto walipopelekewa zawadi ya democracy na ndugu zao kutoka Marekani.


Baada uvamizi wa falme za kiarabu/kiislamu ilikuwa lazima wanaume wabadili dini au wauawe. Wanawake walikuwa wanaolewa kwa lazima na wanaume wa kiislamu.

Sasa kwanini the oldest denominations za Wakristo zilisurvive na utazikuta katika hizo nchi? Why?
Indian subcontinent walikuwa ni wabudha kuanzia Afghanistan, Pakistan, Bangladesh mpaka modern India. Uvamizi wa falme za kiislamu ulifanya yake,kule India zaidi ya wahindu milioni 70 waliuawa wakipambana na tawala za kiislamu.

Waislam kuua watu milioni 70 huko Indian Subcontinent pia ni propaganda.

And again Kule Afghanistan na Bara Hindi Uislam ulienea kwa Amani. Baada ya Dola ya Waislam kuanza kuifungua baadhi ya ile miji baada ya kushinda katika vita, Uislamu ulianza kuenea gradually kwa Amani kupitia biashara na interactions nyengine za kijamii na kiuchumi na sio kwa sababu ya upanga. Dola tofauti tofauti za Kiislam katika Bara Hindi zilipoendelea kuibuka na zilipokuwa zikishinda vita. Uislam uliendelea kukua kwa Amani taratibu taratibu na ndio maana utakuta kiwango cha conversion hakikuwa kikubwa kwenye heartland ya zile Empires za Kiislam kama Delhi Sultanate au Mughal Empire bali conversion ilikuwa kubwa mno ukingoni huko kama Bengal au Punjab magharibi ambapo tawala za Kiislam maeneo hayo zilikuja kuanzishwa baadae huko baada ya Uislam kuenea huko.

Uislam ulienea sana kwa Amani huko Bara Hindi, tena taratibu.


Historia ya muslim conquest watu wengi hawaijui,pia imepambwa lakini ilikuwa ya kikatili sana .
Historia ya muslim conquest watu wengi hawaijui,pia imepambwa lakini ilikuwa ya kikatili sana .

Huwezi kufananisha conquests za Waislam hasa Rashidun Conquests na conquests za watu wengine wowote wale wasiokuwa wao. Wewe cheki Jerusalem inachukuliwa na Waislam, transfer inafanyika kwa Amani kabisa. Wakristo wanahakikishiwa usalama wao, wa mali zao na sehemu zao za ibada. Mayahudi waliokuwa hawaruhusiwi hata kuingia Jerusalem na Byzantines wakaruhusiwa na Waislam kuingia na kuishi Jerusalem. Kumbuka hiyo ni karne ya 7 Miladia na tayari Waislam wana strict Rules of War ambazo huwezi kuzilinganisha na jamii yoyote kwa standards za wakati huo na hata sasa.

Ukatili ukitaka kuujua vizuri waulizie warumi, waajemi wa zamani (kabla ya Uislam), mongols na crusaders kama mfano tu. Utauona ule ukatili wenyewe kabisa.


Uislam ulienea kwa Amani. Na Uislam huwa unaenea zaidi katika Amani na utulivu. Watu wametulia na wakapata fursa wakausikia Uislam watauelewa kwa urahisi tu kwa sababu ni Dini inayoendana na ya maumbile yao, na mwisho utaenea tu miongoni mwao, haraka au taratibu.
 
Hitler kweli na wewe unaamini aliua wayahudi milio 6 jitafakari
 
"Kubadilisha Dini za watu kwa lazima" ni kauli ya kipropaganda. Uislam ulienea kwa Amani katika hizo Nchi baada ya Majeshi ya Kiislam kuwashinda katika vita dola zilizokuwa zikitawala hapo. Watu wenyewe walikuwa wakisilimu kwa wingi bila kulazimishwa. Na ndio maana katika madhehebu nyingi za kale zaidi za kikristo utazikuta sana nchi hizo zilizotawaliwa na Makhalifa wa Kiislam. Zile jamii za kale zaidi za kikristo zilizobaki utazikuta pale. Na ajabu ukisoma Historia utaona wakristo wa hizo Nchi walikuwa wakiwapokea Waislam na kushirikiana nao dhidi ya "ndugu" zao wa Byzantine. Mfano wa Koptiki wa Misr waliwapokea Waislam dhidi ya Byzantines na wakawaunga mkono kwa sababu walichoshwa na dhulma za ndugu zao.

