Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuibia wananchi.Hivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
Hiyo ni assumption ambayo ni subject to be proved by the way.Kuna muarabu keshaandaliwa hapo.

At least yesSaizi vimelegea kila kona?
Hauwezi kumaliza matajiri, waliopata shida ni mafisadi tuUkiona hivyo Kuna shida. Sasa jpm alitaka kuwamaliza kabisa abakize wa kumuimba yeye tu
Jpm alikuwa na allergy ya matajairi. Alitaka kubakia madaraki kwa kuwafukarisha watanzaniaHauwezi kumaliza matajiri, waliopata shida ni mafisadi tu
Yani mtu kapewa njia ya pekeyake, abiria wote wakwake ila anasema eti gharama za uendeshaji zipo juu anashindwa hata kufanya service ya magari.Watz nionavyo wengi ni vichaa, takwimu zinasema ukiona kundi la watu kumi, sita kati yao ni hamnazo. Nashawishika kuungana na jaamaa anaedai shida ni kula ugali.
Unakuta mtu anacoster 2 marejesho analipa, anajenga nyumba, dereva anapata chake, konda, mpiga debe bila kusahau kodi inalipwa na gari service inapelekwa km kawa.
Kwanini tuamini hawa wapuuzi kila ki2 wamewekewa still wanafeli. Inafikirisha sana ktk watz 60mln tukose watu wa kuendesha hii kitu mpaka tuwape wageni haiingii akilini.
Kampuni itakayokidhi vigezo husika ipewe kandarasi bila ubaguzi wa aina yoyote!watu ni wajinga sana nchi hii, miundombinu imejengwa kwa kodi za wananchi wanaleta foreigners kuitumia na kubagua who should use it kwani nauli yake ni watanzagiza wachache sana watamudu ingawaje kodi ya ujenzi tumelipa wote na miundo mbinu ikiharibika atakaye karabati ni masikini wa tanzagiza na siyo mwarabu.
Laiti ungejua kuwa kuna matajiri wengi walizalishwa kipindi cha JPM usingeongea pumba. Tena ni wale matajiri clean sio wauza unga wala pembe za ndovu.Jpm alikuwa na allergy ya matajairi. Alitaka kubakia madaraki kwa kuwafukarisha watanzania
Tajiri Gani alizalishwa kipindi Cha jpm. Matajairi wote waliambiwa wataishi kama mashetani. Ndo mana kila tajiri akaanza kufikiri kusepa hata mo alitaka kusepa wakamdaka na kumfichaLaiti ungejua kuwa kuna matajiri wengi walizalishwa kipindi cha JPM usingeongea pumba. Tena ni wale matajiri clean sio wauza unga wala pembe za ndovu.
Hiyo ni assumption ambayo ni subject to be proved by the way.![]()
Tuachane na hizo habari za JPM (RIP)na tujikite kwenye hili lililopo mezani kwa sasa hivi kwani tutapoteza muda kumjadili ambaye hayupo tena. Hawa actors waliopo sasa tunawaweka fungu gani?Jpm alikuwa na allergy ya matajairi. Alitaka kubakia madaraki kwa kuwafukarisha watanzania

Huwezi kuelewa umegubikwa chuki tuTajiri Gani alizalishwa kipindi Cha jpm. Matajairi wote waliambiwa wataishi kama mashetani. Ndo mana kila tajiri akaanza kufikiri kusepa hata mo alitaka kusepa wakamdaka na kumficha
Kumsifia Rais na kumchangia achukue form agombee tenaHivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
Hujui kitu kama kimya. Mashirika yote Marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba Serikali haiwezi kuendesha hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Kwasasa hakuna proved... kama imeshindwa kusimamia mradi wa magari tu wanaweza kipi kufanya??Hivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
Wenye akili wapi ila wamekaa kimya, ukiwa kwenye kundi la wajinga usipende kuonesha werevu sababu wajinga wengi wamejawa chuki na roho mbaya hawatasita kukuumiza ili maslahi yao yaendelee kuwepo hata kama inaikosti nchi.Umenena vyema mkuu. Ok; Sasa walioko huko Serikalini hawasikilizwi, wakitoa ushauri wa Kitaalam , ushauri hauzingatiwi unatupiliwa mbali (ref CAG report) na wanasiasa walijiingiza humo wengine huwa na genda zao za siri za kuangushana. Kwa mantiki hiyo, ni bora kuwakwepa mazima. Inafikirisha sana kwamba maprofesa/PHd na wasomi nguli wengine wapo lakini ni kama wametulia vile na kuangalia game linakwendaje na mti utaangukia wapi.