Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi


Above all , nashauri huu MRADi wapewe private sector , tena hayo makampuni yatoke nje. Hawa wa hapo hapo TZ bado ujanja ujanja mwingi. Watazinguwa

Wapewe hao waarabu nauli iwe 2000 per person per trip

Aidha, kama mnadhan uteuzi wa Kindamba ni by chance , bakini ivo ivo. Kama ilivyo kwa DP, hata hii atapewa muarabu , which to me is good thing

Wabongo wanachojua zaidi ni chini tu na wizi
 
Huna maana kabisa.Kumbe tenda ni ya kimataifa na kati ya waombaji 30 watatu tu ni kutoka Arabuni.
Sasa mbona umechagua kichwa cha habari cha kijinga namna hiyo.
Natamani mods wabadilishe kichwa hicho kisomeke.Makampuni 30 yajitokeza kutaka kuendesha DART brt.
 
Kwanza elewa Kuna biashara na huduma, mwendokasi ni huduma ndio maana nauli inapangwa na taasisi za serikali.
Kazi ya mwendokasi ni kuwachukua abiria kwa wakati na kuwapeleka sehemu husika ili wazalishe serikali ipate Kodi.
Mwendokasi inatakiwa iondoke hata na abiria wawili kitu ambacho mwekezaji binafsi hawezi kufanya.
Kwanini usafiri wa mwendokasi umedorola?
Ni kutokana na mtazamo wa viongozi wa serikali kutaka iendeshwe kwa faida ndio maana. Unaweza kukuta Basi limepaki huku abiria wako kituoni wakisubiri wajae.
Serikali kutowekrza nguvu za kutosha kwa kununua mabasi ya kutosha na hii ni kwa sababu serikalini kumejaa vilaza Kama huamini tafuta clip ya video gavana wa Bot akielekezwa namna ya kudhibiti dola
 
Bongo matajiri ni wale wale licha ya kukumbatiwa miaka yote. Wakifa wanaendeleza mali watoto wao
 
Wee jamaa umeongea pumba alafu unamwambia mwenzio hajui..kumbe wew ndo hujui kuwa hujui
Hapana. Alichosema ndo uhalisia wa dunia ya sasa. Serikali kazi yake hapo ni kuhakikisha inaweka mazingira wezeshi na sio kung'angania kufanya biashara.
Serikali inatakiwa iwe ni yenye Kuongoza/kusimamia ili wachezaji (watoa huduma)wasicheze Rafu, kutoa sera na miongozo, kuhakikisha nchi ina utulivu na wananchi wanashiriki kikamilifu katika shughuli za Maendeleo bila bughudha.
 
Hujui kitu kama kimya. Mashirika yote marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba serikali haiwezi kuendesh hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Kwani kilichoitwa privatization wkt wa mkapa sio sawa na hiki? Mbn sioni kipya?

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Waweke kwenye stock exchange watu waangalie njia Bora ya kuwekeza
Njia nyingine ya kupigwa...., Stock exchange mnachangia mtaji na kwa percent ya Hisa utakazopewa bado utakuwa hauna say yoyote wala guarantee ya kupata faida yoyote.....

By the way jambo kama hili walifanya Poland kipindi cha privatisation matokeo yake ni wadau kurudi kwa hao wazawa waliopewa Shares na kuzinunua hence kama walitoa 10 percent kwa wazawa serikali ina 50 wao 40 mwisho wa siku usishangae wana 50....
 
Wachague kampuni Zenye uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…