Cha kushangaza pia Jews waliishi kwa amani zaidi chini ya zile Dola za Kiislam kitu kilichokuwa kigumu mno walipokuwa chini ya wakristo. Actually kuna wasomi wa kiyahudi wanasema ni Uislam ndio uliokoa mayahudi.

Baadae Wakati wa Crusades wakristo wa Ulaya walikuwa wakiua Waislam, Jews na ndugu zao Wakristo wa Mashariki ya kati na wakitaka kuimpose Ukristo wao wa kiulaya. Ironically Crusaders walichangia kuanguka zaidi kwa Ukristo wa mashariki ya kati uliovumiliwa na Waislam hapo kabla.

Waislam walipowashinda Crusaders, Wakristo wa asili wa Middle East na Jews waliishi tena kwa Amani zaidi.

Wakristo na mayahudi katika nchi za mashariki ya kati japo walishakuwa minority (sio kwa sababu ya upanga wa Waislam) ila walikuja tena kupungua kwa kasi zaidi hivi karibuni tu hapo kwa sababu za kisiasa wakati ambapo Dola za kiislam zilikuwa zishaanza kuanguka na nguvu za Waislam zimeondoka na wakoloni wa Ulaya wanazitawala nchi nyingi za mashariki ya kati tayari, na wakati masekula na nationalists walipoanza kuibuka na zionists walipoingia mashariki ya kati (Palestine kuna wakristo wengi wamekimbia baada ya Nakba) na ukanda kuanza kutawaliwa na machafuko.


Najua unajua ni idadi kubwa sana ya wakristo wa kale kabisa wameikimbia Iraq baada ya nchi kuwaka moto walipopelekewa zawadi ya democracy na ndugu zao kutoka Marekani.




Sasa kwanini the oldest denominations za Wakristo zilisurvive na utazikuta katika hizo nchi? Why?


Waislam kuua watu milioni 70 huko Indian Subcontinent pia ni propaganda.

And again Kule Afghanistan na Bara Hindi Uislam ulienea kwa Amani. Baada ya Dola ya Waislam kuanza kuifungua baadhi ya ile miji baada ya kushinda katika vita, Uislamu ulianza kuenea gradually kwa Amani kupitia biashara na interactions nyengine za kijamii na kiuchumi na sio kwa sababu ya upanga. Dola tofauti tofauti za Kiislam katika Bara Hindi zilipoendelea kuibuka na zilipokuwa zikishinda vita. Uislam uliendelea kukua kwa Amani taratibu taratibu na ndio maana utakuta kiwango cha conversion hakikuwa kikubwa kwenye heartland ya zile Empires za Kiislam kama Delhi Sultanate au Mughal Empire bali conversion ilikuwa kubwa mno ukingoni huko kama Bengal au Punjab magharibi ambapo tawala za Kiislam maeneo hayo zilikuja kuanzishwa baadae huko baada ya Uislam kuenea huko.

Uislam ulienea sana kwa Amani huko Bara Hindi, tena taratibu.





Huwezi kufananisha conquests za Waislam hasa Rashidun Conquests na conquests za watu wengine wowote wale wasiokuwa wao. Wewe cheki Jerusalem inachukuliwa na Waislam, transfer inafanyika kwa Amani kabisa. Wakristo wanahakikishiwa usalama wao, wa mali zao na sehemu zao za ibada. Mayahudi waliokuwa hawaruhusiwi hata kuingia Jerusalem na Byzantines wakaruhusiwa na Waislam kuingia na kuishi Jerusalem. Kumbuka hiyo ni karne ya 7 Miladia na tayari Waislam wana strict Rules of
War ambayo huwezi kuzilinganisha na jamii yoyote kwa standards za wakati huo na hata sasa.

Ukatili ukitaka kuujua vizuri waulizie warumi, waajemi wa zamani, mongols na crusaders kama mfano tu. Utauona ule ukatili wenyewe kabisa.


Uislam ulienea kwa Amani. Na Uislam huwa unaenea zaidi katika Amani na utulivu. Watu wametulia na wakapata fursa wakausikia Uislam watauelewa kwa urahisi tu kwa sababu ni Dini inayoendana na ya maumbile yao, na mwisho utaenea tu miongoni mwao, haraka au taratibu.
Kwa kuongezea

Kabla ya Ukristo kufika Ulaya, watu wa bara hilo hawakuwa bila dini — walikuwa na imani nyingi tofauti za jadi (paganism) kulingana na makabila na maeneo. Hakukuwa na dini moja kubwa kama ilivyo leo; kila eneo lilikuwa na miungu na desturi zake kama :-
Ulaya ya Kaskazini (Waviking, Wa-Norse)Norse Mythology
Miungu, Thor, Freyja, Lok

Ulaya ya Kusini (Ugiriki & Roma)
Dini ya Kigiriki na Kirumi
Zeus/Jupiter, Hera/Juno, Mars/Ares, Venus/Aphrodite

Ulaya ya Kati (Wagerumani / Waceltic)
Germanic & Celtic Paganism
Wotan, Epona, Cernunnos

Ulaya ya Mashariki (Waslavic)
Slavic Paganism
Perun, Veles
Ireland & Scotland
Druids / Celtic Religion
Miungu ya asili, misitu, jiwe, jua

Ukristo haukuenea ghafla — ulitumia mbinu tofauti tofauti kwa karne nyingi:
1. Wamisionari – Kama Mtakatifu Paul, Mt. Patrick (Ireland), St. Augustine wa Canterbury (England) walihubiri na kubatiza watu.
2. Wafalme kuokoka kisha kulazimisha watu wao – Mfano:
• Mfalme Constantine wa Roma (AD 313) alihalalisha Ukristo, baadaye wakristo wakawa dini ya dola ya Roma.
• Mfalme Charlemagne (Franks, AD 800) alilazimisha makabila kubatizwa kwa nguvu.
3. Ndoa za kifalme – Malkia Mkristo akiolewa kwa Mfalme mpagani, akamshawishi kubadili taifa lake.
4. Kubadilisha desturi za kipagani na kuzipa maana ya Kikristo – Mfano:
• Sikukuu ya Yule (Waviking) ikawa Krismasi
• Sikukuu ya Spring Fertility (Celtic/Easter) ikawa Pasaka

katika sehemu nyingi za Ulaya, Ukristo haukusambaa tu kwa mahubiri na amani; mara nyingi ulienezwa pia kwa kutumia nguvu na hata vita. Ingawa kulikuwa na wamisionari waliobiri kwa upole, mara nyingi wakati wafalme au dola walipoamua kuwa Wakristo, waliwalazimisha watu wao wote kubadili dini — na waliokataa waliadhibiwa au kupigwa vita.

Mifano ya Matumizi ya Nguvu Katika Kueneza Ukristo Ulaya

1, Ujerumani na Ulaya ya Kati
Wars of Charlemagne (AD 772–804) dhidi ya Saxons
Aliwapa uchaguzi: “Batizwa au kuuawa.” Wengi walibatizwa kwa nguvu.
2, Skandinavia (Norway, Sweden, Denmark)
Wafalme kama Olaf Tryggvason walipobadili kuwa Wakristo
Waliwachoma mahekalu ya kipagani, waliwaua au kuwafukuza waliokataa kubadili.
3,Baltics (Lithuania, Latvia, Estonia)
Crusades za Kaskazini (Northern Crusades) zilizoendeshwa na Knights Templar na Teutonic Knights
Mashambulizi ya kijeshi dhidi ya wapagani ili kuwalazimisha kuwa Wakristo.
4, Ireland & Scotland
Baadhi ya maeneo yalihubiriwa kwa amani na Missionary kama St. Patrick, lakini baadaye kulikuwa na shinikizo kutoka kwa wafalme Wakristo
Shinikizo la kijamii na kisiasa

Kabla wamisionari kuja Afrika, tayari Ulaya walikuwa wamepitia mchakato wa kulazimishwa kuwa Wakristo wao wenyewe. Walikuwa wameshaona:
• Mahekalu ya mababu yao yakiungua
• Dini zao za jadi zikipigwa marufuku
• Sheria zikiwalazimisha kuishi “kwa njia ya Kikristo”

Kwa hiyo walipofika Afrika, hawakuona vibaya kutumia mbinu zile zile — lakini mara hii wakichanganya dini na ukoloni.

Vita vya kulazimisha Ubatizo (mf. Charlemagne vs Saxons)
Ukristo pamoja na Ukoloni — “Kubali dini na utawala wetu”
Sheria za kifalme kuamuru watu kubadili
“Mkiristo anapata elimu / kazi / ulinzi — mpagani hana”
Kuchoma mahekalu ya kipagani
Kuchoma , vigango, ngoma za kitamaduni
Kupachika sikukuu za Kikristo juu ya sherehe za jadi
Tambiko za jadi zikaitwa “uchawi” na “ushetani”
 
Shetani haaminiki wameanza kuua watu upya hawa laanatullah, kumbe ilikua janja janja watoe mateka wao. Siku zote kafiri hana mkataba
 
Back
Top Bottom